Matola, Mutale wasisitiza jambo Simba
KOCHA wa Simba, Selemani Matola na mchezaji wa timu hiyo, Joshua Mutale wamefichua siri itakayowabeba msimu huu katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku malengo makubwa yakiwa ni kufika…
KOCHA wa Simba, Selemani Matola na mchezaji wa timu hiyo, Joshua Mutale wamefichua siri itakayowabeba msimu huu katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku malengo makubwa yakiwa ni kufika…
KOCHA Mkuu wa Petro de Luanda ya Angola raia wa Hispania, Franc Artiga, amesema licha ya kucheza na Simba kwa mara ya kwanza lakini haihofii wakati timu hizo zitakapokutana kesho…
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewasili kwenye Viwanja vya Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli, mkoani Arusha, kwa…
Huko nchini Algeria, maafisa wa ulinzi wamewakamata watu watatu wenye uraia usiojulikana wakijaribu kuvuka mpaka kuelekea Hispania wakiwa wamejificha kwa kujifananisha na kondoo. Walinzi wa usalama wa mpakani waligundua mienendo…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Ndugu Jabiri Makame, ameagiza Halmashauri za Wilaya kuhakikisha zinatengeneza mazingira rafiki ili kuwavutia Vijana kuingia kwenye Sekta ya Kilimo. Amesisitiza matumizi ya mashamba makubwa…
Eee bwana ee…! huko nchini Hispania, wanandoa walikuwa wakilisakata rumba pamoja na wageni waalikwa katika moja ya fukwe, kila mmoja akiwa amezama kwenye furaha na shangwe bila wasiwasi wowote. Ghafla,…
Asilimia 80 ya wagonjwa wanaotibiwa ugonjwa wa mtoto wa jicho nchini katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wameondolewa adha ya maumivu na kuchelewa kupona baada ya hospitali hiyo kuanza kutumia…
MABAO mawili ya nyota wa Namungo, Jacob Masawe dakika ya 75 na Cyprian Kipenye dakika ya 82, yametosha kuipatia ushindi timu hiyo wa 2-0, dhidi ya Dodoma Jiji, katika mechi…
Wataalamu na wakongwe wa habari nchini wamesema televisheni bado ina nafasi kubwa ya kuendelea kutekeleza wajibu wake kwa jamii kwa kutoa taarifa za uhakika licha ya maendeleo ya mitandao ya…
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza kukamatwa kwa mkandarasi wa kampuni ya China First Highway Engineering anayetekeleza mradi wa ujenzi wa barabara ya Ntyuka - Mvumi hadi Kikombo mkoani Dodoma…
Mvua kubwa iliyosababisha mafuriko katika barabara ya Mwanza - Shinyanga eneo la Mkuyuni imewafanya watumiaji wa njia hiyo kushindwa kufika kwenye shughuli za utafutaji baada ya njia hiyo kujaa Maji…
Wananchi wa kijiji cha Mang'oto wilayani Makete mkoani Njombe wamefanikiwa kujenga miundombinu ya madarasa ya shule kwa kutumia michango ya kujitolea pamoja na kutumia miradi ya shule hiyo ikiwemo mradi…
DAR ES SALAAM; SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetangaza wachezaji watano watakaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa mwaka 2024/25. – Wachezaji hao…
Serikali ya Tanzania inatarajia kupokea zaidi ya Dola milioni 500 kutoka Mfuko wa Dunia (Global Fund) kwa ajili ya utekelezaji wa afua za UKIMWI, Kifua Kikuu, Malaria na uimarishaji wa…
Baada ya kuzinduliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, Agosti mosi mwaka huu, Kituo cha Kimataifa cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki kinatarajia kufanya maonesho ya kwanza ya bidhaa huku zaidi…
KABLA ya kuanza kwa mazoezi ya kikosi cha Yanga jioni ya leo, Ijumaa, Novemba 21, 2025, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex hapa Zanzibar, kocha mkuu, Pedro Goncalves raia wa…
TIMU ya KMC hali yake imeendelea kuwa mabaya ikipoteza mchezo wa Ligi Kuu Bara ikiwa nyumbani dhidi ya JKT Tanzania kwa bao 1-0.
Watendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya nchini Comoro wametembelea kwa wenzao wa TAKUKURU kwa lengo la kujifunza mbinu na mikakati ya kukabiliana na rushwa nchini kwao…
NAIBU Spika wa Bunge, Daniel Sillo amehitimisha mafunzo kwa wabunge leo Novemba 21, 2025 jijini Dodoma. SOMA: Spika Zungu afungua mafunzo kwa wabunge Mafunzo hayo ya siku tano yalilenga kuwajengea…
UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa mechi mbili kupigwa, ambapo TRA United zamani Tabora United itacheza na maafande wa Tanzania Prisons, huku Mashujaa ikiwa kwenye Uwanja wa…
MWANARIADHA chipukizi Benjamin Ratsim amekuwa Mtanzania wa pili kuvunja rekodi ya dunia, baada ya kuweka alama mpya katika mbio za barabarani za Km 15 kwa wanariadha walio chini ya umri…
Mtibwa iliyowahi kutwaa ubingwa wa Ligi ya Bara mwaka 1999 na 2000 ilishuka daraja msimu uliopita kabla ya kurejea msimu huu na kwa sasa inashika nafasi ya 12 ikiwa na…
Katika kuhakikisha vijiji vilivyopo pembezoni mwa hifadhi vinanufaika na shughuli za uhifadhi, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi madawati 150 kwa shule za msingi wilayani Bariadi, mkoani Simiyu,…
RAUNDI ya sita ya Ligi ya Championship inaendelea tena wikiendi hii kwa mechi tatu kupigwa leo Jumamosi na nyingine tatu kesho Jumapili za kuhitimisha, huku vita kali inayosubiriwa ni kati…
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza Kamishna wa Uhamiaji kukamata hati ya kusafiria ya mkandarasi wa Kampuni ya Impresa Di Construzioni Ing E. Mantovani kutoka Italia, kufuatia kushindwa kukamilisha mradi…
Gwiji wa soka nchini Nigeria, Yakubu Aiyegbeni, ameibuka na kuhoji uamuzi wa kocha wa timu ya taifa ya nchi hiyo, Eric Chelle, wa kumjumuisha kipa anayekipiga nchini Tanzania, Amas Obasogie,…
🔴MEZA HURU - MABADILIKO KATIKA SEKTA YA KILIMO YANAWEZA KUPELEKEA KILIMO UWEKEZAJI?...NOV 20, 2025 (Feed generated with FetchRSS)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, amewataka Waumini wa Dini ya Kiislamu pamoja na wananchi kwa ujumla kuendelea kuiombea nchi amani na…
ALEXANDRE Santos, kocha mkuu wa AS FAR Rabat raia wa Ureno, ameitaja Yanga ni kati ya timu zenye wachezaji wazawa wenye kiu ya mafanikio, hivyo kukabiliana nayo ni lazima uwe…
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Ubalozi wa India nchini Tanzania kupitia Taasisi ya Jaipur India inatarajia kuendesha kambi maalum ya kutoa miguu bandia…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, NOVEMBA 21, 2025 (Feed generated with FetchRSS)
WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba, ameelekeza Jeshi la Polisi na Uhamiaji kuhakikisha wanamkamata na kuzuia hati ya kusafiria ya mkandarasi anayejenga mradi wa Kituo cha ukaguzi cha Pamoja kilichopo Muhalala…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves amesema katika mechi ya kesho Jumamosi Novemba 22, 2025 dhidi ya AS FAR Rabat, licha ya wapinzani wao kuwa na rekodi kubwa kimataifa kulinganisha…
Mikoa 16 ya Tanzania Bara imewasilisha sampuli za kahawa kwenye mashindano ya kuonja kahawa yanayoratibiwa na Bodi ya Kahawa nchini (TCB) ili kupata mshindi atakayewakilisha nchi kwenye mashindano ya Bara…
MEZAHURU: Kufuatia mipango ya Taifa kutaka kuboresha kilimo, Je Mkulima atapata fursa ya kufanya Kilimo kama mwekezaji? (Feed generated with FetchRSS)
Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya maduhuli ya zaidi ya shilingi bilioni 430 katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Oktoba, ikifikia wastani wa asilimia 35 ya lengo la mwaka 2025/26. Hayo…
Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogo (SIDO) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( (PCCB) Mkoa wa Dodoma wameendesha mafunzo ya kuzuia na kupambana na rushwa…
IRINGA: Wakili msomi, Jackson Chaula, Diwani wa Kata ya Mlandege, amejiweka rasmi kwenye ramani ya kinyang’anyiro cha Umeya wa Manispaa ya Iringa baada ya kurejesha fomu yake leo, Novemba 21,…
MWANAUME mmoja, Derick Mwangama (23), mkazi wa Kijiji cha Mpandapanda, Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, amemuua mtoto wake Devina Derick (2) kisha kujinyonga kwa kutumia kamba katika mti wa parachichi…
Tanzania imeporomoka kwa nafasi tano kwenye viwango vya ubora vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) katika chati ya viwango ya mwezi Novemba.
MAPAMBANO dhidi ya ubadhilifu na rushwa ni jukumu la pamoja, si la mtu mmoja au serikali pekee, hivyo wananchi na watumishi wa umma wana wajibu wa kuzingatia uadilifu katika matumizi…
WENYEVITI wa vijiji na vitongoji wilayani Monduli wametakiwa kuwa karibu na wananchi na kuhakikisha wanasikiliza na kutatua changamoto zao ili kuondoa malalamiko na kuimarisha uhusiano kati ya wananchi na serikali.…
Baada ya kufanyiwa upasuaji, Camara avunja ukimya KIPA namba moja wa Simba, Moussa Camara amefanyiwa upasuaji salama huko Morocoo, huku mwenyewe akivunja ukimya kwa kukiri haikuwa rahisi kwake kukubali uamuzi…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
TIMU ya Soka ya Taifa ya mpira wa Futsal imewasili salama mjini Manila, Ufilipino juzi, tayari kwa michuano ya fainali za kombe la dunia inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi leo. Timu…
ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu wapya wa Wizara mbalimbali za Serikali…
BODI ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) imeendelea kuhamasisha na kuwakaribisha wawekezaji kuja kuwekeza katika Hifadhi ya Taifa Nyerere ili kukuza utalii katika Ukanda wa Kusini…
HUDUMA za usafi ri wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kutoka Mbagala kwenda Posta na Gerezani imerejea jana baada ya kusitishwa kwa muda. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert…