Mwanaume wa Kakamega aliyefungwa jela miaka 20 baada ya kumtuma bintiye jirani dukani afungua roho
Basil Okaroni alihukumiwa miaka 20 gerezani kwa kesi iliyohusishwa na KSh 200 za kununua mayai. Anasisitiza hana hatia na asimulia masaibu yake....
Basil Okaroni alihukumiwa miaka 20 gerezani kwa kesi iliyohusishwa na KSh 200 za kununua mayai. Anasisitiza hana hatia na asimulia masaibu yake....
Mgombea wa UDA Samuel Muchina alidai gari lililokuwa likiwabeba mawakala wake lilichomwa kabla ya uchaguzi mdogo wa Ol Kalou na ataipasha polisi.
Uganda imemuacha mgonjwa wake wa mwisho wa Ebola, na kuashiria hatua kubwa wakati taifa hilo likianza kuhesabu siku 42 kumaliza rasmi mlipuko huo.
Ujumbe wa fumbo wa naibu rais Kithure Kindiki umezua mjadala mitandaoni huku uchaguzi mdogo wa Ol Kalou ukianza, ukikutanisha kambi za Ruto na Gachagua.
Jamii ya Githumu inaomboleza James Gichohi Wanjau, mwendesha boda boda aliyepatikana ameawa. Polisi wanachunguza mauaji huku wakazi wakitaka haki.
Upigaji kura umeanza katika Uchaguzi Mdogo wa Ol Kalou huku wakazi wakimchagua mbunge mpya. Wagombea wakuu ni: Muchina wa UDA, Waweru wa DCP, na Kigwa wa Jubilee.
Waweru Gachoki, wa miaka 30, alifariki dunia baada ya kupigwa na majirani waliomdhania mwizi alipobisha hodi kwa mama yake usiku huko Muthigini, Kirinyaga.
Jude Bellingham anakabiliwa na shutuma baada ya kuzuka picha zinazomuonyesha akimpiga Valentin Barco wa Argentina baada ya nusu-fainali waliyoshindwa 2-1.
Uchaguzi mdogo wa Ol Kalou unashuhudia mzozo wa kisiasa kati ya Rais Ruto na Naibu Rais wa zamani Gachagua huku kukiwa na madai ya udanganyifu kabla ya kura kupigwa.
Rigathi Gachagua awasihi wazee wa Kikuyu na Kalenjin kuitisha mazungumzo ya haraka ya amani kabla ya uchaguzi wa 2027 ili kuzuia mgogoro kama ule wa ghasia za 2007.
Ndoto za England ya Kombe la Dunia ziliishia kwa huzuni kubwa baada ya Argentina kimiujiza kutoka nyuma na kupata ushindi wa dakika za mwisho za nusu fainali.
Gavana wa Siaya James Orengo na Mbunge Babu Owino wameonya kuhusu kulipiza kisasi ikiwa watashambuliwa tena na wahuni katika mikutano ya Linda Mwananchi.
Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Zambia Guy Scott amefariki akiwa na miaka 82 baada ya kuugua kwa muda mfupi. Rais Hakainde Hichilema ametangaza mazishi ya kitaifa.
Kanisa la Deliverance Church Umoja linaomboleza kifo cha ghafla cha Mchungaji Pamela Dreda Oyola, aliyeacha mume na watoto wawili pamoja na urithi wa imani.
Bastola ya Beretta ya Jaji Aggrey Muchelule ilipatikana baada ya makabiliano ya polisi Joska na imehusishwa na ujambazi wa Julai 4 Westlands......
Mkenya mmojaq alikutana na katibu mkuu wa COTU Francis Atwoli, akimsuta kwa kuendelea kula bata wakati Wakenya wakipitia mateso na hali ngumu ya maisha.
Allan Mwenda, Afisa Mkuu wa Ufuatiliaji na Tathmini katika National Oil Corporation of Kenya, alifariki kwenye ajali mbaya ya Barabara ya Mbagathi.
Afisa wa itifaki wa Johnson Sakaja alisimulia tukio la kutisha baada ya kumkuta mwanaume amelala chini ya shuka jeupe katika Makaburi ya Nairobi South.
Joy Kanini anadaiwa kuuawa kikatili na mpenzi wake, John Muriithi, ambaye inadaiwa aliwaongoza wapelelezi hadi kwenye choo cha shimo Nyeri ambako alitupa vipande.
Lulu Hassan afichua hofu yake ya kifo na kuachwa na mume wakati wa mahojiano ya waziwazi na Msenangu FM, akiwavutia mashabiki kwa hisia zake za wazi.
Nchi ya Ufaransa imetangaza nchi 13 zinazostahili kuingia bila visa katika maeneo yake ya ng'ambo, huku Afrika Kusini ikiwa taifa pekee la Afrika.
FIFA yapanga mapumziko ya dakika 30 na burudani ya Madonna na Burna Boy kwenye fainali ya Kombe la Dunia 2026, jambo lililozua hasira kwa mashabiki.
Askofu Hieronymus Emusugut Joya wa Jimbo Katoliki la Maralal aliwaonya wanawake dhidi ya kuwajaribu mapadri baada ya kuwasimamisha sita. TUKO.co.ke...
Rosemary Odinga amegeuza ufugaji wa konokono kuwa biashara ya mamilioni, akiwahamasisha vijana wa Kenya kuwekeza katika kilimo chenye faida kubwa.
