🔴MAGAZETI: MAFISADI WOTE WATANYONGWA / SIMBA HAKUNA KULALA …SEPTEMBA 01, 2025
🔴MAGAZETI: MAFISADI WOTE WATANYONGWA / SIMBA HAKUNA KULALA …SEPTEMBA 01, 2025
🔴MAGAZETI: MAFISADI WOTE WATANYONGWA / SIMBA HAKUNA KULALA …SEPTEMBA 01, 2025
#KIPIMAJOTO: Ombi la Wakulima wa Kokoa Mbeya kutaka kuundwe bodi ya Kudhibiti ubora wa zao hilo kama zilivyo za mazao mengine. Je, Serikali ilitekeleze?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – SEPTEMBA 01, 2025
Marekani inapanga kuwahamisha wakaazi wote wa ukanda wa Gaza na kuchukua udhibiti kamili wa ukanda huo chini ya mpango unaozingatiwa na utawala wa Rais Donald Trump. Taarifa hizo zimeripotiwa jana…
Waasi wa Houthi wamevamia ofisi za mashirika mawili ya misaada ya Umoja wa Mataifa katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa, na kuwateka nyara wafanyakazi kadhaa. Taarifa hizo ni kwa mujibu…
Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amekagua kiwanda kipya cha utengenezaji wa makombora pamoja na mchakato wa uzalishaji wa silaha hizo kwa kutumia teknolojia ya kisasa, kwa mujibu wa…
Kupitia chapisho kwenye mtandao wa kijamii wa X, Khamenei amesema nchi hizo mbili kutoka pande tofauti za Asia, zina uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa ya kikanda na duniani kwa ujumla.…
Kauli hiyo amekuwa akiirudia mara kwa mara tangu kuanza kwa vita hivyo mwaka 2022, na hivi karibuni Zelensky alithibitisha kuwa yuko tayari kwa mazungumzo ya ana kwa ana na Putin…
SK2 / S02S01.09.20251 Septemba 2025 Idadi ya watu ambao wamefariki nchini Afghanistan kufuatia tetemeko baya la ardhi imeongezeka na kufikia zaidi ya 800+++Rais wa China Xi Jinping ameahidi kuwa nchi…
Veronica Natalis 01.09.20251 Septemba 2025 Kwa wanaojifungua kwa mara ya kwanza wakati mwengine wanakuwa na hofu kubwa ya kupitia mchakato mzima wa kujifungua. Wengi wanakuwa na uwoga baaada ya kuwasikia…
01.09.20251 Septemba 2025 Ngoma za Njuga ni aina ya ngoma za asili zinazochezwa kwa kuvaa njuga miguuni au mikononi, zikitamba kwa sauti ya kipekee inayochochea furaha, heshima na mdundo wa…
Sikiliza Taarifa ya Habari za Ulimwengu Asubuhi 01 Septemba 2025 kutoka Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.
Wahouthi wamevamia ofisi za mashirika ya Umoja wa Mataifa yanayoshughulika na chakula na watoto mjini Sanaa, Yemen, na kumkamata mfanyakazi mmoja, huku vikosi vyao vikiimarisha ulinzi kufuatia kuuawa kwa waziri…
Msafara wa meli zinazobeba misaada ya kibinadamu na wanaharakati, wakiwemo mpiganiaji wa mazingira kutoka Sweden Greta Thunberg, uliondoka mjini Barcelona Jumapili ukiahidi kuvunja “mzingiro haramu wa Gaza,” kwa mujibu wa…
#HABARI: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, Mhe. Jaji George J. Kazi leo tarehe 31 Agosti, 2025 amekabidhi fomu ya uteuzi kwa mgombea wa Kiti cha Rais wa Serikali…
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 31, 2025 -WAGOMBEA SITA WACHUKUWA FOMU ZA KUWANIA URAISI- ZANZIBAR
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz, amethibitisha Jumapili kwamba msemaji wa muda mrefu wa kijeshi wa Hamas, Abu Obeida, ameuliwa katika shambulizi la anga mjini Gaza. Kupitia ujumbe aliouandika…
Hayo ni kwa mujibu wa Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky aliyeapa kulipiza kisasi kwa kuamuru mashambulizi zaidi ndani ya ardhi ya Urusi. Kampuni kubwa kabisa ya kibinafsi ya nishati nchini…
Watu saba wameripotiwa kuuawa katika shambulizi lililomlenga Obeida. Hata hivyo, Hamas haijathibitisha rasmi kifo hicho na imeyataja madai hayo kuwa ni “vita vya kisaikolojia.” Muda mfupi kabla ya Katz kuthibitisha…
Uamuzi uliotangazwa baada ya kikao cha siri nyumbani kwa Rais Patrice Talon, ambaye amesisitiza hatagombea muhula wa tatu kikatiba. Muungano tawala unaundwa na vyama kadhaa, kikiwemo cha Republican Bloc –…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MBEYA : AGOSTI 31, 2025 –
“Barabara hii ni ya uchumi, ndiyo barabara ambayo kuna minada hufanyika kila Jumapili. Minada hii inaingiza kiasi kikubwa cha fedha ndani ya Halmashauri, lakini pia mifukoni mwa wafugaji na wafanyabiashara…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Manyoni, Singida, imemhukumu Juma Zakale Nyenze (68), mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Chiwondo, Kijiji cha Sukamahela, kwenda jela miaka 30 baada ya kupatikana na…
Jumapili hii inatimiza miaka kumi tangu Kansela wa zamani wa Ujerumani Angela Merkel kutoa kauli yake maarufu “Wir schaffen das” — “Tutaweza” — wakati taifa hilo lilipofungua mipaka kwa wimbi…
