Osman mtegoni wakati ambao mwanaye ameanda kumuokoa kipenzi chake
Osman mtegoni wakati ambao mwanaye ameanda kumuokoa kipenzi chake. Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00 USIKU ndani ya #AzamTWO
Osman mtegoni wakati ambao mwanaye ameanda kumuokoa kipenzi chake. Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00 USIKU ndani ya #AzamTWO
Usikose kutazama THE OLD MAN leo saa 4:00 usiku ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV
Zein anajuta na kujiapiza kuacha tabia zake
Usikose kutazama Mrs Garcia, tamthilia mpya ndani ya #AzamONE chaneli namba 101 kwenye kisimbuzi chako cha #AzamTV, uhondo ni mwingi, burudani tele.
Kulingana na ripoti, Wiz Khalifa alishtakiwa nchini Romania mwaka 2024 baada ya kuvuta bangi jukwaani wakati wa tamasha la Beach, Please!. Ripoti za hivi karibuni zinaeleza kuwa mahakama ya Romania…
Sherehe imenoga wakati ambao Mzee Kikala analia na uzao wake nyumbani. Usikose Kombolela leo saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD
#HABARI: Maboresho makubwa ya miundombinu yaliyotekelezwa na Serikali katika Bandari ya Dar es Salaam kupitia Mradi wa Dar es Salaam Maritime Gateway Project (DMGP) yanaendelea kuzaa matunda, baada ya bandari…
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa, amepata ajali majira ya saa tisa usiku katika wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma. Ajali hiyo imetokea wakati Mhe.…
Sarah amekuwa mada ofisini na sasa anataka kuacha yeye mwenyewe. Zein aomba msamaha kwa alichokifanya. Usikose THE PRICE leo saa 3:00 usiku #AzamTWO
🔴KUMEKUCHA KISHINDO- VIJANA NA SEKTA YA UBUNIFU... DESEMBA 19, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55....DESEMBA 19, 2025
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 19, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
#MEZAHURU: Kipi kifanyike kurudisha heshima za SHULE VIPAJI MAALUM kama zamani.? na kipi kilichochangia kupotea kwa shule hizi za VIPAJI MAALUM.? -weka maoni yako.
Shida Masamba anaendelea na moto wa shughuli yake pambe...Kina Siwa wamuona Mashavu kwenye shughuli..Binti Msumi amepewa taarifa na kunyanyuka 'mkuku mkuu' au ni kuhusu Kobisi? 👀 Usikose kutazama #KombolelaSeries leo…
Nawanda anataka kuweka sharti kwenye makubaliano yake na Wendy. Said ameshtuka kilichofanywa na Mwana...Swali muhimu kutoka kwa Tony...Kikao kiliendaje? Usikose kutazama #NomaSeries leo saa 1:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD
Nusu fainali ya pili EA Super Cup inapigwa leo Ijumaa Saa 4:00 usiku, Bologna kumenyana na Inter Milan. Mechi hii itaruka mbashara kupitia AzamSports3HD, na kutangazwa kwa lugha ya Kiswahili.…
Mama Yavut ni kisa cha mwanaye kuwa katili kiasi hicho. Yusuf na Jemo wameshikana mashati tena. Usikose 6 of Us leo saa 2:00 usiku #AzamTWO
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: DESEMBA 19, 2025
Vitaje....! #LiveonClouds360 #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
Basma ana kwa ana mama yake Siham. Anamwambia Basma alikufa kwenye shimo la uchafu 😭 Usikose kutazama UMMY leo kuanzia saa 1:00 usiku #AzamTWO
KUMEKUCHA 19 DESEMBA 2025 - MFUMO WA MAUZO YA NAZAO KIDIGITALI
🔴#MAGAZETI: ASKOFU AONYA: BILA HAKI, AMANI HAIWEZI KUDUMU- 19 DESEMBA 2025
#MEZAHURU: Siku tatu kabla ya michuano ya AFCON. Je, watanzania wanahamasishwa ipasavyo kuyafuatilia mashindano hayo ambayo Taifa Stars inashiriki?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DESEMBA 19, 2025
Mtoto wa Bey yuko wapi jamani mambo yanaenda huku
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 18 DESEMBA 2025
🔴MCHEZO SUPA:HII NDIO NGUVU YA BUKU..18 DESEMBA 2025
#HABARI: Hali ya uwepo wa Ukame katika maeneo mbalimbali nchini, imeendelea kuwa changamoto kwa wafugaji wa Ng'ombe na kusababisha upungufu mkubwa wa nyama katika Jiji la Dar es Salaam na…