Binti wa kuasili wa Mike Sonko, Janet Kaingi, amefunga ndoa na Elvis Kintu katika harusi ya kifahari iliyogubikwa na hisia na shamrashamra za familia.
Wakenya wajadili gharama za elimu ya kifahari baada ya Yvette Obura kufichua ada za Mueni katika Good Testimony Schools, zikizua mjadala mkubwa...
Kundi la Linda Mwananchi linabadilisha siasa za Kenya kwa uungwaji mkono unaoongezeka, likishawishi uchaguzi wa 2027. Hali hii imewashtua Ruto na upinzani.
Wapelelezi wa mauaji walipata kichwa cha Joy Kanini baada ya mshukiwa mkuu wa mauaji yake kudaiwa kuwaelekeza kwenye choo cha shimo ambapo alificha mabaki hayo.
EPRA yathibitisha bei zisizobadilika za mafuta kwa Super Petrol, Dizeli, na Mafuta ya Taa kuanzia Julai 15 - Agosti 14, licha ya Wakenya kuwa na imani zingepungua.
Rigathi Gachagua anadai kuwepo mipango ya kuiba kura katika uchaguzi mdogo wa Ol Kalou, na kuibua wasiwasi kuhusu vitisho vya wapiga kura na uadilifu wa IEBC.
Mbunge Baba Levo alizungumzia kutengana kwa Zuchu na Diamond Platnumz, akifichua mvutano na matumaini ya maridhiano huku kukiwa na madai ya ujauzito wake.
Shahidi anayelindwa aliambia mahakama ya Kibera kwamba walilipwa KSh 50,000 kufuatilia gari la Charles Ong'ondo Were siku aliyouawa jijini Nairobi.
Waziri wa Nishati Opiyo Wandayi atangaza hatua za kudumisha bei za mafuta huku viwango vya mafuta duniani vikiongezeka, ikiwemo ruzuku na VAT iliyoongezwa.
Elizabeth Maua Malombe amesema amemsamehe Peter Mugure lakini hawezi kusahau kuhusu mauaji ya kinyama ya binti yake Joyce Syombua na wajukuu wake wawili....
Aliyekuwa Meja wa KDF Peter Mugure amewashangaza Wakenya baada ya hotuba yake mahakamani kukosa majuto licha ya kuhukumiwa maisha kwa mauaji ya familia yake
Kanze Dena amerejea na mpango kabambe wa kuwawezesha wanawake kiuchumi kupitia utafiti na ushirikiano na mashirika mbalimbali nchini Kenya. Soma TUKO.co.ke
Aliyekuwa Meja wa KDF Peter Mugure amehukumiwa kifungo cha maisha kwa mauaji ya mkewe Joyce Syombua na watoto wao wawili katika kesi ya mwaka 2019.
Mazungumzo ya WhatsApp kati ya mwanamke aliyeolewa na mpenzi wake ambaye pia ameoa yamesambaa mtandaoni, yakizua mjadala kuhusu uaminifu kwenye ndoa.
Kizza Besigye yuko tayari kusikilizwa kortini pindi masuala ya kisheria yatakapotatuliwa, na kukanusha madai ya Rais Yoweri Museveni ya ucheleweshaji.
Claire Kirabo, who spent six years in ICU after a stroke, passed away on July 12 at Mbarara Regional Referral Hospital, marking a rare medical journey.
Muhoho Kenyatta anahusishwa na Artisan Collective Ltd, kampuni ya mitindo ya kifahari inayotengeneza nguo za kipekee Nairobi, huku magauni yakiuzwa hadi KSh 17,500.
Muhoho Kenyatta anahusishwa na Artisan Collective Ltd, kampuni ya mitindo ya kifahari inayotengeneza nguo za kipekee Nairobi, huku magauni yakiuzwa hadi KSh 17,500.
Pascal Tokodi amempongeza Dennis Mugo almaarufu OJ wa Tahidi High kwa kuhamasisha kizazi cha waigizaji, huku Wakenya wakimiminika kumsherehekea....
FIFA imewaondoa waamuzi François Letexier na Clément Turpin katika Kombe la Dunia 2026 huku mechi ya Argentina dhidi ya Misri ikiendelea kuzua mjadala.
Canada imechapisha orodha ya nchi zinazostahili kusafiri bila viza chini ya masharti mapya ya kuingia nchini, pamoja na wanaostahili kutumia eTA.
Cristiano Ronaldo ana mabao 976, rekodi nyingi za UEFA na Portugal. Hizi ndizo takwimu, mataji na mafanikio yanayomfanya kuwa gwiji wa soka duniani.
Mshukiwa anayehusishwa na wizi katika mgahawa mmoja jijini Nairobi alipigwa risasi na kuuawa wakati wa uvamizi wa DCI huko Joska, Kaunti ya Machakos.
Kura ya maoni ya Infotrak imefichua kuwa huenda kukahitajika duru ya pili ya uchaguzi wa urais. Kura hiyo pia inasema Ruto anaongoza kwa sasa kwa 32%.
Michuano ya Kombe la Dunia 2026 yatoa fursa kwa bidhaa nyingi kutoka Yiwu, ikitumikia soko la kimataifa na kuonyesha ukuaji wa kiuchumi wa China.
DCI wamemuua kwa kumpiga risasi mshukiwa aliyehusika na wizi wa kutumia bastola katika mgahawa wa eneo la Spring Valley. Walivamia makazi yake Kaunti ya Machakos.