🔴KIPIMAJOTO: KUTAIFISHA MALI ZA WANAOKUTWA NA HATIA YA KUJIHUSISHA NA DAWA ZA KULEVYA
🔴KIPIMAJOTO: KUTAIFISHA MALI ZA WANAOKUTWA NA HATIA YA KUJIHUSISHA NA DAWA ZA KULEVYA. JE, NI SULUHISHO LA KUKOMESHA BIASHARA HIYO HARAMU?
🔴KIPIMAJOTO: KUTAIFISHA MALI ZA WANAOKUTWA NA HATIA YA KUJIHUSISHA NA DAWA ZA KULEVYA. JE, NI SULUHISHO LA KUKOMESHA BIASHARA HIYO HARAMU?
Marekani imetangaa kuanzisha shirika jipya la kutoa misaada ya huduma za afya duniani la 'America First Global Health Services' likitajwa kuwa mbadala wa USAID lakini AFGHS likiweka sharti la Marekani…
Mzee Kikala amerudi kwenye jela yake mwenyewe 🥹 #KombolelaSeries #KombolelaSeason2
#HABARI: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo hadi Desemba 30, 2025, baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kusoma maelezo ya mashahidi na…
Balozi wa Palestina anayeiwakilisha nchi yake Tanzania Salim Siam amehimiza wanahabari wa Tanzania kuonesha mshikamano na Palestina, ili kupaza sauti ya pamoja kukemea mateso wanayofanyiwa raia wa Palestina na majeshi…
Said ametulia kisha akili zake zikajiuliza maswali muhimu 😅 #NomaSeries
Waziri Wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa Amesema Serikali Itaendelea Kukiwezesha Chuo Cha Taifa Cha Usafirishaji NIT Ili Kusaidia Katika kafanya tafiti na Kuzalisha Wataalamu Wenye Weledi Watakaotatua Changamoto Mbalimbali Zinazoikabili…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA USIKU - 19/12/2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA DESEMBA 19, 2025 -WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA VIZURI MVUA ZINAZONYESHA
MWAKA 2021, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani aliahidi kutatua kero ya maji inayowakabili Watanzania kwa miongo kadhaa. Akiwa anatimiza miaka miwili na nusu ya uongozi wake, ahadi hiyo…
#HABARI: Wilaya ya Kaliua, mkoani Tabora, imetenga ekari elfu kumi na sita za mradi wa kilimo na ufugaji wa kisasa, kwa ajili ya vijana na wanawake mia mbili na hamsini…
• Wapo wawili waliojishindia gari, wawili walioshinda simu ya kisasa aina ya iPhone 17 Promax na wawili waliopata ufadhili wa kulipiwa ada ya chuo kikuu. Dar es Salaam. Tarehe 18…
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma Filemon Makungu amesema Mkoa wa Kigoma upo salama mbali ya kuwa mkoa huo upo karibu na Mji wa Uvira Mashariki mwa Nchi ya Kidemkrasia…
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amesema maendeleo ya ujenzi Katika Kampasi ya Mloganzila ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) ni matokeo ya…
#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Dalmia Mikaya, amepokea jumla ya Transfoma 30 zenye thamani ya shilingi Bilioni 1.2 kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kwa lengo la kuboresha upatikanaji…
#gurudumu:vijana wameandaliwa je kulitumikia taifa
TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 19/12/2025
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUKWA - DESEMBA 19, 2025 -
#HABARI: Wajumbe wa Kamati Tendaji ya Uratibu Mpango wa Uzalishaji Umeme wa Nyuklia Nchini (NEPIO) wametakiwa kuhakikisha wanaanza maandalizi mapema ya namna mpango huo utakavyotekelezwa Nchini huku akiwasisitizwa kuhakikisha wanazingatia…
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imepiga marufuku wataalamu wasiokuwa na sifa na taaluma ya ununuzi na ugavi kupewa nafasi za kufanya kazi katika taasisi mbalimbali za umma, hususan katika ngazi…
#HABARI: Wakazi wa Mkoa wa Pwani, wamesema licha ya utekelezaji wa ahadi za Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ndani ya siku 100, bado wanaiomba Serikali kuongeza juhudi katika ujenzi wa…
Wakulima 40 wa mbegu kutoka katika Halmashauri sita za Mkoa wa Simiyu, wamepewa elimu ya namna ya uzalishaji wa mbegu bora zenye tija zitakazo wawezesha Wakulima wa mazao mbalimbali mkoani…
Kampuni ya Buckreef Gold imezidi kuimarisha ushirikiano wake na Halmashauri ya Wilaya ya Geita kupitia makubaliano ya Uwajibikaji kwa Jamii yenye thamani ya shilingi milioni 600 yanayo lenga kuboresha huduma…
Jumapili hii katika dimba la KMC Complex itapigwa Kariakoo derby ya mashabiki. mashabiki wa Yanga SC dhidi ya mashabiki wa Simba SC. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni na…
