Usipitwe na kipindi bora cha burudani HAWAVUMI LAKINI WAMO kila Jumamosi saa 4 Usiku hapa ITV
Usipitwe na kipindi bora cha burudani HAWAVUMI LAKINI WAMO kila Jumamosi saa 4 Usiku hapa ITV #hawavumilakiniwamo #kulachumahicho #zomboko
Usipitwe na kipindi bora cha burudani HAWAVUMI LAKINI WAMO kila Jumamosi saa 4 Usiku hapa ITV #hawavumilakiniwamo #kulachumahicho #zomboko
Mauaji ya spika wa zamani wa Bunge Andriy Parubiy, mtu mashuhuri katika siasa za Ukraine, “yamepangwa kwa kina,” rais Volodymyr Zelensky amesema siku ya Jumamosi, Agosti 30. Imechapishwa: 30/08/2025 –…
Luteni Kelly Ondo, muhusika wa jaribio la mapinduzi dhidi ya rais wa zamani wa Gabon Ali Bongo Ondimba mnamo Januari 7, 2019, ameachiliwa Jumamosi, Agosti 30. Alikuwa akizuiliwa katika Gereza…
Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Filippo Grandi, amewasili Goma, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), siku ya Ijumaa, Agosti 29. Amewatembelea…
Mkutano wa 25 wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai utafanyika katika mji wa Tianjin nchini China, siku ya Jumapili, Agosti 31 na Jumatatu, Septemba 1. Hii ni fursa nzuri kwa…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya ‘Selfie’ na Wananchi wa Kibaigwa Mkoani Dodoma wakati wa…
#HABARI: Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Bw. Vicent Minja, ameipongeza Shule ya Sekondari ya Wasichana ya John The Baptist Schools iliyoko Boko Basihaya jijini Dar…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA PWANI : AGOSTI 30, 2025
Mkutano huo unatarajiwa kufanyika mwezi Ujao mjini New York Marekani. Kallas amesema kutokana na mikataba iliyoko kati ya Umoja wa Mataifa na Marekani, taifa hilo linapaswa kufikiria upya uamuzi wake.…
Afisa huyo ambae hakutaka jina lake kutajwa kwa kuwa hakuidhinishwa kuzungumza na vyombo vya habari, aliliambia shirika la habari la The Associated Press kwamba Israel itachukua uamuzi huo ndani ya…
Inaarifiwa watu waliokuwa wamejazana katika boti hiyo walikuwa wanayakimbia mashambulizi ya watu waliojihami katika jimbo hilo. Maidamma Dankilo, Mkuu wa mji wa Birnin Magaji,amethibitisha mauaji ya watu hao 13. Watu…
#HABARI: Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kutatua changamoto za ardhi na kuendeleza programu za…
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linapaswa kuchukua hatua za haraka kuwalinda raia katika maeneo ya Magharibi…
Halmshauri ya Umoja wa Ulaya ilipendekeza kusimamisha kwa muda ufadhili wa utafiti katika makampuni kadhaa ya Israel, baada ya Uchunguzi wa Halmashauri hiyo kuonesha kuwa hatua za Israel, katika Ukanda…
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ufaransa Jean-Noel Barrot amesema wahusika wote wanapaswa kuhudhuria mkusanyiko huo. Ameyazungumza hayo katika mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje unaofanyika Copehagen.…
Zaidi ya droni 100 zilionekana zikiruka sehemu tofauti za nchi, huku jeshi la anga likijaribu kudungua baadhi ya droni hizo. Miripuko pia iliripotiwa katika maeneo ya Cherkasy, Chernihiv, Dnipro na…
Bangkok Wizara ya Ulinzi ya Thailand imesema kukosekana kwa serikali rasmi nchini humo hakuaathiri usalama wa mipaka na Cambodia. Taifa hilo linajaribu kujaza nafasi ya Waziri Mkuu iliyowachwa wazi baada…
Morocco wanalisaka kombe hilo ili waweke rekodi ya kuwa taifa lenye vikombe vingi katika michuano hiyo huku Madagascar wao wakitaka kuweka rekodi ya kulibeba taji hilo kwa mara ya kwanza.…
#HABARI: Mgombea wa Urais Zanzibar kupitia Chama cha Wakulima AAFP Said Soud Said, amewasili katika Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuchukua fomu ya Uteuzi. #ITVDigital #ITVUpdates…
#HABARI: Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, amemkabidhi fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),…
“Watu wasiopunguwa 841” wamenyongwa nchini Iran tangu mwanzoni mwa mwaka, Umoja wa Mataifa umesema siku ya Ijumaa, Agosti 29. Ofisi ya haki za binadamu ya shirika hilo imeshutumu “tabia ya…
Washington imekataa siku ya Ijumaa, Agosti 29, kutoa viza kwa wajumbe wa ujumbe wa Palestina uliopangwa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwezi Septemba. Mkutano ambao Ufaransa inatarajiwa kutetea…
Mahakama ya Rufaa ya shirikisho la Marekani imeamua mnamo siku ya Ijumaa, Agosti 29, kwamba sehemu kubwa ya ushuru wa forodha uliowekwa na Donald Trump haukuwa halali. Rais hawezi kuweka…
