Paul Chepkwony: Familia ya Aliyekuwa Gavana wa Kericho Yatafuta KSh 6m za Matibabu Yake India
Ungana na viongozi na wasamaria katika kumsaidia Prof. Paul Chepkwony (Timbilwet) katika uchangishaji wa pesa za matibabu yake maalum nje ya nchi tarehe 8 Mei 2026.