Kasi ya biashara yapungua jijini Dar es Salaam Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Jiji la kibiashara la Dar es Salaam nchini Tanzania linafahamika kama kitovu cha biashara nchini humo. Mbali na biashara mbalimbali zinazofanyika lakini bandari kuu ya nchi hiyo pia iko jijini…