“Kumbe walijitongea”: DCI yachapisha picha zaidi za washukiwa wa uhuni siku ya maandamano
DCI imechapisha picha za Wakenya wanaoshukiwa kuhusika katika uhuni wakati wa mgomo wa matatu Mei 18; zaidi ya 710 wamekamatwa. Umma umeombwa kusaidia kuwatambua.