WHO: Usambazaji wa bidhaa za matibabu Gaza unazidi kukwama
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema leo kuwa huduma za matibabu bado hazijarejea kikamilifu kwa wakazi wa Ukanda wa Gaza, takriban wiki mbili tangu kuanza kwa makubaliano ya kusitisha mapigano.
Watu wanne wauawa kwenye shambulizi la treni Ukraine
Watu wanne wameuawa na wengine 12 kujeruhiwa baada ya mwanamume mmoja kulipua kifaa cha mlipuko ndani ya treni nchini Ukraine.
Dong-Young atoa wito kwa Trump kukutana na Kim Jong Un
Waziri wa Muungano wa Korea Kusini, Chung Dong-young, ametoa wito kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, kukutana na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, katika ziara yake ijayo barani…
Wagombea wa Urais Ivory Coast wafanya kampeini ya mwisho
Wagombea urais nchini Ivory Coast jana walihitimisha kampeni zao kabla ya uchaguzi mkuu utakaofanyika kesho Jumamosi.
Jeshi nchi Nigeria lawauwa wanamgambo 50
Jeshi la Nigeria limesema Alhamisi kuwa limewaua waasi 50 waliokuwa na silaha waliokuwa wakitumia droni kufanya mashambulizi mengi kwenye kambi za jeshi katika eneo tete la kaskazini mashariki.
Kocha Dodoma aomba siku 21 kufanya jambo
KOCHA Mkuu wa Dodoma Jiji, Amani Josiah amesema bado anaamini ubora wa wachezaji wake lakini akaitaja ratiba ya mechi ya Ligi Kuu Bara ni kikwazo kwake kubadili mambo huku akizitaja…
Gombo Samandito akamilisha kampeni zake Dar es Salaam
Mgombea urais wa CUF, Gombo Samandito, yuko katika awamu ya mwisho ya kampeni Dar es Salaam. Amezungumza na wananchi wa Kivule, Ilala, na atakamilisha kampeni tarehe 28 Mbagala, Temeke. Gombo…
Kocha Mbeya City ajilipua, ataja panapovuja
BAADA ya kupoteza dhidi ya Tanzania Prisons, Kocha wa Mbeya City, Malale Hamsin amesema ameshajua shida iliko na amejipanga kuiondoa mapema tu.
Kocha Mtibwa Sugar aiwaza Yanga mapema
BAADA kutoka suluhu dhidi ya Dodoma Jiji, Kocha mkuu wa Mtibwa, Awadh Juma amesema wakati wanajipanga kwenda kukutana na Yanga, anataka kuhakikisha muda uliosalia wanatafuta suluhusho la kupata mabao.
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KIGOMA: OKTOBA 24, 2025 –
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KIGOMA: OKTOBA 24, 2025 -
Mastaa Coastal Union wamepewa siku za saba
KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Mohammed Muya ametoa siku saba za mapumziko kwa wachezaji wake kwa lengo la kwenda kupiga kura, pia kutoa nafasi kwa wachezaji kusalimia familia zao kabla…
Kihimbwa akubali mambo magumu Ligi Kuu
WINGA wa Mashujaa FC, Salum Kihimbwa amesema msimu huu ni dume, lakini anataka kuendeleza ubora wake wa msimu uliopita na kufunga mabao zaidi.
Takaichi aahidi kuimarisha jeshi na ushirikiano na Marekani
Waziri Mkuu mpya wa Japan, Sanae Takaichi, ameahidi kuongeza kasi ya ujenzi wa uwezo wa kijeshi na matumizi ya ulinzi, na kuimarisha uhusiano na Marekani.
