Rachel Wandeto: Mwanamuziki aliyeshambuliwa kwa kujichora picha ya William Ruto afariki dunia
Mwimbaji Rachel Wandeto alifariki dunia baada ya kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana, miezi kadhaa baada ya kusambaa kwa kujichora picha ya Rais William Ruto.