Liberia: Mahakama ya uhalifu wa vita vya wenyewe kwa wenyewe kuanzishwa
Hatua zaidi imechukuliwa kuelekea mahakama ya baadaye nchini Liberia yenye jukumu la kuwahukumu wale waliohusika na ukatili uliofanywa wakati wa vita viwili vya wenyewe kwa wenyewe kati ya mwaka 1989…