Video ya Raila Odinga akifichua kwamba alimlipia karo Johana Ng’eno yaibuka: “Ni kijana wangu”
Video ya TBT imeibuka ikimuonyesha Raila Odinga akidokeza kwamba alimlipia marehemu Johana Ng'eno karo ya shule alipokuwa chuo kikuu na kuwaacha wengi wakimsifu.