William Ruto azindua upanuzi wa reli ya SGR kuenda Uganda, Museveni afika kushuhudia
Rais Yoweri Museveni na Ruto walizindua mradi wa SGR huko Kisumu kuelekea Uganda ili kupunguza gharama za usafirishaji, kupanua biashara, na kuzidisha ukuaji.
Rais Yoweri Museveni na Ruto walizindua mradi wa SGR huko Kisumu kuelekea Uganda ili kupunguza gharama za usafirishaji, kupanua biashara, na kuzidisha ukuaji.
Operesheni ya NACADA katika kupambana na dawa za kulevya Kisii ilifanikiwa kupata ganja, ikiangazia wasiwasi wa jamii huku mshukiwa akikwepa kukamatwa.
Mbunge wa Kapseret Oscar Sudi kwa kicheko alikutana tena na ex wake wa shule ya msingi, Ruth, na kuahidi kumlipia karo binti yake hadi akamilishe shule.
Seneta wa Vihiga Osotsi alinusurika baada ya ndege ya Safarilink kutua kwa dharura Uwanja wa Wilson, akisifu ustadi wa rubani lakini akilaani huduma za dharura.
Kitendo cha kujitolea cha Derrick cha kuwaokoa waathiriwa wa ajali huko Kegati, Kaunti ya Kisii, kilimpatia sifa na hatimaye zawadi ya KSh 20k kutoka kwa mbunge.
Ndege ya Safarilink iliteleza kutoka kwenye barabara ya ndege ya uwanja wa Wilson Ijumaa jioni, Machi 20; abiria wote 39 walitoka bila majeraha yoyote.
CAF imeweka tarehe ya mwisho ya Desemba 2026 kwa Kenya kukamilisha viwanja na kumbi za mazoezi Za Afcon 2027, lakini ucheleweshaji wa ufadhili unatishia maandalizi.
Sekta ya muziki ya Afrika Mashariki inaomboleza mwimbaji wa Injili Irene Robert, aliyefariki Machi 20. Ndugu, jamaa na mashabiki wake wanamlilia.
Familia ya Kitale inaomboleza wakati wa Eid al-Fitr Hospitali ya Top Hill ikizuilia mwili wa baba yao kufuatia bili ya KSh 2.7M, hatua iliyowafanya waombe msaada.
Rais William Ruto alisherehekea Idd-ul-Fitr na jamii ya Waislamu mjini Kisumu, na kuonyesha uhusiano mkubwa alionao Oburu Oginga na viongozi wengine wa ODM.
Pasta Ezekiel Odero, amepepea mitandaoni baada ya video kuibuka ikimuonyesha akitembea juu ya ardhi ya matope huku waumini wakimfuata mbio nyuma.
Pasta Ezekiel Odero, amepepea mitandaoni baada ya video kuibuka ikimuonyesha akitembea juu ya ardhi ya matope huku waumini wakimfuata mbio nyuma.
Hospitali ya Nairobi inakabiliwa na sakata kali ya usimamizi huku madaktari wakigongana na bodi, ambayo haitaki Rais William Ruto kuingilia mambo yake.
Mwigizaji wa Marekani Chuck Norris amefariki akiwa na miaka 86. Familia yake inatoa heshima za dhati na kuomba faragha wakati huu mgumu. Mkumbuke kwa urithi wake.
SHA, mpango wa afya uliochukua nafasi ya NHIF, unakabiliwa na uhaba wa pesa taslimu huku wanachama milioni 5 pekee kati ya milioni 29 wakichangia.
Familia zimetangaza tarehe za kuzikwa kwa mwendesha pikipiki wa Nairobi Elvis Khamala na mkewe Diana Mwai, ambao walifariki katika ajali. Hawatazikwa mahali pamoja.
Pasta Kanyari anadai Naibu Rais Kithure Kindiki ana nafasi ya kuwa rais, licha ya upole wake. Watu katika miitandao ya kijamii waliguswa na utabiri jasiri wa Kanyari
Japhet na Esther Sugut waliwashangaza wenyeji kwa kuwafuga mamba, wakionyesha jinsi wanyama wa porini wanavyoweza kustawi katika mazingira yaliyodhibitiwa.
Baada ya kifo cha dadake, Blezy Nkumeh alimlea mpwa wake kwa upendo, lakini alikabiliana na matokeo ya kuhuzunisha huku tabia ya binti huyo ikibadilika.
Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua anaonekana kubadilika, sasa anaapa kumkabili Rais William Ruto kuhusu ajenda na masuala yanayohusu Wakenya na wala si matusi.
Babu Owino amejzungumzia uidhinishaji wa Winnie Odinga katika ODM kuwa naibu kiongozi wa chama, akionyesha uwezo wake zaidi ya mipaka ya chama cha chungwa.
Mchungaji Bernard Oppon na mkewe, Nana Konadu, walifariki kwa kusikitisha, wakichochea huzuni kubwa na heshima za dhati kutoka kwa watumiaji wa mtandao na wapendwa.
Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua anaonekana kubadilika, sasa anaapa kumkabili Rais William Ruto kuhusu ajenda na masuala yanayohusu Wakenya na wala si matusi.
Familia ya Eugene Wamalwa inamsihi Rais Ruto aache matusi, aondoe matamshi, na amheshimu kiongozi wao, akitaka umoja na heshima Magharibi mwa Kenya.
