#HABARI: Wafugaji katika Kata ya Naberera wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wameachana na mila potofu za ukeketaji wa watoto wa…
#HABARI: Wafugaji katika Kata ya Naberera wilayani Simanjiro mkoani Manyara, wameachana na mila potofu za ukeketaji wa watoto wa kike na ndoa za utotoni, zinazoathiri Afya na Ustawi wa wao…
#LIVE:TARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU – 20/12/2025
#LIVE:TARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU - 20/12/2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA DESEMBA 20, 2025 -MADEREVA 14 WAFUNGIWA LESENI ZAO KILIMANJARO
🔴TAARIFA YA HABARI YA DESEMBA 20, 2025 -MADEREVA 14 WAFUNGIWA LESENI ZAO KILIMANJARO
Shirika la Mabalozi wa Usalama Barabarani linalofanya shughuli zake ndani ya mikoa ya Tanzania Bara limewataka abiria wanaosafir…
Shirika la Mabalozi wa Usalama Barabarani linalofanya shughuli zake ndani ya mikoa ya Tanzania Bara limewataka abiria wanaosafiri kuelekea mikoa mbalimbali nchini kupaza sauti kuhusu changamoto za usafiri zikiwemo kupandishiwa…
Kampuni inayojishughulisha na huduma ya mikopo hapa nchini ya Platinum Credit Tanzania imeeleza kuwa tuzo iliyopata ya “Consume…
Kampuni inayojishughulisha na huduma ya mikopo hapa nchini ya Platinum Credit Tanzania imeeleza kuwa tuzo iliyopata ya “Consumer Choice Awards Africa 2025”, imekuwa chachu kwao kuongeza ufanisi zaidi. Kauli hiyo…
#HABARI: Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro, kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usafiri Ardhini (LATRA…
#HABARI: Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro, kwa kushirikiana na Mamlaka ya Usafiri Ardhini (LATRA), imewafungia leseni Madereva 14 kwa makosa mbalimbali, ikiwemo Mwendokasi huku mmoja wa…
“Zipo vita za Kibiashara, zipo vita za Kiuchumi, kwa sababu rasilimali zetu zipo ambazo wengine hawana, na mimi hii nitaendelea …
"Zipo vita za Kibiashara, zipo vita za Kiuchumi, kwa sababu rasilimali zetu zipo ambazo wengine hawana, na mimi hii nitaendelea kuisema hata wakereke, ndio...Mungu aliumba kila nchi akaipa rasilimali zake,…
Usikose kutazama VAR za Chief Odemba kwenye Medani za siasa leo saa 3:30 usiku
Usikose kutazama VAR za Chief Odemba kwenye Medani za siasa leo saa 3:30 usiku
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA – DESEMBA 20, 2025 -MKANDARASI ALIYETELEKEZA UJENZI KUVUNJIWA MKATABA
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA - DESEMBA 20, 2025 -MKANDARASI ALIYETELEKEZA UJENZI KUVUNJIWA MKATABA
Zaidi ya wakulima 2,600 wa alizeti mkoani Geita wanatarajiwa kuzalisha zaidi ya Shilingi Bilioni 20 zitakazotokana na uzalishaji…
Zaidi ya wakulima 2,600 wa alizeti mkoani Geita wanatarajiwa kuzalisha zaidi ya Shilingi Bilioni 20 zitakazotokana na uzalishaji wa tani 20,000 katika msimu huu wa kilimo. Malengo hayo yamewekwa baada…
Aladdin yake Will Smith ndio movie ya leo saa 4:00 usiku kupitia AzamTWO katika movie ya weekend
Aladdin yake Will Smith ndio movie ya leo saa 4:00 usiku kupitia AzamTWO katika movie ya weekend . Movie hii imetafsiriwa kwa Kiswahili. #Aladdin #AzamTWO
Da China amuamsha Binti Msumi usingizi
Da China amuamsha Binti Msumi usingizi #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Wewe bado ni mfuasi wa utamaduni wa jamii yako?