Ouattara apigiwa chapuo kushinda awamu ya nne
Wagombea kwenye uchaguzi wa rais nchini Ivory Coast wamefanya mikutano ya mwisho ya kampeni wakati kampeni hizo zikihitimishwa rasmi jana Alhamisi katika taifa hilo la Magharibi mwa Afrika lenye watu…
Zelensky ziarani Uingereza kurai msaada zaidi dhidi ya Urusi
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky yuko ziarani London Uingereza na kuzungumza na kurai zaidi ya wakuu 20 wa nchi za Ulaya katika vita vyake vya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya…
Watendaji wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wametakiwa kusimamia na kufuata miongozo yote ya uchaguzi ili kuhakikisha mcha…
Watendaji wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) wametakiwa kusimamia na kufuata miongozo yote ya uchaguzi ili kuhakikisha mchakato wa kidemokrasia unafanyika kwa uwazi na kwa usahihi. Kauli hiyo…
Nchi tano zinazoongoza kwa ukuaji wa uchumi wa Afrika
Benin, Côte d'Ivoire, Ethiopia, Rwanda na Uganda ni miongoni mwa nchi zenye ukuaji wa kasi zaidi wa kiuchumi duniani, kwa mujibu wa IMF. Nini kinachochochea mafanikio yao — na ina…
Wanayanga matumbo joto ikiivaa Silver Strikers, Simba yafichua siri ya mafanikio ikisaka rekodi …
Job awaita mashabiki kwa Mkapa kesho BAADA ya Yanga kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Silver Strikers Oktoba 18, 2025, beki na nahodha msaidizi wa timu hiyo, Dickson Job amesema…
Wanariadha warejea kwa furaha baada ya kufanya kweli Nagai City Marathon
Job awaita mashabiki kwa Mkapa kesho BAADA ya Yanga kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Silver Strikers Oktoba 18, 2025, beki na nahodha msaidizi wa timu hiyo, Dickson Job amesema…
Wanachama wa Taasisi ya Maendeleo ya Viziwi Tanzania wilayani Mpanda wamepatiwa elimu ya uhamasishaji wa matumizi safi ya kupiki…
Wanachama wa Taasisi ya Maendeleo ya Viziwi Tanzania wilayani Mpanda wamepatiwa elimu ya uhamasishaji wa matumizi safi ya kupikia kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na kusaidia washiriki hao kupata…
🔴MEZA HURU: FUKWE ZA BAHARI …OKTOBA 24, 2025
🔴MEZA HURU: FUKWE ZA BAHARI ...OKTOBA 24, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025
Waislamu Tanzania waombea amani Uchaguzi Mkuu
Tanzania itafanya Uchaguzi wake Mkuu Oktoba 29, 2025 ambapo wapiga kura 37, 655,559 wamejiandikisha kupiga kura katika majimbo 272.
Wazawa waipa Mlandege ushindi wa kwanza Ligi Kuu Zanzibar
BAADA ya bingwa mtetezi wa Ligi Kuu Zanzibar, Mlandege kuanza kwa kusota msimu wa 2025-2026, hatimaye imetoa gundu kwa kupata ushindi wa kwanza kwa kuifunga New Stone mabao 3-0, kikosi…
Bondia Mkojani apokewa kwa mbwembwe Zanzibar akirudi na medali
KATIBU Mtendaji Baraza la Taifa la Michezo Zanzibar, Said Kassim Marine, amesema milango ya mchezo wa masumbwi visiwani hapa imefunguka kimataifa, hivyo wanamichezo wanapaswa kuitumia fursa hiyo ipasavyo.
Wasiwasi waongezeka huko Kivu wakati mazungumzo yakiendelea
Wakati mazungumzo ya amani yakiendelea mjini Doha kati ya serikali ya Kongo na waasi wa AFC/M23, hali ya wasiwasi imeongezeka tena katika maeneo ya mashariki mwa nchi.
#HABARI: Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC, amezungumza na @hoseamchopa kuwa ni ngumu kuweka mechi zao bure kwa…
#HABARI: Murtaza Mangungu, Mwenyekiti wa Wanachama Simba SC, amezungumza na @hoseamchopa kuwa ni ngumu kuweka mechi zao bure kwa sababu mashabiki wao ni jambo ambalo haliwafurahishi. Mangungu anasema mashabiki wa…
Uturuki yataka Israel ishinikzwe juu ya mpango wa amani Gaza
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema Marekani na mataifa mengine yanapaswa kuchukua hatua zaidi kuishinikiza Israel kusitisha ukiukaji wa makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza.
Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamezindua rasmi safari za kuelekea katika mik…
Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamezindua rasmi safari za kuelekea katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, kwa ajili ya kufuatilia maandalizi na mwenendo wa…
Mashujaa yapiga mkwara ikiikaribisha Namungo
MASHUJAA imeahidi kufanya vizuri dhidi ya Namungo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, kesho.
