#HABAI: Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, Makundi Maalum ya watu wenye ulema…
#HABAI: Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, Makundi Maalum ya watu wenye ulemavu mkoani Singida, wameipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)…
Rais wa mpito wa Madagascar amemteua waziri mkuu mpya kufuatia mapinduzi ya kijeshi
Uteuzi huo unakuja baada ya siku kadhaa za maandamano ambayo yalimlazimu Rais aliyeondolewa madarakani Andry Rajoelina kutoroka nchi, huku jeshi likichukua mamlaka.
#HABARI: Vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Tanga vimeanza kuimarisha operesheni ya kuimarisha ulinzi katika maeneo tofauti iki…
#HABARI: Vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Tanga vimeanza kuimarisha operesheni ya kuimarisha ulinzi katika maeneo tofauti ikiwemo mpakani mwa nchi jirani ya Kenya kufuatia jeshi la polisi kubaini kuwepo…
Wajumbe wa Marekani wakutana na Netanyahu
Msemaji wa serikali ya Israel amesema wajumbe wakuu wa Marekani katika mzozo wa Mashariki ya Kati wamekutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamini Netanyahu kujadili utekelezaji wa makubaliano ya usitishaji…
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 20, 2025 – MSHINDI WA URAIS KUTANGAZWA SAA 72
🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU OKTOBA 20, 2025 - MSHINDI WA URAIS KUTANGAZWA SAA 72
Kiongozi Mkuu wa Iran, Khamenei, apinga madai kuwa Marekani imeharibu uwezo wa nyuklia wa nchi yake
Tehran na Washington zilishiriki katika duru tano za mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja ambayo yalimalizika kufuatia vita vya anga vya siku 12 mnamo Juni ambapo Israel na…
#HABARI: Wagonjwa kutoka maeneo tofauti ndani na nje ya mkoa wa Tanga wameridhishwa na maboresho yaliyofanywa na serikali katik…
#HABARI: Wagonjwa kutoka maeneo tofauti ndani na nje ya mkoa wa Tanga wameridhishwa na maboresho yaliyofanywa na serikali katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tanga bombo na kusababisha kuwapunguzia…
Papa akutana na wahanga wa unyanyasaji wa kingono
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Leo XIV, alikutana kwa mara ya kwanza na kundi la wahanga wa unyanyasahi wa kingono unaodaiwa kufanywa na makasisi wa kanisa hilo.
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Itilima iliyopo mkoani Simiyu imemhukumu Saimon Nzumbi Magumba mwenye umri wa miaka thelethini na…
#HABARI: Mahakama ya Wilaya ya Itilima iliyopo mkoani Simiyu imemhukumu Saimon Nzumbi Magumba mwenye umri wa miaka thelethini na nane kifungo cha miaka thelathini jela kwa kosa la kumbaka mtoto…
WItkoff akutana na Netanyahu kuhusu usitishaji vita Gaza
Mjumbe maalum wa Marekani Steve Witkoff pamoja na mkwe wa Rais Donald Trump, Jared Kushner, wamekutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu
Merz aahidi kupambana na chama cha siasa kali AfD
Kiongozi wa chama cha kihafidhina cha CDU, Kansela Friedrich Merz, ameapa kupambana vikali na chama cha siasa kali za mrengo wa kulia AfD, kuelekea uchaguzi wa majimbo matano mwaka ujao.
Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt
Mgombea wa urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema anatambua changamoto ya msongamano wa magari katika barabara ya Kilwa, hususan kipande cha Kongowe hadi Mbagala Rangitatu, na…
Nchi za EU zakubaliana kukomesha uagizaji wa gesi ya Urusi
Mawaziri wa nishati wa nchi za Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuachana kabisa na uagizaji wa gesi kutoka Urusi ifikapo mwisho wa mwaka 2027.
Vyama vya ushirika nchini (SACCOS) vimeiomba serikali kuweka mazingira wezeshi ya uendeshaji ili kuruhusu SACCOS hizo kupokea am…
Vyama vya ushirika nchini (SACCOS) vimeiomba serikali kuweka mazingira wezeshi ya uendeshaji ili kuruhusu SACCOS hizo kupokea amana kutoka kwa watu ambao si wanachama wa SACCOS hizo. Ombi lililotolewa ni…
Papa akutana na wahanga wa manyanyaso ya kingono kanisani
Kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki ulimwenguni Papa Leo, amekutana na wahanga wa unyanyasaji wa kingono uliofanywa na makasisi wa kanisa hilo.
Chama, Aucho waongeza mzuka Singida Black Stars wakitua Airpot, Gamondi, Massanza wafichua figisu za Burundi!
