#VIDEO: Hii hapa video ya dakika moja ikionesha baadhi ya wakazi wa kata ya Malolo na Mwinyi Manispaa ya Tabora wakipata shida …
#VIDEO: Hii hapa video ya dakika moja ikionesha baadhi ya wakazi wa kata ya Malolo na Mwinyi Manispaa ya Tabora wakipata shida kurudi kwenye makazi yao baada ya maji kuzingira…
#HABARI: Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Shinyanga wametumia Sikukuu ya Krismasi kusherehekea pamoja na watoto yatima wanaolelew…
#HABARI: Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Shinyanga wametumia Sikukuu ya Krismasi kusherehekea pamoja na watoto yatima wanaolelewa katika vituo mbalimbali mkoani humo. Katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa…
Mtoto mwenye umri wa miaka (3) aliyekuwa akifahamika kwa jina la Samir Adam amekutwa amefariki dunia huku mwili wake ukiwa kwen…
Mtoto mwenye umri wa miaka (3) aliyekuwa akifahamika kwa jina la Samir Adam amekutwa amefariki dunia huku mwili wake ukiwa kwenye dimbwi la maji katika mtaa wa kizigo kata ya…
Chama Kikuu Cha Ushirika Cha Songea Na Namtumbo (SONAMCU) mkoani Ruvuma kimegawa mbegu za zao la mbaazi tani 10 kwa wakulima wa …
Chama Kikuu Cha Ushirika Cha Songea Na Namtumbo (SONAMCU) mkoani Ruvuma kimegawa mbegu za zao la mbaazi tani 10 kwa wakulima wa Halmashauri ya Namtumbo ikiwa sehemu ya utekelezaji wa…
Wakati sikukuu za mwisho wa mwaka zikiendelea, Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Pwani umefanya operesheni maalumu ya kukagua mizan…
Wakati sikukuu za mwisho wa mwaka zikiendelea, Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Pwani umefanya operesheni maalumu ya kukagua mizani inayotumika kuuzia nyama katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Kibaha,…
#HABARI: Waumini wa Kanisa Katoliki nchini, wametakiwa kusimamia maadili kuanzia ngazi ya familia, kudhibiti matumizi ya simu za…
#HABARI: Waumini wa Kanisa Katoliki nchini, wametakiwa kusimamia maadili kuanzia ngazi ya familia, kudhibiti matumizi ya simu za mkononi na kuepuka tabia zinazoharibu ustawi wa kifamilia ikiwamo ulevi wa kupindukia,…
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Hamad Hassan Chande amesema Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2…
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Hamad Hassan Chande amesema Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), katika kujitangaza na kukaribisha wadau na wawekezaji katika sekta…
Jevdet aweka bayana kila kitu
Jevdet aweka bayana kila kitu. Jemo na kivuruge wakaa sawa pamoja. Aziza amuwakia bibi yake katili. Usikose kutazama 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
🔴 #MAGAZETI: UKUTA WA KANISA WAANGUKA, WAUA WANNE, WAJERUHI 18 || MZIZE ASHTUA YANGA
🔴 #MAGAZETI: UKUTA WA KANISA WAANGUKA, WAUA WANNE, WAJERUHI 18 || MZIZE ASHTUA YANGA......
#KIPIMAJOTO: Watakaobainika kuchoma moto matairi barabarani usiku wa mkesha wa kuingia mwaka mpya wa 2026
#KIPIMAJOTO: Watakaobainika kuchoma moto matairi barabarani usiku wa mkesha wa kuingia mwaka mpya wa 2026. Je, wachukuliwe hatua kama wahujumu uchumi?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…..DISEMBA 26, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DISEMBA 26, 2025
Jamii ya wafugaji katika Tarafa ya Pawaga, mkoani Iringa, wameiomba Serikali kuingilia kati kutatua changamoto ya uhaba wa maene…
Jamii ya wafugaji katika Tarafa ya Pawaga, mkoani Iringa, wameiomba Serikali kuingilia kati kutatua changamoto ya uhaba wa maeneo ya malisho na marambo ya kunyweshea mifugo, hali inayozidi kuchochea migogoro…
Sera na mtaala mpya wa elimu nchini ni miongoni mwa mambo ambayo yameendelea kupewa mtazamo wa kiutekelezaji kwa mwaka 2025, huk…
Sera na mtaala mpya wa elimu nchini ni miongoni mwa mambo ambayo yameendelea kupewa mtazamo wa kiutekelezaji kwa mwaka 2025, huku wadau wakisisitiza kuwa mikakati kamili bado inahitajika ili kuendeleza…
Mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, umefanya uchaguzi wa kwanza wa serikali za mitaa kwa kupiga kura ya moja kwa moja kwa wananchi w…
Mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, umefanya uchaguzi wa kwanza wa serikali za mitaa kwa kupiga kura ya moja kwa moja kwa wananchi wote, ikiwa ni mara ya kwanza kufanyika kwa…