Baada ya kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea barani Afrika nchini Nigeria, Bilionea wa Nigeria Aliko Dangote ametia saini kandarasi ya dola bilioni 2.5 nchini Ethiopia siku ya Alhamisi, Agosti 28,…
Malaysia imetoa mwito wa kusimamishwa uanachama wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Umoja wa Mataifa kutokana na jinai zake katika Ukanda wa Gaza. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa, wito uliotolewa na Waziri wa Fedha wa Israel mwenye itikadi kali, Bezalel Smotrich, wa kukata maji, umeme na usambazaji wa…
Mapigano ya siku mbili kati ya vikosi vya jeshi la serikali na wapiganaji waasi nchini Sudan Kusini yamezua hofu kuhusu makubaliano tete ya amani ya nchi hiyo. BONYEZA HAPA USOME…
🔴MAGAZETI: CHADEMA YAMBWAGA MSAJILI MAHAKAMANI / YANGA: WALETENI TU, TUPO TAYARI…..AGOSTI 30, 2025
#KIPIMAJOTO: Ahadi za wagombea Kipindi cha Kampeni. Je, zinaakisi hali halisi ya maisha ya watu katika maeneo husika?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 30, 2025
DW Kiswahili30.08.202530 Agosti 2025 Ulaya yatoa wito kwa Marekani kufikiria uamuzi wake wa kuwanyima viza wapalestina kuhudhuria mkutano wa UN++++Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limelitaka…
DW Kiswahili30.08.202530 Agosti 2025 Ujerumani haiko tayari kuidhinisha vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Israel kufuatia vita vya Gaza++++Ufaransa yasema Marekani haitakiwi kuwanyima wajumbe wa Palestina nafasi ya kuhudhuria…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Mbulu Vijijini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Bw. Flatei Gregory, amewekewa pingamizi baada ya Tume Huru ya Uchaguzi, kumteua kuwa mgombea rasmi wa chama hicho…
#MICHEZO: Wakati mchezo wa fainali ya michuano ya CHAN, ukitarajiwa kupigwa hapo kesho katika dimba la Moi Kasarani, leo Mabalozi wa CHAN Mrisho Ngasa, Victor Wanyama na Denis Onyango, wamekutana…
#HABARI: Chama cha ACT Wazalendo Jimbo la Mbulu Vijijini, Mkoani Manyara, kimelaani kikundi cha vijana kinachotumika vibaya kisiasa kupinga uteuzi wa Mgombea Ubunge wa jimbo la Mbulu Vijijini, kwa tiketi…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 29, AGOSTI 2025
“Tanzania leo ni moja ya nchi ambazo zinapata utalii wa afya…zamani sisi tunakumbuka nadhani miaka kama 10 tu iliyopita, viongozi wakiugua wao ndio utawasikia wamekwenda India, Watanzania tutabaki hukuhuku…sasa hivi…
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza Timu ya Olimpiadi ya Astronomia ya Iran kwa kushinda taji la ubingwa wa dunia kwa mwaka wa pili mfululizo. BONYEZA…
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa katika sekta za afya…
Vikosi vya ulinzi wa anga vya Russia vimeitungua ndege isiyo na rubani ya Ukraine (Droni) iliyokuwa imekusudia kutekeleza shambulizi katika kiwanda cha nguvu za nyuklia cha Kursk cha Russia (KNPP).…
🔴KIPIMAJOTO:UCHAGUZI MKUU 2025. JE, NINI VIPAUMBELE VYA WANANCHI?
Kundi la mawakili watetezi wa haki za binadamu na taasisi zisizo na kiserikali (NGOs) linaishtaki serikali ya Eswatini kwa kukubali kuwapa hifadhi watu watano waliofukuzwa nchini Marekani. BONYEZA HAPA USOME…
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limeashiria umuhimu wa uhusiano wa kina uliopo kati ya serikali, taifa na vikosi vya ulinzi likiutaja kuwa muhimu kwa ajili…
🔴TAARIFA YA HABARI AGOSTI 29, 2025 -MGOMBEA URAIS WA CCM AOMBA KURA MOROGORO
#KIPIMAJOTO:UCHAGUZI MKUU 2025. JE, NINI VIPAUMBELE VYA WANANCHI?
#HABARI: Mvuvi anayefanya shuguli za uvuvi katika Ziwa Singidani Manispaa ya Singida, ayetambulika kwa jina la Ally Mussa anayekadiriwa kuwa na miaka 25, anadaiwa kufa maji katika ziwa hilo, kufuatia…
Idadi kubwa ya wanadiplomasia wakuu wa zamani wa Ulaya wametaka Umoja wa Ulaya au nchi wanachama wachukue hatua za haraka kuhusiana na vita vya utawala wa Kizayuni huko Gaza na…
#HABARI: Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu, amewataka wadau wanaoendesha Vituo vya kulelea watoto wadogo mchana, Makao ya Watoto na Nyumba…
Kulingana na ofisi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu mwili wa mwanamume huyo umetambuliwa kuwa ni wa Ilan Weiss wa Be’eri. Mwili wa mateka mwingine haujatambuliwa. Mateka 50 kati ya 250…
Katika taarifa ya pamoja nchi hizo zimesema licha ya juhudi kubwa za kidiplomasia, Urusi haijaonesha nia ya kuvimaliza vita dhidi ya Ukraine. Ahadi ya nchi hizo mbili kwa umoja wa…