Gavana George Natembeya ashinda huku Mahakama Kuu ikiamuru EACC kurejesha mali zote zilizokamatwa kufuatia uamuzi wa kukamatwa kwake kimakosa na kushtakiwa
Babu Owino amezungumzia kimafumbo uidhinishaji wa Winnie Odinga kuwa naibu kiongozi wa chama, akiangazia uwezo wake kupita mipaka ya chama............
Babu Owino amezungumzia kimafumbo uidhinishaji wa Winnie Odinga kuwa naibu kiongozi wa chama, akiangazia uwezo wake kupita mipaka ya chama............
Mwanamke wa Mombasa anaomba mahakama itoe amri apewe mwili wa mamake, Saumu Luvuno, unaodaiwa kuchukuliwa kutoka katika makafani na mumewe waliyetengana.
Mbunge wa Tiaty William Kamket na mkewe wanaelezea huzuni yao kwa kufiwa na mtoto wao wa kiume, wakitafakari kumbukumbu zake nzuri wakati wa misa ya mazishi yake.
Joseph Ng'ang'a Ngugi, aliyeachiliwa baada ya miaka 37 katika Gereza la Shimo la Tewa, anatafuta familia yake iliyotoweka wakati na migogoro..........
Familia ya WarKelvin Koriko ilishiriki katika nyimbo na densi huko JKIA baada ya kurejea Kenya kutoka Urusi ambako alikuwa akipigana vita dhidi ya Ukraine.
Karangu Muraya na Triza Muraya watangaza mpango wao wa amani wa malezi mwenza kufuatia uhusiano mgumu, huku mke wake wa pili Carol akiongeza mawazo yake mtandaoni.
Celestine Ndinda, almaarufu Wakavinye, na mumewe Njugush wanakabiliwa na uvumi wa kutengana baada ya kutofanya bathidei zao. Mashabiki wanatazamia uwazi kutoka kwao
Magazeti ya Kenya yaliangazia maonyo kutoka Idara ya Hali ya Hewa ya Kenya, yakisisitiza tahadhari ya mvua kubwa iliyoongezeka, na kuwasihi wakazi kuwa macho.
Familia ya Migori inamuomboleza Brian Marwa, bawabu aliyeuawa na rafiki yake. Huzuni iligeuka kuwa wito wa haki huku wakikabiliwa na msiba wa kuhuzunisha.
Mfanyabiashara amemkaba kisherias Kithure Kindiki, akitafuta jopo la majaji watano kushughulikia masuala ya kikatiba katika mzozo unaoendelea wa kumng'atua Kindiki.
Gavana Johnson Sakaja ameamuru kubomolewa kwa majengo yote haramu kwenye kingo za mto ili kupambana na mafuriko, kurejesha mtiririko bora wa maji.
Sosholaiti wa Kenya Vera Sidika anakana madai ya kuchumbiana na Gen Z msanii kwa jina Tipsy Gee hasa kutokana na kuonekana pamoja Naivasha Safari Rally.
Moyo wa Elieshi Ndetaulwa ulivunjika baada ya mpenzi wake kumtambulisha mwanamke mpya, hali iliyoibua wasiwasi baada ya miaka tisa pamoja na watoto watatu.
Moyo wa Elieshi Ndetaulwa ulivunjika baada ya mpenzi wake kumtambulisha mwanamke mpya, hali iliyoibua wasiwasi baada ya miaka tisa pamoja na watoto watatu.
Aliyekuwa rais wa LSK Faith Odhiambo amesimulia jinsi alivyokutana na mumewe na kubainisha kuwa marafiki zao wawili walianzisha hatua ambayo ilipelekea ndoa tamu.
Mbunge Babu Owino amepuuzilia mbali madai kwamba anawania kiti cha katibu mkuu wa ODM, akisisitiza kuwa anataka tu nafasi ya kiongozi wa chama cha Chungwa
Mfanyabiashara Bosco Ssenyonjo na wanawe wawili walifariki katika ajali ya barabarani. Mzozo kati ya mjane na mamake ulichelewesha mazishi yao huku korti ikiingilia
Esther Tukway aliomboleza kifo cha mumewe, Daniel Ama. Ndoa yao yenye misukosuko, iliyoharibiwa na wivu, iliishia katika huzuni. Ugunduzi wa kutisha ulitokea.
Gavana James Orengo ametaka Rais William Ruto atimuliwe kutokana kwa "kuharisha kwa maneno," akikashifu matamshi yake ya chuki na ukosefu wa uadilifu katika uongozi.
Shule ya Upili ya Chesamisi imezungumzia tukio la Eugene Oundo Wekesa kufariki shuleni, ikifafanua hali ya matibabu na kuthibitisha kujitolea kwa ustawi wa wanafunzi
Shule ya Upili ya Chesamisi imezungumzia tukio la Eugene Oundo Wekesa kufariki shuleni, ikifafanua hali ya matibabu na kuthibitisha kujitolea kwa ustawi wa wanafunzi
Esther Tukway aliomboleza kifo cha mumewe, Daniel Ama. Ndoa yao yenye misukosuko, iliyoharibiwa na wivu, iliishia katika huzuni. Ugunduzi wa kutisha ulitokea.
Jengo lililoporomoka katika eneo la Blue Estate, Nairobi, na kusababisha vifo vya watu wanne, wakiwemo ndugu wawili, na kuacha familia yao katika majonzi mazito.
Mwanaume Mkenya Nahashon Wanyoike ametoweka nchini Marekani baada ya kupigiwa simu na rafiki yake alipokuwa akielekea kazini na kuiacha familia ikisaka majibu.