Wewe bado ni mfuasi wa utamaduni wa jamii yako?. Mutamaduni ingawa maendeleo yamesababisha kwa namna moja au nyingine baadhi ya watu kupuuza njia hiyo. Miongoni mwa manufaa ya tamaduni za…
Vita kati ya Urusi na Ukraine vimeingia zaidi ya mwaka wa tatu huku mashambulizi ya Israel kwa Palestina na kinachoendelea Sudan…
Vita kati ya Urusi na Ukraine vimeingia zaidi ya mwaka wa tatu huku mashambulizi ya Israel kwa Palestina na kinachoendelea Sudan vikiwa ni uthibitisho kuwa matumizi ya silaha yanayoendelea kuongezeka…
#HABARI: Watumishi wa Sekta ya Afya mkoani Rukwa, wamehimizwa kuendelea kutoa elimu na hamasa kwa wananchi, ili kuongeza uelewa …
#HABARI: Watumishi wa Sekta ya Afya mkoani Rukwa, wamehimizwa kuendelea kutoa elimu na hamasa kwa wananchi, ili kuongeza uelewa na ushiriki wao katika mpango wa Bima ya Afya kwa Wote,…
#MICHEZO: Siku moja baada ya Simba kumtangaza Steve Barker mwenye umri wa miaka (57) kutoka Afrika Kusini kuwa Kocha wa Mkuu mpy…
#MICHEZO: Siku moja baada ya Simba kumtangaza Steve Barker mwenye umri wa miaka (57) kutoka Afrika Kusini kuwa Kocha wa Mkuu mpya, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Timu hiyo…
Tony amekosa raha hadi ameanza kufikiria ilivyokuwa kwake na Nadia mama mtoto wake
Tony amekosa raha hadi ameanza kufikiria ilivyokuwa kwake na Nadia mama mtoto wake... #NomaSeries
Hawana habari sio shida zao 😅
Hawana habari sio shida zao 😅 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
Ni desturi ya kale kwa Watanzania hususani wanaotoka mikoa ya Kaskazini mwa nchi kama Kilimanjaro na Arusha hukusanyika kwenye m…
Ni desturi ya kale kwa Watanzania hususani wanaotoka mikoa ya Kaskazini mwa nchi kama Kilimanjaro na Arusha hukusanyika kwenye mikoa hiyo kila ifikapo mwishoni mwa mwaka. Hali hii imebatizwa jina…
#MICHEZO:Afisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo, amesema Kikosi Cha timu ya Tanzania Taifa Stars, ha…
#MICHEZO:Afisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo, amesema Kikosi Cha timu ya Tanzania Taifa Stars, haikuvaa vazi lenye utambulisho wa Taifa wakati ikiwasili Morocco kwenye mashindano ya…
Kampeni za kugombea ubunge jimbo la Siha zinaendelea huku Chama cha Mapunduzi CCM kikiweka bayana dhamira ya Rais Dkt.Samia Sulu…
Kampeni za kugombea ubunge jimbo la Siha zinaendelea huku Chama cha Mapunduzi CCM kikiweka bayana dhamira ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan yale aliyoahidi kuyatekeleza ndani ya siku 100 yalifanyiwa kazi…
Kwa nini uchague mafuta ya alizeti ya Sunland?
Kwa nini uchague mafuta ya alizeti ya Sunland? 🌻 Yana Vitamin E ya asili kwa wingi 🌻 Yana kiwango kikubwa cha mafuta yasiyojaa (unsaturated fats) 🌻 Yanasaidia lishe bora na…
Usipitwe na uhondo wa Kombolela kuanzia saa 1:30 usiku
Usipitwe na uhondo wa Kombolela kuanzia saa 1:30 usiku. Mzee Kikala anasema na kila mtu leo. Ni huzuni
#HABARI: Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba amesema ameridhishwa na kazi inayofanyika kwenye ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa mk…
#HABARI: Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba amesema ameridhishwa na kazi inayofanyika kwenye ujenzi wa bandari ya uvuvi ya Kilwa mkoani Lindi, ambayo ujenzi wake umefikia asilimia 90. Amesema Ujenzi wa Bandari…
#HABARI: Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe
#HABARI: Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuongeza kasi, uwajibikaji na ubunifu katika utekelezaji wa miradi yake…
Huyu Hashmet dah 😆 Yavuz afungiwa na mama yake hadi ampate Aziza
Huyu Hashmet dah 😆 Yavuz afungiwa na mama yake hadi ampate Aziza. Usikose 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Dar es salaam i…
#HABARI: Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Dar es salaam imefanya mafunzo kwa vikundi vya Wanawake, Vijana, Watu wenye…
#HABARI: Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imefanya ukaguzi kwenye maduka mbalimbali ya Pembejeo Halmashauri …
#HABARI: Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa Mbegu Tanzania (TOSCI) imefanya ukaguzi kwenye maduka mbalimbali ya Pembejeo Halmashauri ya Mji wa Mbinga mkoani Ruvuma na kubaini baadhi ya Wafanyabiashara kukiuka utaratibu…
#HABARI: Wahitimu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) wametakiwa kuwa wabunifu na kubadilisha elimu ya huduma za ustawi kuwa bias…
#HABARI: Wahitimu wa Chuo cha Ustawi wa Jamii (ISW) wametakiwa kuwa wabunifu na kubadilisha elimu ya huduma za ustawi kuwa biashara ili kujiajira wenyewe huku lengo kuu ni kutatua changamoto…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…..DESEMBA 20, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DESEMBA 20, 2025
🔴#KUMEKUCHA: 20 DESEMBA 2025 -KILIMO NA BIASHARA YA ZAO LA KAHAWA
🔴#KUMEKUCHA: 20 DESEMBA 2025 -KILIMO NA BIASHARA YA ZAO LA KAHAWA
#SWALILAKIPIMAJOTO: Zoezi la ugawaji wa hati za kimila la Ardhi kuzaa matunda sehemu linapofanywa, Je, Lifanywe nchi nzima ili k…
#SWALILAKIPIMAJOTO: Zoezi la ugawaji wa hati za kimila la Ardhi kuzaa matunda sehemu linapofanywa, Je, Lifanywe nchi nzima ili kuondoa migogoro ya Ardhi?
