Ohh jamani wamemdaka Yusuf
Ohh jamani wamemdaka Yusuf. Yavut anaendelea kupiga hatua zake, ila mbele kuna Jevidet. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
Ohh jamani wamemdaka Yusuf. Yavut anaendelea kupiga hatua zake, ila mbele kuna Jevidet. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
Mbote amejitokeza nyumbani kwa Maega. Sandra ndio msaliti. Mbote amefikiwa na habari za uhusiano wa Mussa na Radhia. Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
đź”´ #ITVMAGAZETINI: AFYA YA PENGO YAZUA WASIWASI / BARKER ATUA NA WANNE
Toka kwa timu yako ya Taifa #Clouds360 tunakutakia heri ya msimu wa sikukuu na mwaka mpya wa kunyoosha #Clouds360 #HeriYaKrisimasi #Clouds26Nyoosha
#SWALILAKIPIMAJOTO: Kuanza kwa Sikukuu za mwisho wa mwaka. Je, familia zinazingatia usalama ili kuepusha majanga na kutokea kwa uhalifu?
đź”´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DISEMBA 25, 2025
#Cloudsmediagroup inawatakia Watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Krismasi. #Nyoosha: Tusherehekee sikukuu hii kwa amani, upendo na utulivu, tukidumisha mshikamano wa kitaifa.
Merry Christmas #AzamTVBurudaniKwaWote
@idambeki anasema mwaka mpya 2026 ana ndoto na malengo makubwa sana. Amefunguka kupitia #SentroYaCloudsTv #LainiYawana
Haya ndio anayoyapitia Ojwang kwenye muziki wake. Amesema muziki ni mgumu kwenye kila kitu. #SentroYaCloudsTv #LainiYawana
Wanachama wa kikundi cha kusaidiana cha WAPONYAMASWA cha wilayani Misungwi mkoani Mwanza wameiomba serikali kudhibiti mfumuko wa bei kwenye vifaa vya ujenzi ili kupunguza migogoro katika vikundi vya aina hiyo…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema asilimia 70 ya makusanyo ya tozo mpya ya uagizaji magari nje ya nchi 'HIV Response Levy' itatumika kununua dawa za kufubaza Virusi vya UKIMWI…
#HABARI: Jumuiya ya Shia Tanzania imewaomba Watanzania kutumia sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya kama chachu ya kuwajenga vijana katika misingi ya uzalendo na kuipenda nchi bila kuangalia tofauti za…
#HABARI: Wajasiriamali wadogo kutoka wilaya tano za Mkoa wa Dar es Salaam, wametoa tamko la kuazimia kuendelea kudumisha amani, na kutumia njia ya mazungumzo kama sehemu muhimu ya kutatua changamoto…
#HABARI: Wakazi wa Manispaa ya Singida kuelekea sikukuu za mwisho za krismasi na Mwaka mpya, wamelalamikia bei ya Kitoweo cha kuku wa kienyeji kupanda maradufu kutoka shilingi 18,000 hadi kufikia…
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Prof. Riziki Shemdoe ameulekeza uongozi wa Shirika la Masoko kuhakikisha zoezi la upangishaji wa vizimba…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 24/12/2025
Mzee Maega anashtuka aliyemuamini kumbe alikuwa akimseti siku zote 🙌
Yataje? #SentroYaCloudstv #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
đź”´TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 24, 2025 - WAZIRI MKUU AAGIZA WATUMISHI TEMESA WAFUTWE KAZI
#MICHEZO: Bondia namba moja nchini Tanzania kwa uzani wa sabini na tatu kidunia, Richard Mtangi, ametamba kufanya vizuri kwenye pambano lake la kuwania mkanda wa WBO Afrika Disemba 31, 2025…
Zawadi gani unatamani mtu akupatie kwenye sikukuu ya Krismasi? Unaweza kuchangia mada zetu kila Jumatatu hadi Ijumaa kupitia kundi la WhatsApp 👉 065 229 1057 . Hosted by @missloloh_ @djfantastic255…
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA KIGOMA- DISEMBA 24, 2025
#MICHEZO: Simba sasa ipo chini ya kocha mpya Steve Barker ambaye ametokea klabu ya Stellenboch ya Afrika Kusini. Na moja ya jambo linasubiriwa kwa hamu atamtumiaje mchezaji Mourice Abraham ambaye…
#HABARI: Watu 14 wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la abiria na Lori, baada ya magari hayo kugongana uso kwa uso leo Disemba 24, 2025, katika eneo la Magubike, Wilaya ya…
#HABARI: Mkuu wa Kitengo cha Usalama barabarani Wilaya ya Shinyanga ASP Zainabu Ally Mangala, amewataka madereva na watumiaji wa barabara kuzingatia sheria za usalama barabarani, katika msimu huu wa sikukuu…
WAZIRI KATIMBA- WENYE CHANGAMOTO ZA MIRATHI WATUMIE RITA Serikali imezitaka jamii zenye changamoto ya usimamizi wa mirathi kutoa taarifa kwa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) ili kupata mwongozo…
Ujenzi wa Bwawa kubwa la kilimo cha umwagiliaji la Mkomazi lililopo kijiji cha Manga Mtindiro, Wilaya ya Korogwe, Tanga umefikia asilimia 85. Kukamilika kwa Bwawa hilo linalojengwa na Tume ya…
