DCI Yawaanika Waandalizi wa Linda Mwananchi Waliohami Wafuasi na Silaha Kumuua George Olande Otobe
DCI inachunguza kifo cha George Olande Otobe katika mkutano wa Linda Mwananchi, huku kukiwa na uchunguzi kuhusu ghasia za makundi na wafuasi wenye silaha.