Serikali yataja sababu kutojenga stendi Ngara, kugawa ardhi Hifadhi ya Isalalo
Serikali imekiri stendi ya mabasi katika wilaya ya Ngara, Mkoa wa Kagera haitoshelezi mahitaji...
Salum Mayanga akalia kuti kavu Mashujaa
BAADA ya kukosa ushindi kwenye mechi tano mfululizo za Ligi Kuu Bara, uongozi wa Mashujaa upo katika mazungumzo ya kumalizana na kocha wa kikosi hicho, Salum Mayanga ili kufikia makubaliano…
Mfumo wa Usimamizi wa Kodi za Ndani (IDRAS) utasaidia kuboresha utoaji wa huduma, kuongeza ufanisi wa kazi na kutumia teknolojia…
Mfumo wa Usimamizi wa Kodi za Ndani (IDRAS) utasaidia kuboresha utoaji wa huduma, kuongeza ufanisi wa kazi na kutumia teknolojia ya kisasa katika kusimamia kodi za ndani. Hayo yameelezwa na…
Edwin Sifuna asema hana wasiwasi kuhusu kunyang’anywa kiti cha SG katika ODM: “Ni sawa”
Katibu mkuu wa ODM, Edwin Sifuna, alizungumzia uvumi anaondoka chamani, akithibitisha uaminifu wake katikati ya fujo kuhusu uongozi na uhalali wa kikatiba wa chama.
Marekani yaanzisha upya AGOA kwa mwaka mmoja
Baraza la Seneti la Marekani limepiga kura siku ya Jumanne, Februari 3, 2026, kuanzisha upya AGOA kwa mwaka mmoja. Hatua hii imesainiwa mara moja kuwa sheria na Rais wa Marekani…
Tanzania: Chama cha ACT-Wazalendo chalaani uchomwaji wa nyaraka za Uchaguzi wa Zanzibar
ACT-Wazalendo imesisitiza kuwa, ni kosa la jinai kuharibu ushahidi wakati kuna shauri la kisheria linaloendelea.
Serikali imejipanga kuhakikisha wakulima nchini wanaondokana na kilimo cha mkono kupitia mpango wa kugawa matrekta 10,000 katika…
Serikali imejipanga kuhakikisha wakulima nchini wanaondokana na kilimo cha mkono kupitia mpango wa kugawa matrekta 10,000 katika halmashauri zote nchini, ambayo utawawezesha wakulima kuyakodi kwa gharama nafuu. Mhariri | John…
VIWANJANI: “Yale mahitaji amabayo Wydad wanataka kwa Aziz imekuwa ngumu sana kwake…”
VIWANJANI: “Yale mahitaji amabayo Wydad wanataka kwa Aziz imekuwa ngumu sana kwake…” Mchambuzi wa soka Iddy Nonga amesema ujio wa nyota wakubwa katika soka kwenye klabu ya Wydad Casablanca kumeweka…
Uturuki yaahidi msaada zaidi kwa Sudan
Uturuki inalenga kuwasaidia watu wa Sudan na mamlaka za nchini humo katika kushughulikia matatizo ya watu.
DRC: AFC/M23 yadai kuhusika na mashambulizi kwenye Uwanja wa Ndege wa Kisangani
Waasi wa AFC/M23 wamedai kuhusika na shambulio la ndege zisizo na rubani kwenye Uwanja wa Ndege wa Bangoka katika jiji la Kisangani, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).…
Watumiaji wa vyombo vya moto vinavyotumia petroli wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei kwa mwezi Februari, huku kwa w…
Watumiaji wa vyombo vya moto vinavyotumia petroli wataendelea kuugulia maumivu ya ongezeko la bei kwa mwezi Februari, huku kwa watumiaji wa dizeli na mafuta ya taa hali ikiwa tofauti. Hali…
WHO yaomba dola bil.1 za kukabiliana na majanga ya kiafya
Shirika la Afya Duniani, WHO, limeomba dola bilioni moja za Marekani ili kukabiliana na majanga ya kiafya mwaka huu kwa ajili ya maeneo 36 yenye dharura zaidi duniani, huku watu…
Ahadi ya Sh200 bilioni zitaakisi fursa au changamoto kwa wafanyabiashara wadogo?
Ahadi ya utoaji wa Sh200 bilioni ilitolewa na Rais Samia alipokuwa akiomba ridhaa ya wananchi...
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Hamisa Kalombola ameliagiza Baraza la Wafanyakazi la Tume hiyo kufanya majadiliano …
Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Hamisa Kalombola ameliagiza Baraza la Wafanyakazi la Tume hiyo kufanya majadiliano ya kina kuhusu Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/2027, akisisitiza kuwa…
FOUNTAIN GATE vs NAMUNGO: Tazama vikosi vya timu zote mbili vikiwasili katika dimba la Tanzanite Kwaraa tayari kwa mchezo wa NBC…
FOUNTAIN GATE vs NAMUNGO: Tazama vikosi vya timu zote mbili vikiwasili katika dimba la Tanzanite Kwaraa tayari kwa mchezo wa NBC Premier League. Mechi ni saa 10:00 jioni LIVE #AzamSports1HD…
Wananchi walilia kituo cha Polisi cha kisasa
Wananchi wa Kata ya Mgusu, Wilaya ya Geita, wameiomba Serikali kwa kushirikiana na wadau wa...