Klabu ya JKT Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC leo imeshirikia katika zoezi la upimaji macho kwa wachezaji na viongozi wa bechi la ufundi kwa lengo la kuwaweka wachezaji katika…
Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya imetoa hundi ya shilingi milioni 485,765,000 kwa vikundi 15 vya wanawake, vijana na walemavu ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mpango mkakati wa Serikali kuyafikia…
#HABARI:Wafanyabiashara wote wanaojihusisha na biashara ya maziwa nchini wametakiwa kuhakikisha wanajisajili na Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB) ili kupata idhini ya kisheria ya kuendesha shughuli hizo. Hayo yamesemwa na Msajili…
Changamoto ya bidhaa kubaki dukani imeendelea kuwa tatizo kubwa kwa wafanyabiashara wengi, hususan wale wanaouza bidhaa za msimu. Katika mjadala wa kitaalamu uliohusu biashara na uchumi, mfanyabiashara pamoja na mchambuzi…
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, ameagiza zao la soya litumike kikamilifu katika mpango wa chakula mashuleni kama njia ya kupunguza udumavu na kuboresha afya ya…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Erick Emmanuel, mkazi wa Nzuguni A, kwa tuhuma za kumuua Evance Mtui, mkazi wa Makulu Oysterbay, jijini Dodoma jioni ya Disemba 16,…
Meli mbili za mizigo zenye uwezo wa kubeba tani 2,000 kila moja zimeanza rasmi kutoa huduma katika Bandari ya Karema, mkoani Katavi, hatua inayotarajiwa kuchochea maendeleo ya biashara katika sekta…
"Kuna watu wameajiriwa kwenye makampuni lakini Mungu aliwaumba wawaajiri watu wengine" @prophet.edmoundmystic #Clouds360 #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
Meya wa Manispaa ya Kibaha, Nicas Mawazo, amemuomba Waziri wa Maji, Ijumaa Aweso, kutembelea eneo la Viziwaziwa ili kujionea hali halisi ya changamoto ya upatikanaji wa maji safi na salama…
Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani limeendelea na operesheni maalum za utoaji elimu kwa madereva na watumiaji wa vyombo vya moto, zikiwa na lengo la kuwajengea uelewa na…
@prophet.edmoundmystic kutoka Heavenly Image Manifest Church akielezea aliyoyapitia kabla ya kuanza huduma ya kumtumikia Mungu. #Clouds360 #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
"Tangu mdogo nilikuwa na uwezo mkubwa sana. Nilikuwa Nina uwezo wa kujitenga porini kwa muda wa siku Tatu. Sikuwahi kutamani kuwa Mchungaji wala kuwa na kanisa kwa sababu Watumishi wote…
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, ametoa siku kumi kwa Msimamizi wa Miradi ya Serikali (TECU) Mkoa wa Songwe kuwasilisha mpango kazi unaoonesha lini ujenzi wa barabara ya Isongole…
#HABARI: Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani Boniface Jacob, amesema kuwa katika suala la kutafuta maridhiano ya kisiasa nchini, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Jaji Joseph Warioba ni mojawapo…
#Usikose kufuatia kipindi maalum cha shule za Atlas kinachoelezea ubora wa shule hizo, Alhamis Saa 12:55 jioni
đź”´MASHINDANO YA AFCON 2025: TAIFA STARS YACHARAZWA 2 - 1 NA NIGERIA...
Wavuvi wa samaki wilayani Ukerewe mkoani Mwanza wameiambia serikali kuwa suluhisho la kumalizika kwa uvuvi haramu lipo mikononi dwa wavuvi wenyewe na serikali inapaswa kusimamia utekelezaji wa mikakati ya kwavuvi…
"Unabii unahitajika sana katika kizazi hiki kwa sababu watu wengi wanaishi maisha ambayo sio ya kwao. Panapotokea mabadiliko yoyote ya majira, teknolojia na kila kitu, unabii unaweza kubaki relevant kama…
AFCON 2027 Jumamosi Desemba 27, Taifa Stars itakipiga dhidi ya Uganda, mechi ya pili Kundi C. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 2:30 usiku na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD. Kwa kifurushi…
Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga Mkoani Tanga, imetoa shilingi Milioni 112.7 zinazotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani, kwaajili ya vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu huku…
"Nimezaliwa kwenye familia ya Mchungaji (baba yangu). Tangu mdogo nilikuwa na uwezo mkubwa sana. Nilikuwa Nina uwezo wa kujitenga porini kwa muda wa siku Tatu. "Sikuwahi kutamani kuwa Mchungaji wala…
"Nilitokewa na kitu ambacho hakionekani nilipata maelekezo nifanye kazi ya Mungu. Nilipewa makatazo ya kutokuajiriwa. Nilifuata maelekezo, mwaka 2018 nilianza rasmi huduma. Nilivyotoka Chuo kikuu sikutafuta ajira. Nilianza huduma katika…