🔴#MEZAHURU: ... DESEMBA 19, 2025
Katika kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka wananchi mkoani Manyara wametakiwa kusherehekea kwa amani na utulivu lakini kujiandaa pia kupeleka watoto shule ifikapo mwezi januari ambao wanastahili kuanza ďarasa la…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....DESEMBA 19, 2025
Vijana 171 wa wilaya za Ilemela na Nyamagana mkoani Mwanza wamehitimu mafunzo ya mradi wa Vijana Elimu Malezi na Ajira (VEMA) unaofadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali la Plan International…
Mkuu wa mkoa wa Iringa Kheri James ametoa masaa 24 kwa Kamanda wa Jeshi la Polisi (OCD) wilaya ya Iringa kuhakikisha anawakamata wazabuni wote wanaohusika kusambaza vifaa vya ujenzi ktk…
#HABARI: Ng’ombe 22 wa mfugaji Alex Idege, mkazi wa Kijiji cha Kasingili, Kata ya Ilola wilayani Shinyanga, wamekutwa wamekufa zizini baada ya kurejea kutoka malishoni, katika tukio linalodaiwa kuwa na…
“Wanasema kuna mgogoro kati ya upande wa klabu na mwekezaji, mimi na mwenyekiti wa bodi tunaongea kila mara, kama ni Mo mimi mara ya mwisho niliongea nae jana saa 8.…
Jeshi la Polisi nchini, kupitia kikosi cha Usalama Barabarani limeanza kufanya ukaguzi maalumu wa mabasi ya abiria katika maeneo mbalimbali nchini, ikiwa ni hatua ya kudhibiti na kuzuia ajali za…
#HABARI: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa George Simbachawene, amesema Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inaendelea na maandalizi ya kuanza usajili wa watoto walio chini ya umri…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....DESEMBA 19, 2025
“Napenda kuwambia kwamba mchakato wa mabadiliko ambao ulianza 2017 sasa unakwenda kufikia tamati. Ni kipindi kigumu tumepita ukiacha Ujerumani hakuna sehemu nyingine unatumika hivyo tumeona changamoto ilivyokuwa namna ya kuupitisha.…
#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Kawe, Mheshimiwa Geofrey Timoth, ametembelea Kata ya Mbweni ambapo amekutana na wafanyabiashara wa Soko la Samaki na kuahidi kuwa ujenzi wa soko hilo utaanza taratibu…
Mkutano na waandishi wa habari wa Rais Vladimir Putin umeanza kwa hoja zilezile anazotumia mara kwa mara kuhalalisha vita dhidi ya Ukraine. Ametaja tena kile anachokiita “mapinduzi” ya mwaka 2014,…
#HABARI: Jeshi la Polisi Nchini kupitia kikosi cha Usalama barabarani, limefanya ukaguzi maalumu wa mabasi ya abiria, kwa ajili ya kudhibiti ajali kutokana na ongezeko kubwa la abiria kuelekea sikukuu…
Mkazi wa Mbinga Mjini na viunga vyake kuanzia tarehe 20 Desemba mpaka 25, fika katika mgodi wetu uliopo karibu na msikiti wa waarabu ujipatie kisimbuzi kwa bei ya OFA. Mkazi…
Radhia amezoea kumuona Sheiza akifanya kazi upande wa nyumba yake...lakini asubuhi hamuoni tena...Shakei amemuambia kahamishwa na bosi (mwenye wivu pia). Radhia ameanza kumuelewa Sheiza...Jasusi mwenye siri nyingi dhidi yao pasina…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55....DESEMBA 19, 2025
Salma na Nawanda 🥹 #NomaSeries
#HABARI: Mtandao wa kijamii wa TikTok umefikia makubaliano ya kuanzisha ubia na kampuni ya Marekani, hatua inayolenga kutimiza masharti ya mamlaka na hivyo kuepuka marufuku ya matumizi nchini humo. TikTok,…
Papa Leo, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, siku ya Alhamisi Desemba 18, 2025 amewakemea vikali viongozi wa kisiasa na viongozi wa dini wanaotumia imani za kidini kuhalalisha migogoro, vita au…
Wafugaji wilayani Simanjiro mkoani Manyara wameiomba serikali kuwasaidia namna ya kukabiliana na wimbi la wizi wa mifugo sambamba na tembo wanaofanya uharibifu kwenye maeneo ya malisho ya mifugo hiyo. Kilio…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55....DESEMBA 19, 2025
Muda wa usaili wa msimu wa Safari Field Challenge umeongezwa hadi Desemba 25, badala ya Desemba 19 ili kutoa nafasi kwa washiriki wengi zaidi kujiandikisha na kushiriki kikamilifu. Msikilize Msimamizi…
#HABARI: Serikali imeanza mpango wa kuunganisha kitambulisho cha Taifa na Huduma nyingine za kiserikali ikiwemo Bima ya Afya,Leseni ya udereva na Masuala ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ili kuepusha…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....DESEMBA 19, 2025