Babu Owino asema ataondoka ODM na kugombea ugavana wa Nairobi kupitia chama kipya: “Nawahakikishia”
Mbunge Babu Owino alidokeza kuondoka ODM, akisema chama kipya kinaundwa huku akitarajia kiti cha ugavana wa Nairobi mwaka wa 2027 na urais siku zijazo.