#MALUMBANOYAHOJA: "Sheria iko wazi wakimkamata mtu na bidhaa yake, kama wamekukamata saizi wanatakiwa wakupeleke kituo cha polisi, ili upelekwe Mahakama ya Jiji, wakikupeleka pale wanatakiwa wakupeleke na bidhaa yako" Msafiri…
#MALUMBANOYAHOJA: "Amuoneaye masikini anamchokoza Mungu, ni kwamba hatupaswi kuwalaumu Mgambo wala Machinga, kwa sababu sheria zinazotungwa na Majiji haziendani na mazingira yalivyo"Friday Kalulu - Mshiriki. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA…
#MALUMBANOYAHOJA: "Niondoe dhana kwamba wananchi tuna hasira na viongozi, hapana wananchi hatuna hasira na viongozi, tunataka wafanye kile tunachokitaka kinachotupendeza' na wao kinachowapendeza" Msafiri Mwajuma Mariam - Mshiriki. Powered by…
#MALUMBANOYAHOJA: "Kuna kutokuelewana baina a Machinga na Mgambo, sikuona Mgambo anachukua kitu cha mtu akiwa dukani kwake, ila inakuwaga sehemu ambayo sio rasimi ndio intokeaga hivi" Ally Hoza - Mwakilishi…
@naytrueboytz baada ya ukimya ameamua kurudi na tupo busy akiwa ameamua kukaa upande wa Mashabiki kama street president kwakile ambacho kinachojadiliwa sana Juu ya mashabiki kuwakataa Wasanii wa Tanzania baada…
Bodi ya klabu ya Simba imekutana leo Desemba 18 katika kikao kilichoendeshwa na mwenyekiti wake Cresentius Magori hata hivyo bado klabu hiyo haijatoa taarifa ya mambo yaliyojadiliwa kwenye kikao hicho…
Muziki kwa sasa kuna namna unazungumzwa wengine chanya na wengine hasi,Baada ya kipindi cha uchaguzi kupitia. Mwanamuziki @rascosembo Amewajia Juu kupitia michano yake katika wimbo mpya wa Bongo Hiphop session…
Mashindano ya pooltable yajulikanayo kama Wakali wa Pooltable Msimu wa Pili yameanza rasmi leo tarehe 18 Disemba 2025, katika Ukumbi wa Skylight HQ Arena, uliopo Mtoni Kijichi, jijini Dar es…
Sina ubaya na wewe acha maisha yaendelee: hawa hapa #WamojaBand kwenye Sentro ya Clouds TV.
Burudani hii kutoka #WamojaBand unaipa asilimia ngapi? #SentroYaCloudstv #Clouds26Nyoosha #LainiYawana
#WamojaBand wakiangusha moja moja kuhakikisha wana Kitivo wanapata burudani ya nguvu hapa Sentro Clouds TV. #SentroYaCloudstv #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
Diwani wa Kata ya Chanika Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga , Dkt. Habibu Mbota amefanya ziara ya kushtukiza kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule Shikizi iliyopo Chanika, mtaa wa Azimio,…
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) leo tarehe 18 Desemba 2025 limekutana na uongozi wa Shirikisho la Michezo kwa Watu Wenye Ulemavu (Paralympic Tanzania) katika kikao cha pamoja kilicholenga kujadili…
#HABAI: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Bi.Mboni Mhita, ameagiza Wahandisi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wasimamishwe kazi kwa tuhuma za kukiuka maadili ya utumishi wa Umma na kuisababishia…
😅 Khee Mzee Maega katulia tuli Tuendelee na hadithi tamu ya #PichaYanguSeries kila Jumatatu hadi Alhamisi saa 1:30 usiku #SinemaZetuHD
TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 18/12/2025
#HABARI: Siku moja baada ya Serikali kuainisha mpango mkakati wa kutatua kero kubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama, baadhi ya Wananchi wa Jiji la Dar es…
Yavuz kwenye harakati za upelelezi
Mwandishi wa habari mkongwe na mjumbe wa bodi ya chuo cha uandishi wa habari cha Ujiji Broadcatsing Academy (UBA), Hassan Mhelela amewataka waandishi wa habari na wanafunzi wa fani hiyo…
Wakati wakulima wengi wa Tanzania wakilima mara moja kwa msimu kutokana na kutegemea mvua hali hiyo inatarajiwa kuwa historia kwa wanakijiji zaidi ya 20,000 kutoka vijiji 28 vilivyopo katika kata…
Hatima ya mabilioni ya euro za Urusi zilizozuiwa barani Ulaya sasa iko mezani wakati viongozi wa Umoja wa Ulaya EU wakikutana mjini Brussels katika mkutano unaoweza kubadili mwelekeo wa vita…