Abbas Araghchi: Wakaguzi wa IAEA wanaingia nchini kwa uamuzi wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuingia nchini kwa wakaguzi wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA ni uamuzi uliochukuliwa na…