Bao la Chama lampa mzuka Gamondi BAADA ya kuambulia sare ya bao 1-1 ugenini, Kocha mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema bado ana dakika 90 ngumu za kuandika…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na askari wa Wanyamapori limefanikiwa kukamata watuhumiwa wanne walio…
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro kwa kushirikiana na askari wa Wanyamapori limefanikiwa kukamata watuhumiwa wanne waliokuwa wakijihusisha na biashara haramu ya nyara za Serikali, ambapo walikutwa na meno…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amekutana na mwenzake wa Ufaransa, kamishna wa EU kujadili usalama
Hakan Fidan alifanya mazungumzo na maafisa wakuu pembezoni mwa mkutano wa mawaziri kuhusu usalama na uunganisho wa kanda mbalimbali, uliofanyika kama sehemu ya Baraza la Mambo ya Nje la Umoja…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA: OKTOBA 20, 2025-
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA: OKTOBA 20, 2025-
Rais Erdogan kufanya ziara ya Ghuba yenye lengo la kukuza uhusiano wa kiuchumi na kimkakati
Ziara ya Rais wa Uturuki ya mataifa matatu inakuja wakati Ankara inatafuta ushirikiano wa kina wa kikanda huku kukiwa na mabadiliko ya mienendo ya Mashariki ya Kati.
Bao la Chama lampa mzuka Gamondi
BAADA ya kuambulia sare ya bao 1-1 ugenini, Kocha mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema bado ana dakika 90 ngumu za kuandika rekodi ya kuipeleka timu hiyo hatua…
Ruto: Raila alikuwa mzalendo aliyeitumikia nchi kwa upendo
Rais William Ruto amewaongoza Wakenya kuadhimisha siku kuu ya Mashujaa huku akimtunuku heshima ya juu Waziri Mkuu wa zamani Raila Amollo Odinga, aliyezikwa Jumapili (19.10.2025), nyumbani kwake jimbo la Siaya.
Kocha ataja kinachoitesa Mlandege Ligi Kuu Zanzibar
BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Mlandege, imeonekana kuteseka katika ligi hiyo baada ya kucheza mechi nne bila ya ushindi wala kufunga bao msimu huu wa 2025-2026.
Mbeya ‘Derby’ ndani ya KMC Complex
KWA mara ya kwanza katika historia, mechi ya Watani wa Jadi wa Jiji la Mbeya, Mbeya Derby baina ya Mbeya City na Tanzania Prisons inachezwa Dar es Salaam na leo…
Hesabu za Mgunda akiiwaza tano bora
KOCHA Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda amesema kuanza kwao vibaya msimu huu haina maana wapo kwa ajili ya kugawa pointi kwa wapinzani, bali kuna mabadiliko makubwa na anaona watakuwa bora…
Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 424.6 kwa ajili ya miradi ya maendeleo mkoani Rukwa, ikiwemo ukarabati wa uwanja wa nd…
Serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 424.6 kwa ajili ya miradi ya maendeleo mkoani Rukwa, ikiwemo ukarabati wa uwanja wa ndege wa Sumbawanga, ujenzi wa barabara za lami na kazi…
Ibenge atoa neno kwa straika Kitambala
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge amesema licha ya mshambuliaji wa timu hiyo, Jephte Kitambala kutajwa kwa ubora kutokana na kufunga mabao na kuisaidia timu hiyo kwenye malengo ya…
#HABARI: Wasomi na wanazuoni kutoka mataifa kumi ya bara la Afrika wanakutana jijini Arusha kujadiliana na kubadilishana uzoefu …
#HABARI: Wasomi na wanazuoni kutoka mataifa kumi ya bara la Afrika wanakutana jijini Arusha kujadiliana na kubadilishana uzoefu na kuweka mikakati ya pamoja ya mbinu sahihi za kukabiliana na changamoto…
MAHOJIANO MAALUM | Rais Mstaafu Kikwete amzungumzia Hayati Raila Odinga | Tanzania imepoteza rafiki
https://youtu.be/iAMxVTZkoao?si=k6TkkZ-NJaaDl_Vm Fuatilia mahojiano maalum ya Mwandishi wa Habari wa AzamTV, Ivona Kamuntu aliyofanya na Rais Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza mengi kuhusu uhusiano...
