Kutimuliwa kwa Gachagua: Korti yaweka tarehe za kusikilizwa kesi ya madai ya fidia ya aliyekuwa DP
Tarehe za kusikilizwa kwa kesi za kuondolewa kwa Rigathi Gachagua zimepangwa. Naibu Rais wa zamani anaomba fidia kwa madai ya kuondolewa kwake kinyume cha sheria.