Jengo la ghorofa 22 lililokuwa likijengwa Westlands laporomoka, wafanyakazi wasemekana kunaswa ndani
Jengo la Ghorofa 22 limeporomoka Westlands, na kusababisha wafanyakazi waliokuwa kazini kunaswa chini ya vifuzi. Timu za dharura zimefika kuokoa maisha.