Wapinzani wa Putin, wamepotea tu lakini hawajasahaulika
Wajumbe wa Bunge la Baraza la Ulaya kwenye tawi linalohusika na kudumisha haki za binadamu, demokrasia na utawala wa sheria wameunga mkono kura ya kuanzishwa jukwaa la mazungumzo na wapinzani…
Watoto 20 waangamia India kwa kunywa dawa ya kikohozi
Zaidi ya watoto 20 walio chini ya umri wa miaka mitano wamefariki dunia katika jimbo la Madhya Pradesh, India, baada ya kutumia dawa ya kikohozi iliyogundulika kuwa na kiwango kikubwa…
Lipi jukumu la Umoja wa Afrika katika utatuzi wa mizozo?
Uamuzi wa Umoja wa Afrika wa kusitisha uanachama wa Madagascar unazua maswali mengi. Maoni ya wataalamu yamegawanyika juu ya kile AU inachoweza kufanya ili kushughulikia misukosuko ya kisiasa ya nchi…
Leverkusen kuchuana na miamba PSG Ligi ya Mabingwa
Bayer Leverkusen itakutana na Paris Saint-Germain katika mechi ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya itakayochezwa kwenye uwanja wa BayArena, mjini Leverkusen kuanzia saa usiku kwa saa…
MASHABIKI WAMKANA FOLZ LIVE “HATUMJUI”
MASHABIKI WAMKANA FOLZ LIVE “HATUMJUI” #HABARI: Mashabiki wa Yanga SC wamemkataa katakata aliyekuwa kocha wao Romain Folz na wamesema asingefukuzwa safari yao ingekuwa ngumu huku wakidai hawamjui kabisa, hawajawahi kumuona!…
RSF yadaiwa kuwashambulia wakaazi wa El-Fashir, Sudan
Mji wa al-Fashir katika mkoa wa Darfur, Sudan, unazidi kuwa kitovu cha maafa makubwa ya kibinadamu baada ya mashambulizi ya droni na mizinga yaliofanywa na vikosi vya kundi la RSF,…
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam Oktoba 22, 2025 siku ya Jumatano saa tatu kamili asubuhi inatar…
#HABARI: Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam Oktoba 22, 2025 siku ya Jumatano saa tatu kamili asubuhi inatarajia kutoa uamuzi juu ya mapingamizi manne ya kupinga…
Jaramogi Oginga Odinga: Baba yake Raila Odinga
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga alizikwa siku ya Jumapili nyumbani kwake magharibi mwa Kenya. Wengi wamemtaja kuwa mwanasiasa hodari, mzalendo na mwanamajumui.
Wachezaji La Liga wapinga mechi kuchezwa Marekani
Wachezaji wa La Liga wamefanya maandamano ya kimya kimya kwa kusimama kwa sekunde 15 za mwanzo za mechi zao kama ishara ya kupinga uamuzi wa ligi hiyo kuandaa mechi moja…
🔴MEZA HURU: SHERIA MKONONI…OKTOBA 20, 2025
🔴MEZA HURU: SHERIA MKONONI...OKTOBA 20, 2025
Liverpool ina matatizo gani na Arne Slot anaweza kutatua mambo?
Wasiwasi umejiri kuhusu meneja wa Liverpool Arne Slot baada ya kufungwa nyumbani na Manchester United, ikiwa wapoteza mechi ya nne mfululizo katika mashindano yote.
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 20, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 20, 2025
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu, amesema mkoa huo umejiandaa kwa kuhakikisha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyi…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu, amesema mkoa huo umejiandaa kwa kuhakikisha Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 unafanyika kwa amani na utulivu. Amesema maandalizi yote muhimu…
Yanga yaanza mchakato wa kusaka kocha mpya
Klabu ya Yanga nchini Tanzania iko kwenye hatua ya mpito baada ya kuachana na kocha mkuu Romain Folz kwa makubaliano ya pande zote kufuatia matokeo yasiyoridhisha ikiwemo kipigo dhidi ya…
Magonjwa yasiyoambukizwa, yakiwemo ya moyo na kisukari, yameelezwa kuendelea kushamiri mkoani Lindi
Magonjwa yasiyoambukizwa, yakiwemo ya moyo na kisukari, yameelezwa kuendelea kushamiri mkoani Lindi. Kutokana na hali hiyo, wakazi wa mkoa huo wameaswa kujitokeza kwa wingi kupata vipimo na matibabu ya kibingwa…
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Iringa limewahakikishia wananchi kuwa kuanzia sasa majanga ya moto na ajali yatadhibitiwa ip…
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Iringa limewahakikishia wananchi kuwa kuanzia sasa majanga ya moto na ajali yatadhibitiwa ipasavyo kutokana na uwepo wa mitambo ya kisasa. Kamanda wa Jeshi hilo…