Tusiharibu miundombinu ya umeme
VIONGOZI wa serikali za mitaa na madiwani wametakiwa kuwa mstari wa mbele kupambana na wizi wa umeme ili kuzuia uharibifu mkubwa wa miundombinu na hasara kwa taifa. The post Tusiharibu…
VIONGOZI wa serikali za mitaa na madiwani wametakiwa kuwa mstari wa mbele kupambana na wizi wa umeme ili kuzuia uharibifu mkubwa wa miundombinu na hasara kwa taifa. The post Tusiharibu…
ILI taifa lifanikiwe katika kupambana na athari za lishe duni, watoto wenye umri wa miaka sita hadi 15 wasiachwe nyuma kupata lishe shuleni. Kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita, Mkoa…
RAIS Samia Suluhu Hassan ameteua na kuizindua Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29, mwaka huu. The…
WAZIRI wa Kilimo, Daniel Chongolo ameieleza menejimenti na watumishi wa wizara hiyo kuwa kazi na malengo yaliyopangwa yatafi kiwa kwa kuendeleza pale mtangulizi wake, Hussein Bashe alipoishia ili kukuza na…
JUMUIYA ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imezindua Mkakati wa Mawasiliano na Uhamasishaji ya mwaka 2025/2030 ili kuimarisha mawasiliano, uhusiano wa kikanda na maendeleo endelevu kwa nchi wanachama. The post…
SHIRIKA la Maendeleo ya Mfuko wa Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNDCF) limekubali kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kutekeleza Programu ya LoCAL awamu ya pili. Kupitia programu hiyo, serikali inatekeleza…
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi amepokea Kitabu Maalumu chenye mkusanyiko wa habari picha za kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais wa Chama Cha…
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kinafunga pazia la kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya meya, naibu meya na wenyeviti wa halmashauri katika halmashauri mbalimbali nchini kabla ya kuanza vikao vya…
VIJANA nchini wametakiwa kuijadili na kuitumia hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizindua Bunge la 13 kama suluhu ya changamoto zinazowakabili. Wakizungumza na HabariLEO viongozi wa wafanyabiashara wadogo maarufu…
RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Ameitaka tume hiyo kuchunguza…
DAR ES SALAAM; Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, leo Novemba 20, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, katika…
DODOMA: Kuendesha shughuli za huduma ndogo za fedha ( VICOBA ) bila usajili kutoka Benki Kuu ya Tanzania ni kosa la jinai, adhabu yake ni faini Sh milioni 1-10, kifungo…
WAZIRI wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amepongeza kiwango cha kisasa cha jengo jipya la abiria katika Uwanja wa Ndege wa Tabora ambalo limekamilika kwa asilimia 98, akisema hata yeye hakutarajia…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
CLEMENT Mzize amekuwa mchezaji wa kwanza Mtanzania kubeba tuzo ya Bao Bora la Mwaka, tuzo aliyoitwaa usiku wa juzi katika hafla ya utoaji wa tuzo za Mwaka za Shirikisho la…
BAADA ya mapumziko ya ligi kupisha mechi za timu za taifa, Ligi Kuu Bara inaendelea tena leo kwa mechi mbili kupigwa, ambapo KMC inayoburuza mkiani, itakuwa na kibarua cha kupambana…
DAR ES SALAAM; RAIS Dk Samia Suluhu Hassan amemteua Jenifa Omolo kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi…
MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake inahitimishwa leo kwa mechi baina ya AS Far Rabat ya Morocco na Ases Mimosas ya Ivory Coast zitakazokutana katika fainali kuwania taji…
KOCHA Mkuu wa Ceassia Queens ya Iringa, Ezekiel Chobanka amekiri kikosi cha timu hiyo kipo katika wakati mgumu baada ya kuanza vibaya Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), huku akianza hesabu…
SHIRIKA la Maendeleo ya Mfuko wa Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UNDCF) limekubali kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kutekeleza Programu ya LoCAL awamu ya pili. Kupitia Programu hiyo Serikali inatekeleza…
WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi leo Novemba 20, 2025, amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko kwenye ofisi za Wizara zilizoko Mtumba…
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki Mkutano wa thelathini wa nchi wanachama wa Mkataba wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (UNFCCC COP-30), unaoendelea jijini Bélem,…
Mashindano hayo yatakayofanyika nchini Ufilipino yakitarajiwa kufikia tamati Desemba 7, 2025, yanajumuisha timu 16, huku Tanzania ikipangwa kundi C na timu za Ureno, Japan na New Zealand.
