Nyamira: Daktari aliyepotea apatikana amekufa, mwili umezikwa kwenye kaburi la kina kifupi
Mshtuko umetanda katika kijiji cha Nyamauro polisi wakithibitisha mwili wa daktari aliyetoweka Duke Nyang'au Obasancho, uliogunduliwa kwenye kaburi la kina kifupi.