Uchunguzi wa chanzo cha ajali ya helikopta ya kampuni ya KiliMediAir iliyoua watu watano katika hifadhi ya Mlima Kilimanjaro ume…
Uchunguzi wa chanzo cha ajali ya helikopta ya kampuni ya KiliMediAir iliyoua watu watano katika hifadhi ya Mlima Kilimanjaro umeanza. Ajali hiyo iliyotokea Disemba 24, 2025 imegharimu maisha ya watalii…
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki, Papa Leo XIV ametoa wito wa amani, mazungumzo na uwajibikaji, akiangazia maeneo ambayo vurugu …
Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki, Papa Leo XIV ametoa wito wa amani, mazungumzo na uwajibikaji, akiangazia maeneo ambayo vurugu na ukosefu wa utulivu vinaendelea kupoteza maisha ya watu wasio na…
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana leo katika sikukuu ya Krismasi, hali inayoashiria kuendelea kwa mapigano licha ya sik…
Urusi na Ukraine zimeendelea kushambuliana leo katika sikukuu ya Krismasi, hali inayoashiria kuendelea kwa mapigano licha ya siku hiyo kuwa ya amani kwa waumini wa dini ya Kikristo. Ripoti kutoka…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Mhe
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Mhe. Dkt. Emmanuel Nuwas, ameadhimisha Sikukuu ya Krismasi kwa namna ya kipekee kwa kushiriki hafla ya chakula cha mchana na watu wenye ulemavu…
🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 25, 2025 – WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA HELKOPTA KUSAFIRISHWA
🔴TAARIFA YA HABARI YA DISEMBA 25, 2025 - WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA HELKOPTA KUSAFIRISHWA.
Kufichua Mchakato wa Uzalishaji wa Mafuta ya Alizeti ya Sunland
Kufichua Mchakato wa Uzalishaji wa Mafuta ya Alizeti ya Sunland. Kuanzia malighafi hadi hatua ya mwisho ya kujaza, mstari wetu wa uzalishaji uliojiendesha kikamilifu bila mguso wa mikono huhakikisha usafi,…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MARA – DISEMBA 25, 2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA MARA - DISEMBA 25, 2025
#HABARI: Miili mitatu kati ya mitano ya watalii raia wa Jamhuri Czech, akiwemo Rubani raia wa Zimbabwe, waliofariki katika ajali…
#HABARI: Miili mitatu kati ya mitano ya watalii raia wa Jamhuri Czech, akiwemo Rubani raia wa Zimbabwe, waliofariki katika ajali ya helkopta mali ya Kampuni ya Kilimed Air, inayofanya kazi…
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekanusha taarifa zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa i…
Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekanusha taarifa zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa ina mpango wa kuagiza vifaranga vya kuku kutoka nje ya nchi. Kauli ya…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kalambo, mkoani Rukwa, Bw
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kalambo, mkoani Rukwa, Bw. Edfonce Kanoni, amekabidhi msaada wa kibinadamu kwa wagonjwa na wanawake wanaojifungua katika Hospitali ya Wilaya hiyo, kama sehemu ya kuwatakia kheri…
#MICHEZO: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe
#MICHEZO: Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), amesema Tanzania inatumia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), katika kujitangaza na kukaribisha wadau na…
Wakati Shida na Kobisi wakiwa wamekubaliana kuachana baada ya shughuli ya usiku wa vyombo…Mkunga anadai Shida ni mjamzito 🙌
Wakati Shida na Kobisi wakiwa wamekubaliana kuachana baada ya shughuli ya usiku wa vyombo...Mkunga anadai Shida ni mjamzito 🙌 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
#HABARI: Hali ya taharuki imetanda katika Kata za Malolo na Mwinyi ndani ya Manispaa ya Tabora baada ya nyumba zaidi ya 100 kuzi…
#HABARI: Hali ya taharuki imetanda katika Kata za Malolo na Mwinyi ndani ya Manispaa ya Tabora baada ya nyumba zaidi ya 100 kuzingirwa na maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha kwa…
#HABARI: Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekanusha taarifa zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kija…
#HABARI: Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imekanusha taarifa zilizokuwa zimesambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa ina mpango wa kuagiza vifaranga vya kuku kutoka nje ya nchi. …
