Hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika kuanza kupigwa wikiendi hii
Hatua ya makundi ligi ya mabingwa Afrika kuanza kupigwa wikiendi hii. Wawakilishi wa Tanzania Yanga na Simba wanaanzia nyumbani. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #CAFCL #SisiNiSoka #Azamtvsports