Jamaa wa Nandi aliyezuiliwa Myanmar amuanika wakala aliyemuahidi kazi Malaysia: “Nahitaji msaada”
Dennis Kosgei kutoka Nandi anaomba usaidizi kusafiri kutoka Myanmar baada ya wakala kumlaghai kuhusu kazi ya udereva nchini Malaysia, ambayo sasa imemtia taabani