#MICHEZO: Kocha Juma Mgunda ambaye alikuwa msaidizi wa kocha Hemed Morocco wakifanikisha kuipeleka Taifa Stars katika michuano y…
#MICHEZO: Kocha Juma Mgunda ambaye alikuwa msaidizi wa kocha Hemed Morocco wakifanikisha kuipeleka Taifa Stars katika michuano ya mataifa ya Afrika Afcon 2025, akizungumza @hoseamchoopa amesema amefurahishwa sana na kujitoa…
Wakazi wa kata ya Malolo, wilayani Tabora Mjini wameingiwa na hofu ya maisha yao sambamba na kukosa huduma za msingi baada ya mv…
Wakazi wa kata ya Malolo, wilayani Tabora Mjini wameingiwa na hofu ya maisha yao sambamba na kukosa huduma za msingi baada ya mvua kubwa kunyesha mapema leo Disemba 25, 2025…
Kisa cha Adam kumchukia Nadia 🙃 #NomaSeries
Kisa cha Adam kumchukia Nadia 🙃 #NomaSeries
Serikali imemtaka mkandarasi anayejenga daraja la Ilambo, wilayani Sumbawanga, mkoani Rukwa kuanza ujenzi huo mara tu baada ya S…
Serikali imemtaka mkandarasi anayejenga daraja la Ilambo, wilayani Sumbawanga, mkoani Rukwa kuanza ujenzi huo mara tu baada ya Sikukuu ya Zawadi “Boxing Day” na kukamilisha ujenzi huo ndani ya miezi…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameitahadharisha jamii ya Watanzania kujiepusha na msukumo wa dhu…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameitahadharisha jamii ya Watanzania kujiepusha na msukumo wa dhulma, uongo na ubinafsi unaoenezwa kupitia mitandao ya kijamii. Ametoa rai hiyo…
Wakazi wa maeneo ya Goba – Kinzudi, Dar es Salaam wameishukuru na kuipongeza kampuni ya Said Salim Bakhresa kwa kufungua duka ji…
Wakazi wa maeneo ya Goba - Kinzudi, Dar es Salaam wameishukuru na kuipongeza kampuni ya Said Salim Bakhresa kwa kufungua duka jipya la bidhaa za Ice Cream ikiwa ni sehemu…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameitahadharisha jamii ya Watanzania kujiepusha na msukumo wa dhulma, uong…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene ameitahadharisha jamii ya Watanzania kujiepusha na msukumo wa dhulma, uongo na ubinafsi unaoenezwa kupitia mitandao ya kijamii akisema umekuwa ukiongezeka kutokana…
Watu wenye ulemavu wilayani Mbulu wameiomba Serikali kuwapa kipaumbele kwenye kupata mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmas…
Watu wenye ulemavu wilayani Mbulu wameiomba Serikali kuwapa kipaumbele kwenye kupata mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri ili kuwawezesha kufanya shughuli mbalimbali za kuwainua kiuchumi. Katika utaratibu huo, asilimia…
Heri ya msimu wa sikukuu na asante kwa kuipa macho na masikio yako The Spark ya Clouds TV kila siku ya wiki kuanzia kumi na moja…
Heri ya msimu wa sikukuu na asante kwa kuipa macho na masikio yako The Spark ya Clouds TV kila siku ya wiki kuanzia kumi na moja jioni. #Clouds26Nyoosha
Kutoka makao makuu ya burudani, Clouds E ya Clouds TV tunakutakia heri ya msimu wa sikukuu
Kutoka makao makuu ya burudani, Clouds E ya Clouds TV tunakutakia heri ya msimu wa sikukuu. Minyoosho iendelee 2026 #Clouds26Nyoosha
Asante Mcloudsania kwa kuipa Siz Kitaa ya Clouds TV dhamana ya kuipa tafuu mitaa na kuendelea kuwafungulia dunia wana
Asante Mcloudsania kwa kuipa Siz Kitaa ya Clouds TV dhamana ya kuipa tafuu mitaa na kuendelea kuwafungulia dunia wana. Tunasema heri ya msimu wa sikukuu, minyoosho na iendelee 2026 #Clouds26Nyoosha
#HABARI: Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt
#HABARI: Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma Homera, ametoa rai wa wananchi kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka kwa amani na utulivu. Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Juma…
#HeriyaKrismasi S/O @owm_tz @mwigulunchemba
#HeriyaKrismasi S/O @owm_tz @mwigulunchemba
Pokea salamu za heri ya msimu wa sikukuu toka kitivoni Sentro ya Clouds TV @ally__kashmiry #Clouds26Nyoosha
Pokea salamu za heri ya msimu wa sikukuu toka kitivoni Sentro ya Clouds TV @ally__kashmiry #Clouds26Nyoosha
Idadi ya watalii wanaoingia nchini imeongezeka kwa asilimia tisa huku idadi hiyo ikitarajiwa kupanda kufikia mwishoni mwa mwaka …
Idadi ya watalii wanaoingia nchini imeongezeka kwa asilimia tisa huku idadi hiyo ikitarajiwa kupanda kufikia mwishoni mwa mwaka 2025 kwa mujibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt.Hassan…