Kasisi wa Kikatoliki akiri huwa anawamezea mate wanawake wakati wa ibada, video yapepea
Padre Emmanuel Obeng alizungumzia hisia za mapadre kwa wanawake, akiwatia moyo wengi kwa mahubiri yake ya kweli kuhusu kudhibiti hisia na kupingana na majaribu.
Padre Emmanuel Obeng alizungumzia hisia za mapadre kwa wanawake, akiwatia moyo wengi kwa mahubiri yake ya kweli kuhusu kudhibiti hisia na kupingana na majaribu.
Kindiki alizuru Mai Mahiu kutoa hati miliki kwa mamia ya waathiriwa wa mafuriko baada ya mkasa kutokea Mei 2024, na kusababisha zaidi ya watu 50 kupoteza maisha.
Rais William Ruto na mtangulizi wake Uhuru Kenyatta wanasemekana kubishana vikali katika mkutano wa faragha nchini Ethiopia. Mengi katika TUKO.co.ke.
Stephanie Ruto alitoa mchango wa KSh 3 milioni kwa kituo cha kutunza watoto cha Mbiuni, akisaidia taasisi hiyo huku akisisitiza mapenzi yake kwa ustawi wa watoto.
Yaytseslav ambaye alipata sifa mbaya kwa kuwarekodi wanawake bila idhini, alifichuliwa na utambulisho wake halisi baada ya kuwahadaa watu.Ufichuzi huo uliibua hasira
Urithi wa Kelvin Kiptum unadumu miaka miwili baada ya kifo chake, huku mizozo ya kifamilia ikizuka, na mjane wake, Asaneth Rotich, kuibuka tena kwenye mitandao
Video ya zamani imeibuka ikimuonyesha Njugush akielezea jinsi ndoa ilivyobadilisha mambo kwake huku kukiwa na madai ya kutengana na mkewe Celestine Ndinda.
Mamlaka imeanzisha msako wa kuwasaka watu tisa wanaojificha kama usafiri haramu wa mkaa kama msafara wa mazishi nchini Malawi, wakikabiliwa na hukumu zinazowezekana.
Mahakama ya Kenya imeamua kuwa kumwondoa mfanyikazi katika kikundi rasmi cha WhatsApp cha kazi ni kinyume cha sheria, na kumpa mwanamke fidia ya KSh 4.4 milioni.
Familia yalaumu huduma za kijamii za Uingereza kwa kifo cha mhamiaji Mkenya Kepha Otundo kutokana na hali ya baridi kali huko Reading baada ya kufurushwa kwake
Posa la kipekee la Jackson Mungwari katika Kituo cha Polisi lilimshangaza mpenziwe Judith Nyaga, na hivyo kuleta wakati wa kukumbukwa kwa wote wawili na maafisa hao.
Mkenya, 40, Geoffrey Jeff Kasume, alikabiliwa na mashtaka ya mauaji baada ya mpenzi wake, Regina Kondombolo, kupatikana amefariki siku chache kabla ya Valentines
Machafuko yalizuka Kitengela huku mkutano wa seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ukisababisha kupigwa risasi kwa fundi Vincent Ayomo, jambo lililoibua hasira.
Mbunge wa Mumias Mashariki Peter Salasya amsuta vikali seneta Richard Onyonka kwa kumuonya huku kukiwa na madai ya changamoti za kifedha katika ODM
Choice Kinoti, mtayarishi wa maudhui, anazungumza baada ya mwanamume mmoja wa Urusi kuvuja kwa video za faragha kufichua uhusiano wao na hali yake ya VVU.
Uvumi unaenea kuhusu kutengana kwa Njugush na Celestine Ndinda huku mashabiki wakigundua Cele hajavalia pete yake, madai ya uzinzi katika ndoa yakiibuka
Video za Mrusi Yaytseslav zinaendelea kuzua hasira, zikionyesha matukio ya kutatanisha na wanawake, ikiwa ni pamoja na klipu ya mwanamke akisafisha boxer zake.
Mwanamke mchanga huko Mtwapa alimsihi mwanamume Mrusi, Yaytseslav, apokee zawadi, na hivyo kuzua hisia tofauti mtandaoni huku matukio yake tata yakifichuliwa.
Serikali ya Kenya imesema inamtafuta mwanamume wa Urusi ambaye alisambaa mitandaoni kwa kuweka video za wanawake aliofanya nao ngono hadharani bila idhini
Mwanamke alikiri kuhusika kwake na Vyacheslav Trahov, mwanamume wa Kirusi ambaye alirekodi matukio kwa siri, na kuzua gumzo moto kwenye mitandao ya kijamii
Mwandishi huyo mashuhuri wa wasifu anaonyesha tofauti kubwa kati ya tabia ya Ruth "kupimwa vita" na uongozi wa sasa wa kaka yao mkubwa, Dk. Oburu Oginga
Aliyekuwa seneta mteule Millicent Omanga alikihama chama cha UDA. Alisifu Linda Mwananchi Tour ya ODM huko Kitengela, na hivyo kuzua hisia kabla ya uchaguzi wa 2027.
Mbunge wa Mukurweini John Kaguchia alifichua sababu zake za kumwacha Rais William Ruto, akitaja udanganyifu na utumizi mbaya wa pesa wakati wa mikutano ya Ikulu.
Junet Mohamed alimuonya mfanyabiashara Oketch Salah dhidi ya kuchapisha tshirt za ODM zenye sura ya Ruto, akisisitiza utiifu wa kisiasa na madhara yanayoweza kutokea
Jaman Kwabena aliumia moyoni baada ya kumuona dada ambaye alimchumbia kwenye video za mtandaoni za mwanamume Mrusi Yaytseslav, na kuzua hisia tofauti mtandaoni.
