Utumishi Academy: Wanafunzi 30 wazuiliwa na polisi kuhusu mkasa wa moto ulioua 16 shuleni
Polisi wanachunguza tuhuma za moto kuanzishwa kimakusudi katika shule ya Utumishi Girls Academy ambapo wanafunzi 16 walifariki na wengine kadhaa kujeruhiwa vibaya.