DODOMA: Waziri wa Maliasili na Utalii Dk, Ashatu Kijaji amekabidhiwa rasmi ofisi na mtangulizi wake Balozi Dk, Pindi Chana tayari kwa kuiongoza Wizara hiyo yenye mchango mkubwa kiuchumi nchini. Katika…
MKUU wa Jeshi la Magereza Tanzania CGP Jeremiah Yoram Katungu, ametoa wito kwa Maafisa na askari wataalam wa simu za upepo, kufanya kazi kwa weledi na kuzingatia Sheria, Kanuni na…
Wazee jijini Tanga wamewashauri vijana kuacha mihemko katika maamuzi badala yake wasikilize ushauri wa watu waliowazidi umri ambao wana ukomavu na busara. Wakati wa mazungumzo na waandishi wa habari Mwenyekiti…
BAADA ya uongozi wa Mtibwa Sugar kumtambulisha Mkenya Yusuf Chippo kwa ajili ya kukiongoza kikosi hicho kwa msimu huu wa 2025-2026, kocha huyo amekutana na kuzungumza na wachezaji wote wa…
KOCHA Mkuu wa maafande wa Transit Camp, Shadrack Nsajigwa ameweka wazi anatamani kuona soka safi likichezwa katika Ligi ya Championship hali ambayo itawavutia watazamaji wengi kama ilivyo Ligi Kuu Bara…
MKUU wa Wilaya ya Tabora, Upendo Wella, amewaagiza wasimamizi wa mradi wa ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya Shule ya Msingi Kiloleni, iliyopo Kata ya Mapambano, Halmashauri ya Manispaa ya…
Kwa mtazamo wako… ni njia gani rahisi zinaweza kuwasaidia wanafamilia kujenga utamaduni wa kuweka akiba hata wanapokuwa na kipato kidogo? Tutumie maoni yako na tutayasoma katika kipindi cha Kilinge cha…
CHUO Kikuu Mzumbe (MU) kilichopo mkoani Morogoro kimeshauriwa kuimarisha uhusiano na mashirikiano kimataifa ili kiweze kupata wanafunzi kutoka nje ya nchi na kutoa wahadhiri wataoenda kufundisha vyuo vya nje. Katibu…
Bei ya nyanya katika msoko mbalimbali Dar es Salaam ‘imeporomoka’ kwa kasi, na kufikia shilingi 8,000 kwa tenga moja kutoka shilingi 80,000 iliyokuwa ikiuzwa wiki mbili zilizopita. Wafanyabiashara katika soko…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, NOVEMBA 20, 2025
Waarabu warudi tena kwa Fei Toto na mzigo wa maana KLABU ya Al Ahli Tripoli imezidi kuweka presha ya kumtaka kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, safari hii…
AMUUA MKEWE KWA KIPIGO, NAYE AJIUA KWA SUMU #HABARI: Mayala Juma mkazi wa Kitongoji cha Bugoma, Kijiji cha Kilombero, Kata ya Lwamgasa Wilaya ya Geita, amemuua mkewe Maria Salavatory kwa…
Waarabu warudi tena kwa Fei Toto na mzigo wa maana KLABU ya Al Ahli Tripoli imezidi kuweka presha ya kumtaka kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, safari hii…
#MEZAHURU:Michezo Uchumi. Tunaangalia juu ya uwekezaji katika michezo. Je, nini kifanyike ili dhana ya uwekezaji iwe kipaumbele katika michezo?
#MICHEZO: Baada ya Nyota wa Klabu ya Yanga SC, Clement Mzize, kuandika historia baada ya kutwaa Tuzo ya Goli Bora la Mwaka Afrika katika hafla ya CAF Awards 2025 iliyofanyika…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO:..NOVEMBA 2O, 2025
#HABARI: Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetunuku tuzo maalum za heshima kwa Marais wa Tanzania, Kenya na Uganda kutokana na mchango wao mkubwa katika maandalizi na uenyeji wa michuano ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 20, 2025
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: -- NOVEMBA 20, 2025
Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 20, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
🔴KUMEKUCHA: NJIA SAHIHI ZA KUPUNGUZA UZITO KISAYANSI-- NOVEMBA 20, 2025