Baraza la Mawaziri Sudan lafanya kikao cha kwanza mjini Khartoum tangu 2023
Baraza la Mawaziri la Sudan ya Sudan lilifanya mkutano wake wa kwanza katika mji mkuu, Khartoum, jana Jumanne tangu kuzuka kwa vita vya ndani nchini humo katikati ya Aprili, 2023.…