“Kwa upande wa elimu, tunakuja kufanya majambo kwa kuongeza shule, kwa sababu tunajua watoto wetu wanakua na mahitaji ya madarasa bado yapo. Tutakuja kuongeza shule za sekondari na shule za…
#HABARI: Moto mkubwa ambao chanzo chake hakijajulikana umeibuka na kuteketeza jengo la ghorofa linaloendelea kujengwa katika eneo la Kariakoo, kwenye makutano ya Mitaa ya Aggrey na Sikukuu, majira ya saa…
“Ndugu zangu Wanakondoa, hapa tupo mafiga matatu, Kuna mimi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye ninaomba kura zenu. Lakini pia ninawaombea kura wabunge hawa wawili. Na pale tunapomimina…
Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) umeanza mjini Tianjin, kaskazini mwa China, ukiwaleta pamoja viongozi kutoka zaidi ya nchi 20. Huu ndiyo mkutano mkubwa zaidi tangu…
Mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) umeanza mjini Tianjin, kaskazini mwa China, ukiwaleta pamoja viongozi kutoka zaidi ya nchi 20. Huu ndiyo mkutano mkubwa zaidi tangu…
#HABARI: Mahakama ya Mkoa wa Vuga, tarehe 27/08/2025 imemhukumu Mshtakiwa Nassor Seif Khamis (47) mkazi wa Nyerere Zanzibar, kutumikia adhabu ya kifungo cha miaka 13 jela kwa kosa la Unyang’anyi…
🔴TAMASHA LA MICHEZO : 31 AGOSTI 2025
Rais Vladimir Putin wa Urusi amewasili Jumapili, akiambatana na ujumbe uliowahusisha wanasiasa wandamizi na wawakilishi wa biashara. Putin anatarajiwa kufanya mazungumzo Jumatatu na Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan na…
Maandamano hayo, yaliyoanza kwa kupinga marupurupu ya kifahari kwa wabunge na mishahara midogo, sasa yamegeuka vurugu, yakisababisha vifo vya watu watatu na mashambulizi dhidi ya nyumba za mawaziri na wabunge…
Maafisa wa afya wa eneo hilo wamesema mashambulizi hayo ya vifaru na makombora ya angani yameuwa karibu watu 18 Jumapili, wakiwemo 13 waliojaribu kutafuta chakula kutoka kituo kilicho karibu cha…
Mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Wahouthi, Mahdi al-Mashat, alithibitisha tukio hilo, akisema watu wengine pia walijeruhiwa. Israel imesema shambulizi hilo lililenga maafisa wakuu akiwemo mkuu wa utumishi wa…
Hatua hiyo inaashiria kugawanyika kwa taifa hilo katikati ya vita vya miezi 28 kati ya Jeshi la Sudan na Kikosi cha RSF kinachoongozwa na mbabe huyo wa kivita. Wakati jeshi…
🔴: MKUTANO WA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS CCM -KONDOA, DODOMA
🔴: MKUTANO WA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS CCM – CHEMBA 31 AGOSTI, 2025
Baada ya mvua mbaya na maporomoko ya matope katika mkoa wa Khyber Pakhtunkhwa, kaskazini mwa Pakistan, mvua kubwa inasababisha mafuriko katika mkoa wa Punjab. Katika eneo hili lenye watu wengi…
Katika taarifa yenye nguvu isiyo ya kawaida, Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imeionya Israel siku ya Jumamosi, Agosti 30, dhidi ya kuwahamisha watu wengi kutoka mji wa Gaza.…
Baada ya kimya cha siku mbili, mamlaka ya Houthi nchini Yemen hatimaye imethibitisha siku ya Jumamosi, Agosti 30, vifo vya wanachama kadhaa wakuu wa vuguvugu lao, akiwemo mkuu wa serikali…
Katikati ya mwezi wa Agosti, serikali ya Mali ilitangaza kuwa imezuia “jaribio la kuhatarisha usalama wa taasisi za Jamhuri.” Wanajeshi kadhaa wakiwemo majenerali wawili walikamatwa. Miongoni mwa wale wanaoshutumiwa kushiriki…
🔴KUMEKUCHA:..UZAZI NA AFYA YA AKILI, AGOSTI 31, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 31, 2025
Tukio la wavuvi kupoteza maisha Ziwa Singindani kwa miaka mitano mfululizo. Je mamlaka za utafiti zinashindwa kulidhibiti lisiendele?
DIRA.BZ31.08.202531 Agosti 2025 Israel yathibitisha kuuawa kwa msemaji wa kundi la Hamas huko Gaza // India yatangaza kuwa imedhamiria kuimarisha mahusiano na China // Na Indonesia yapunguza posho za wabunge…
SK2 / S02S31.08.202531 Agosti 2025 Viongozi wa ulimwengu wawasili China kuhudhuria mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai // Waziri Mkuu wa serikali ya Houthi nchini Yemen auawa…
31.08.202531 Agosti 2025 Joto la kisiasa Tanzania linaendelea kupanda kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. Rais anaetetea kiti chake, Samia Suluhu Hassan, haonekani kuwa na mtihani mkubwa sana kwa kuwa…
#HABARI: Wizara, Taasisi na Mashirika binafsi, zimetakiwa kutekeleza utoaji wa huduma za ustawi wa Jamii kwa vitendo ili kuwa na jamii yenye uwezo wa ustahimilivu na yenye mchango wa kuleta…
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 30, 2025 – WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHUKUA FOMU