🔴#MAGAZETI: UKOSEFU WA TAKWIMU SAHIHI WAUA WATOTO KIMYA KIMYA, DESEMBA 20, 2025
🔴#MAGAZETI: UKOSEFU WA TAKWIMU SAHIHI WAUA WATOTO KIMYA KIMYA, DESEMBA 20, 2025.
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 19 DESEMBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 19 DESEMBA 2025
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..19 DESEMBA 2025
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..19 DESEMBA 2025
#KIPIMAJOTO: “Kwanza ninaweza nikazungumza na wazazi kwa upande wa kudhibiti turudi kwenye malezi hili suala huwa nalisema kila …
#KIPIMAJOTO: “Kwanza ninaweza nikazungumza na wazazi kwa upande wa kudhibiti turudi kwenye malezi hili suala huwa nalisema kila mara kwamba wazazi wenzangu turudi kwenye malezi tuache kulea online…………..” Pili Misana…
Hii ndio kazi anayoifanya Mafunda Faki, Mshindi wa Tuzo ya Zikomo
Hii ndio kazi anayoifanya Mafunda Faki, Mshindi wa Tuzo ya Zikomo. (@mafunda_faki) kwenye African Tourism Board. #SentroYaCloudstv #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
Dkt Winfred Mgaya
Dkt Winfred Mgaya. (@drwinfredmgaya), Daktari wa kinywa na meno akielezea madhara ya kubusiana kwa njia ya mdomo #SentroYaCloudstv #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
“Kila baada ya miezi Sita”- Dkt Winfred Mgaya
"Kila baada ya miezi Sita"- Dkt Winfred Mgaya. (@drwinfredmgaya) #SentroYaCloudstv #Clouds26Nyoosha #LainiYaWana
#KIPIMAJOTO: “…
#KIPIMAJOTO: “…. Pamoja na kutaifsha mali adhabu zingine zipo kwa mfano ukipatikana na kiasi kidogo ukapewa adhabu ya faini na kifungo cha miaka mitatu lakini adhabu ya kifungo ipo mpaka…
#HABARI: Mwanaume mmoja mkazi wa Kijiji cha Hala, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, Gabriel Noel (45), amefariki dunia baada ya k…
#HABARI: Mwanaume mmoja mkazi wa Kijiji cha Hala, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, Gabriel Noel (45), amefariki dunia baada ya kudaiwa kushambuliwa kwa kitu kizito na rafiki yake, Adam Keto,…
#KIPIMAJOTO: “Dawa za kulevya zipo za aina nyingi kwa mfano hapa nchini kuna dawa za kulevya za mashambani kwa maana ya bangi na…
#KIPIMAJOTO: “Dawa za kulevya zipo za aina nyingi kwa mfano hapa nchini kuna dawa za kulevya za mashambani kwa maana ya bangi na mirungi, dawa za kulevya zingine hazipatikani hapa…
“Watu wengi wanatumia dawa za meno ambazo sio sahihi
"Watu wengi wanatumia dawa za meno ambazo sio sahihi. Hiyo inachangia kushusha afya yao ya kinywa kwa watu wengi. Lakini pia ni jinsi gani ya kusafisha kinywa na kutunza vinywa…
Wakazi wa kata za Kiwanja cha Ndege na Miyuji jijini Dodoma wameeleza kuchoshwa na ahadi za mara kwa mara za ujenzi wa kivuko ch…
Wakazi wa kata za Kiwanja cha Ndege na Miyuji jijini Dodoma wameeleza kuchoshwa na ahadi za mara kwa mara za ujenzi wa kivuko cha watembea kwa miguu kinachounganisha mitaa yao…
Matumizi ya pesa mtandao maarufu zaidi kwa jina la ‘Pesa kwenye simu’ limeendelea kuwa mhimili mkubwa wa ukuaji wa uchumi wa mtu…
Matumizi ya pesa mtandao maarufu zaidi kwa jina la 'Pesa kwenye simu' limeendelea kuwa mhimili mkubwa wa ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja na mataifa kwa ujumla. Aurelia Gabriel…