Nigeria: Watu wenye silaha waua watu wasiopungua 35 katikati-magharibi
Watu wenye silaha wameua watu wasiopungua 35 katika kijiji cha Woro, katika Jimbo la Kwara, katikati-magharibi mwa Nigeria, kulingana na mbunge wa eneo hilo, katika shambulio lililothibitishwa na polisi na…
MASHABIKI WA SIMBA SC: “Tushapoteza matumaini ya kuendelea mbele kutokana na matokeo tuliyopata nyumbani”
MASHABIKI WA SIMBA SC: “Tushapoteza matumaini ya kuendelea mbele kutokana na matokeo tuliyopata nyumbani” Mashabiki wa klabu ya Simba wamesema kuelekea mchezo wao dhidi ya Atletico De Luanda ya nchini…
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Tazama shangwe la KMC FC baada ya kuzinyakua alama zote tatu mbele ya Mashujaa FC, katika mchezo wa NBC …
ZILIZOBAMBA MITANDAONI: Tazama shangwe la KMC FC baada ya kuzinyakua alama zote tatu mbele ya Mashujaa FC, katika mchezo wa NBC Premier League uliopigwa jana katika dimba la Majaliwa Ruangwa…
Jela miezi 14 kwa kumuua mtoto wake bila kukusudia
Siku ya tukio ilidaiwa kulitokea ugomvi baina yake na mkewe ambaye alikuwa amembeba mtoto wao...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza kugawa vifaa vya kielimu na saidizi vya kidigital kwa walimu wenye ulemavu kutoka s…
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imeanza kugawa vifaa vya kielimu na saidizi vya kidigital kwa walimu wenye ulemavu kutoka shule za awali, msingi na sekondari. Mhariri | John…
Ripoti ya HRW: Raia wazidi kuteseka katika migogoro Afrika
Ripoti ya mwaka ya Human Rights Watch yafichua taswira ya kutisha ya ukiukaji wa haki za binadamu duniani, ikionyesha raia kama walengwa wakuu wa vita, siasa kandamizi na mifumo dhaifu…
Jopo jipya la Kimataifa la Kisayansi kuhusu AI kuanzishwa, Katibu Mkuu UN afafanua
Akizungumza na waandishi wa habari katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani amesema amewasilisha kwa Baraza Kuu orodha ya wataalamu 40 kutoka maeneo yote ya dunia…
Asante Jordan kwa kuendelea kukarimu wakimbizi wa Syria: UNHCR SALIH
Miaka kumi na nne baada ya wakimbizi wa kwanza wa Syria kuvuka mpaka kuingia Jordan kusaka usalama, kambi ya wakimbizi ya Zaatari bado ni makazi ya maelfu ya watu wanaosubiri…
WHO: Kampeni ya chanjo ya kinga dhidi ya kipindupindu yaanza tena baada ya kusitishwa duniani
Kampeni za chanjo ya kinga dhidi ya kipindupindu zimeanza tena kwa mara ya kwanza baada ya zaidi ya miaka mitatu, kufuatia kuongezeka kwa kiwango chau haba wa upatikanaji wa chanjo…
MONUSCO yathibitisha upya dhamira yake ya kuunga mkono usitishaji mapigano DRC
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kulinda Amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC (MONUSCO) umesema unakaribisha maendeleo yaliyotangazwa na Serikali ya Qatar katika mazungumzo yaliyoandaliwa mjini Doha kati…
Je wajua ukibadili mfumo wa maisha unaweza kujiepusha na saratani?
Mabadiliko ya mfumo wa maisha na mazingira yanaweza kuzuia ugonjwa wa saratani kwa wagonjwa wanne katika kila wagonjwa kumi, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la afya duniani, (WHO) na…
WFP yasitisha msaada Sudan Kusini kufuatia mashambulizi dhidi ya misafara ya chakula
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) leo Februari 4, 2026 limetangaza kusitisha shughuli zake zote katika kaunti ya Baliet, jimbo la Upper Nile, nchini Sudan…
Serikali yaonya makondakta daladala wanaotesa wanafunzi vituoni
Makondakta wamekuwa wakigoma kuwabeba wanafuzni kwa kisingizio cha kibiashara wakidai wanafunzi...
WHO: Asilimia 40 ya magonjwa ya saratani duniani yanaweza kuzuilika
Kuelekea Siku ya Saratani Duniani inayoadhimishwa Februari 4 kila mwaka, Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani (WHO) na Shirika la Kimataifa la Utafiti Kuhusu Saratani (IARC) wamebainisha kuwa…
Morocco kuikatia rufaa adhabu waliyopewa Senegal
Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) lilitoa adhabu kali kwa Senegal na Morocco kufuatia vurugu wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 (AFCON 2025).