George Ruto aliwavutia vijana wa Nairobi, akifichua maisha mahiri huku akionyesha matatu zake maridadi, na kuibua mijadala kuhusu mustakabali wake wa kisiasa.
Yaytseslav Truhov alivuma huku video zikifichua jinsi alivyokutana na wanawake, ikiwa ni pamoja na madai ya kulipia mahusiano ya kimapenzi. Wanamtandao walitoa maoni
Yaytseslav alirekodi kwa siri alivyoshiriki kimapenzi na wanawake nchini Kenya na Ghana, na kuzua ghadhabu, huku wakili Wangui akijitolea kuwawakilisha wanaume.
Watu wanne waliopoteza maisha wakiwemo polisi watatu, katika ajali iliyotokea katika Barabara ya Matuu-Mwingi. Maelezo ya tukio yanaonyesha kushindwa kwa mitambo.
Mwimbaji Bahati alikutana na Judith Makokha, aliyedai kuwa mamake. Muungano wao wa kihisia ulizua hisia mseto mtandaoni, wa mshtuko na mashaka juu ya madai yake.
Mbunge wa EALA Winnie Odinga amechapisha mstari mmoja wa Biblia kuhusu utamaa huku malumbano ya uongozi wa chama cha ODM yakiongezeka na mjombake Oburu Oginga.
Nyufa katika Muungano wa Upinzani ziliongezeka huku washirika wa Kalonzo Musyoka wakimshutumu Fred Matiang'i kwa kuhujumu uteuzi wa pamoja wa mgombea urais wa 2027.
Waasi wa ODM wa kundi la Edwin Sifuna walivamia mji wa Kitengela, wakipokea uungwaji mkono huku viogozi wa mrengo huo wakiukosoa uongozi wa Oburu Ogiga,
Mazungumzo yaliyovuja na video yenye msisimko yanaonyesha jinsi mwanamke alivyogundua anarekodiwa na kumkabili raia wa Urusi Yaytseslav anayevuma mitandaoni.
Yaytseslav, mwanamume kutoka Urusi, amesutwa kwa kurekodi kisiri matukio ya faraghani sehemu tofauti na wanawake. Wengi wanaamini alitumia miwani mahiri ya Ray-Ban.
Maisha ya Eunice Wanjiru yalibadilika baada ya kukutana na Uhuru Kenyatta. Kuanzia kwa bahati ya ufugaji wa ng'ombe, gundua safari yake ya kustahimili ustahimilivu.
Pesa walizotuma Wakenya wanaoishi ughaibuni zilipungua kwa 3.8% Januari 2026 hadi $411.3m, kutoka $427.4m Januari 2025 kutokana na ushuru wa 1% na Donald Trump.
Hali ya mshtuko imekumba kijiji cha Tiritap Moita huku Edmond Rono akipatikana amekufa katika Kituo cha Polisi cha Cheplanget. Uchunguzi umefichua hofu ya wakazi.
Ghasia zilizuka Migori na watu sita kupigwa risasi baada ya wafuasi wa Gavana Ochillo Ayacko na Peter Masara kuzua ghasia kuhusu siasa za uchaguzi mkuu wa 2027.
Washirika wa kiongozi wa ODM Oburu Oginga wamemsihi Winnie Odinga kufikiria upya kuhusu kumuunga mkono Edwin Sifuna wakitupia jicho urithi wa Raila Odinga.
Aliyekuwa OCS wa Likoni Yunus Athman amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa muaji ya Mbaraka Maitha Omar mwenye umri wa miaka 20 mwaka 2018 aliyekuwa hana silaha.
Siasa ndani ya ODM zimemwagika katika familia ya marehemu Raila Odinga, na kufichua mipasuko mikali ya kiitikadi inayotishia moja ya nasaba za kisiasa za Kenya.
Mwanaume kutoka Urusi Yaytseslav amezua hasira kwenye mitandao ya kijamii kwa kushiriki video za faragha za wanawake barani Afrika, akiibua wasiwasi kuhusu ridhaa.
Mwakilishi wa wanawake wa Busia Catherine Omanyo alimshutumu katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna kwa kufadhili wakosoaji kumdhulumu kwenye mitandao ya kijamii.
Mama mmoja wa Nairobi juzi aligundua jumbe za kashfa kati ya mumewe na mwalimu wa mwanawe, zikimuacha ameumia moyo kwani mtoto wao anapendelea shule kuliko nyumbani.
Seneta wa Kisii Richard Onyonka alidai kuwa magavana huwapa pesa maseneta ili watulize msasa katika ripoti za ukaguzi, akisema magavana wanapeana hadi KSh 10 milioni
Video ya zamani ya Mchungaji James Ng'ang'a inafichua utabiri wake kabambe, ikionyesha safari yake kutoka kwa shida hadi mhubiri maarufu nchini...
Huku bei za unga wa mahindi zikipanda Kenya kutokana na wasagaji kumaliza akiba yao, wakulima katika North Rift wamekatalia bidhaa hiyo wakitarajia bei kupanda.
Picha za CCTV za kutisha zinaonyesha mwanamke akifanya kitendo cha ajabu katika Kanisa la Grace Mountain huku waumini wakisali kimya-kimya. Mengi hapa
Waziri wa Utumishi wa Umma Geoffrey Ruku amemtaka Oburu Oginga kusahahu kiti cha Naibu Rais 2027 akisema hakifai kutumiwa kama chambo dhidi ya serikali ya Ruto.