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) mkoani Katavi imetakiwa kuongeza juhudi katika utoaji wa elimu ya bima, hususan katika maene…
Mamlaka ya Usimamizi wa Bima (TIRA) mkoani Katavi imetakiwa kuongeza juhudi katika utoaji wa elimu ya bima, hususan katika maeneo ya vijijini ambako mara nyingi huduma na elimu hiyo haifikii…
Ujerumani yaahidi kuisaidia Ukraine katika msimu wa baridi
Waziri wa uchumi wa Ujerumani Katherina Reiche amewasili nchini Ukraine leo pamoja na ujumbe wa kibiashara, na kuahidi msaada kwa Ukraine wakati wa msimu wa baridi unaokuja .
Wajerumani wengi waunga mkono kauli ya Merz kuhusu uhamiaji
Raia wengi wa Ujerumani wanakubaliana na matamshi ya hivi karibuni ya kansela wa Ujerumani Friedrich Merz yanayopendekeza kwamba matatizo yanatokana na uhamiaji yanadhihirika wazi katika barabara za nchi hiyo.
Trump: Israel haitaunyakua Ukingo wa Magharibi
Rais wa Marekani Donald Trump ameionya vikali Israel dhidi ya mpango wake wa kulinyakua eneo la Ukingo wa Magharibi siku kadhaa baada ya kuanza kwa utekelezwaji wa makubaliano ya kusitisha…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Bw. Benno Malisa amewataka wananchi wa mkoani hapo waliojiandaa kufanya vurugu zinazohamasishwa kwenye mitandao ya kijamii siku ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025, wajionye…
Job awaita mashabiki kwa Mkapa kesho
BAADA ya Yanga kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Silver Strikers Oktoba 18, 2025, beki na nahodha msaidizi wa timu hiyo, Dickson Job amesema hawatakubali unyonge kufungwa tena nyumbani Uwanja…
Oxfam: Zaidi ya watu milioni 21 wahitaji msaada Kongo
Zaidi ya watu milioni 21 wanahitaji msaada wa kibinadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hii ikiwa idadi ya karibu humusi moja ya watu. Haya ni kwa mujibu wa shirika…
Kamwe: Mageti kwa Mkapa wazi kwa saa nne pekee
Kuelekea mchezo wa kesho wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Silver, mageti yatafunguliwa saa 4:00 asubuhi na kufungwa saa 8:30 mchana.
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro, Rose Ebrahim, amewahimiza watumishi wa mahakama katika kanda hiyo kuendelea kus…
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro, Rose Ebrahim, amewahimiza watumishi wa mahakama katika kanda hiyo kuendelea kusimamia na kuzingatia misingi ya kazi yao, huku wakitimiza wajibu wao kwa…
Mabedi: Njoo muone, Yanga ipo tayari
KAIMU kocha Mkuu wa Yanga, Patrick Mabedi ambaye ni raia wa Malawi, amesema ushindi dhidi ya Silver Strickers ni muhimu ili kuhakikisha timu inatinga hatua ya makundi katika Ligi ya…
Kundi la Quad kufanya mkutano kuhusu Sudan mjini Washington
Wawakilishi wa Marekani, Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu na Misri wanakutana leo Ijumaa mjini Washington na pande husika katika vita vya Sudan, wakilenga kuzishinikiza kuelekea kwenye makubaliano ya…
Ulaya yaihakikishia Ukraine Ufadhili
Umoja wa Ulaya kuweka mipango ya kuifadhili Ukraine kwa miaka miwili huku suala la kutumia mali zilizozuiwa za Urusi kufidia mikopo kwa Ukraine likiendelea kuwa tete.
Kumekuwa na mitazamo hasi kuwa, kuchangia damu kunaweza kukuletea athari, lakini ukweli ni kuwa, hakuna athari yoyote mtu anawez…
Kumekuwa na mitazamo hasi kuwa, kuchangia damu kunaweza kukuletea athari, lakini ukweli ni kuwa, hakuna athari yoyote mtu anaweza kupata akichangia damu kama wanavyoeleza, Dkt. Pendaeli Sifueli Dkt. Abilius Fidel.…
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, akipokea ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, uliowasilishwa na Mjumbe Maalum…
Inaelezwa kuwa, kuchangia damu kunapunguza hatari ya mchangiaji kupata magonjwa ya moyo na pia kunapunguza wingi wa mafuta mwili…
Inaelezwa kuwa, kuchangia damu kunapunguza hatari ya mchangiaji kupata magonjwa ya moyo na pia kunapunguza wingi wa mafuta mwilini. Msikilize Meneja Damu Salama Kanda ya Mashariki, Dkt. Pendaeli Sifueli akifafanua…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 24, 2025