VIWANJANI: “Fedha katika mpira wetu zipo ligi kuu sana…”
VIWANJANI: “Fedha katika mpira wetu zipo ligi kuu sana...” Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), anayewakilisha Mkoa wa Mara Augustine Mgendi, amesema changamoto kubwa…
Baada ya miaka mingi ya ukame, Arsenal inakaribia kuukana ‘utoto?
Arsenal inakaribia kutwaa taji lao la kwanza tangu mwaka 2020 baada ya kuichapa Chelsea mabao 4-2 kw aujumla katika mechi ya nusu fainali ya kombe la Carabao.
Chama cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA), kimewataka vijana kuchangamkia mikopo inayotolewa na Serikali…
Chama cha Wasambazaji wa Bidhaa na Watoa Huduma Migodini (TAMISA), kimewataka vijana kuchangamkia mikopo inayotolewa na Serikali kwa ajili ya kuwawezesha kupata mitaji. Mwenyekiti wa TAMISA, Peter Kumalilwa amesena katika…
Jeshi la Sudan lauvunja mzingiro katika mji wa Kadugli
Jeshi la Sudan limesema limeuvunja mzingiro wa miaka mingi katika mji wa Kadugli. Hatua hii ya sasa nchini Sudan inaashiria mabadiliko katika muelekeo wa vita vinavyoikumba nchi hiyo.
HRW: Mfumo wa haki za binadamu duniani upo hatarini
Ripoti ya kila mwaka iliyotolewa leo na Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW), inaonyesha kuwa mfumo wa kimataifa wa haki za binadamu uko hatarini.
Mashambulizi ya anga ya Israel yawaua watu 9 huko Gaza
Shirika la ulinzi wa raia la Gaza limesema mashambulizi ya anga ya Israel yamewaua watu tisa katika eneo la Wapalestina, ikiwemo watoto watatu.
Jalali: Madai ya Trump kwamba anawaunga mkono Wairani hayana msingi
Balozi wa Iran nchini Russia, Kazem Jalali amepuuzilia mbali matamshi ya hivi karibuni ya Rais wa Marekani Donald Trump akidai kuwa analiunga mkono na kulisaidia taifa la Iran, akisisitiza kuwa…
Jeshi la Sudan lavunja mzingiro na kudhibiti mji wa Kadugli
Jeshi la Sudan limesema limeuvunja mzingiro wa miaka mingi katika mji wa Kadugli na kutoa matumaini kwa maelfu ya watu wanaokabaliwa na kitisho cha baa la njaa.
Kansela Merz kuanza ziara ya kwanza kanda ya Ghuba
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz, leo anaanza ziara yake ya kwanza katika eneo muhimu lenye utajiri na la kimkakati la Ghuba.
Wajumbe wa Ukraine, Urusi na Marekani kukutana Abu Dhabi
Wasuluhishi kutoka Ukraine, Urusi na Marekani wanatarajiwa kukutana leo mjini Abu Dhabi, wakitafuta kuendeleza mazungumzo tete ya namna ya kumaliza vita vya karibu miaka minne.
Wahamiaji 15 wafa kisiwani Ugiriki kufuatia ajali ya majini
Watu wasiopungua 15 wamefariki baada ya boti ya doria ya walinzi wa pwani ya Ugiriki kugongana na boti iliyowabeba wahamiaji nje ya pwani ya kisiwa cha Chios Jumanne usiku.
HRW yasema mfumo wa haki za kidinadamu duniani uko hatarini
Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema haki za binadamu zadorora. Marekani, Urusi, Iran na Afghanistan zatuhumihiwa, huku dhidi ya mashoga ikiongezeka.
Vifo 4 kati ya 10 vya Saratani barani Afrika vinaweza kuzuiwa kutokana na ugunduzi wa mapema: WHO
Afrika inakabiliwa na changamoto za kipekee zinazoathiri wagonjwa wa Saratani ikiwemo ugunguzi wa kuchelewa na ukosefu wa vifaa vya kutosha vya matibabu
Sifuna aunga mkono uongozi mpya Azimio, asisitiza ODM kingali katika muungano: “Sisi ni wanachama”
Edwin Sifuna amethibitisha ODM kingali mwanachama katika Azimio, pia alipuuza madai eti chama hicho kilitoka huku mabadiliko ya uongozi yakifanyika.
Maneno ya Khadija Kopa kuhusu kifo cha Ally Star
Mkurugenzi wa Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Khadija Kopa amesema mwimbaji na mtunzi wa...
Sababu kifo cha mwanamuziki Ally Star
Msanii wa muziki wa taarabu na Bendi ya Tanzania One Theatre (TOT), Abdul Misambano...
Seneta wa Nigeria: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, nembo ya uhuru duniani
Seneta Shehu Sani wa Nigeria ambaye pia ni mkuu wa Jukwaa la Haki za Kiraia la Nigeria (CRCN), amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya mwaka 1979 ni vuguvugu la…