Fanya haya kuutua mzigo wa ada shuleni
Ili kupunguza au kuondoa mzigo wa ada, wazazi wanapaswa kutumia mbinu mbalimbali za kifedha na...
Washington yafafanua upya ushirikiano wake na Afrika kwa kusaini mikataba mipya ya afya
Katika wiki za hivi karibuni, Marekani ilisaini mikataba mipya ya afya na nchi kadhaa za Afrika, ikiwa ni pamoja na Kenya, Rwanda, na Liberia. Ikiwasilishwa kama kuvujika kwa mfumo wa…
AFCON 2025 yaanza na mkosi wa penalti
Nuksi ya timu kukosa mikwaju ya penalti imeanza kuonekana katika Fainali za Mataifa ya Afrika...
870,000 youths to benefit from new industries in Coast Region
KIBAHA: A TOTAL of 870,000 youths across the country are expected to benefit from direct and indirect employment opportunities generated by 218 medium and large industries currently under construction in…
Maelekezo ya utu ujenzi wa barabara yazingatiwe
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewataka wakandarasi kuweka kipaumbele utu na kuondoa kero kwa wananchi kila wanapopewa kazi za ujenzi akisisitiza kuwa ndiyo mwelekeo wa Serikali ya Rais Samia Suluhu…
Police, Immigration One-stop centre for tourists, foreigners underway
ARUSHA: TANZANIA is considering establishing a special one-stop centre bringing together a dedicated police unit and the Immigration Department to handle all matters related to tourists and other foreigners entering,…
Govt: All eligible micro-businesses to access affordable loans
DAR ES SALAAM: THE government has unveiled strategies to ensure that all eligible citizens engaged in micro-businesses can access affordable loans by 2050, with at least 100,000 entrepreneurs already registered…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 23, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Desemba 23, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Peace as principle, not slogan: Lessons from Pope Leo XIV for troubled world
IN a world increasingly shaped by fear, violence and fractured trust, Pope Leo XIV’s message for the 2026 World Day of Peace arrives not as rhetoric, but as a moral…
Asubuhi yako iko ajee?
Asubuhi yako iko ajee? @pjsweya akipiga stori na @evodia_laurent akimueleza asubuhi yake ilivyo kabla ya kuanza kukiamsha kunako 360 ya Clouds TV. #LiveonClouds360 #CloudsTvNyoosha #LainiYawana
Nigeria: Mzozo kati ya Washington na Abuja ‘umetatuliwa kwa kiasi kikubwa,’ yatangaza serikali
Mzozo wa kidiplomasia kati ya Marekani na Nigeria “umetatuliwa kwa kiasi kikubwa,” kulingana na Waziri wa Habari wa Nigeria Mohamed Idris, ambaye amezungumzia “ahadi thabiti na ya heshima” kutoka pande…
Marekani yaendesha ndege za uchunguzi nchini Nigeria baada ya tishio la Trump: Reuters
Marekani imekuwa ikifanya safari za kukusanya taarifa za kijasusi katika maeneo makubwa ya Nigeria tangu mwishoni mwa Novemba, kulingana na data ya ufuatiliaji wa ndege na maafisa wa sasa na…
Watumishi wa idara mbalimbali katika kata ya Nyamazugo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wametakiwa kutekeleza majukumu yao kw…
Watumishi wa idara mbalimbali katika kata ya Nyamazugo Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wametakiwa kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi ili kuchochea maendeleo ya wananchi hususani katika sekta za kilimo ,ufugaji na…
PM orders efficient services
LINDI: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has warned government executives and officials against operating on “business as usual,” syndrome particularly in public institutions that provide direct services to citizens. He…
AFCON 2025
AFCON 2025 Michuano ya AFCON inazidi kushika kasi nchini Morocco, mechi nne kupigwa leo, ikiwemo Taifa Stars ambao watacheza dhidi ya Nigeria. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michuano hii…
Yavuz bado anapatwa na moto wa mama yake
Yavuz bado anapatwa na moto wa mama yake. Jevdet ajilaumu kwa kifo cha Rifat aahidi kuwa kinga ya watoto wake. Wakati huo Samet yuko mikononi mwa adui. Usikose kutazama 6…
Rekodi mpya kwa Taifa Stars
Tangu yalipotangazwa makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 iliyoanza...
🔴#KUMEKUCHA MICHEZO: HATIMAYE STARS YASHUKA DIMBANI LEO DHIDI YA NIGERIA AFCON DISEMBA 23, 2025
🔴#KUMEKUCHA MICHEZO: HATIMAYE STARS YASHUKA DIMBANI LEO DHIDI YA NIGERIA AFCON DISEMBA 23, 2025
Wazee mil 1.2 wapewa vitambulisho matibabu bure
SERIKALI imefanikiwa kutoa vitambulisho vya matibabu ya bure na bima za afya kwa wazee 1,256,544 na inaendelea kutoa huduma za matunzo katika makazi 13 ya wazee yanayomilikiwa na serikali. Waziri…
DRC: Rais Félix Tshisekedi azindua mradi wa upanuzi wa mji mkuu
Mamlaka nchini DRC zina mipango kabambe ya upanuzi wa mji mkuu, Kinshasa. Jiji hili kubwa lenye wakazi karibu milioni 20 kwa sasa linachukua takriban 40% ya eneo lake lililotengwa rasmi,…
Kiasi cha fedha ambacho mshindi wa AFCON 2025, na timu nyingine zitapokea
Washindi wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 watapata zawadi ya pesa taslimu dola milioni 10, huku mshindi wa fainali atatwaa dola milioni 4, Shirikisho la Soka Afrika (CAF)…
Ila Sheiza bwana 😅 Ohoo Mfaume kamuingiza chaka mzee Maega…Kumbe Sandra msaliti
Ila Sheiza bwana 😅 Ohoo Mfaume kamuingiza chaka mzee Maega...Kumbe Sandra msaliti. Usikose kutazama #PichaYanguSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
Rwanda: Maelfu ya makanisa ya kiinjili yalazimishwa kufungwa
Nchini Rwanda, makanisa elfu kadhaa ya kiinjili yamefunga milango yao katika miaka ya hivi karibuni. Mamlaka imetekeleza kanuni kali ambazo wachungaji wanaona ni vigumu kuzifuata. Kulingana na baadhi ya wachambuzi,…
Ulega aagiza ujenzi barabara usiwe kero
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wakandarasi kuweka kipaumbele utu wa wananchi na kuondoa kero kila wanapotekeleza miradi ya ujenzi nchini, akisema huo ndiyo mwelekeo wa Serikali ya Rais Samia…
Idara ya kijasusi ya Uturuki yamnasa kiongozi mkuu wa Daesh katika msako wa kukabiliana na ugaidi
Mshukiwa huyo anatuhumiwa kuwa na jukumu muhimu katika kuwezesha uhamisho wa wanachama wa Daesh kutoka Uturuki hadi eneo la Afghanistan-Pakistan, kulingana na vyanzo vya usalama.
Mkutano wa AES: Kutokuepo kwa Rais Ibrahim Traoré siku ya kwanza ya mkutano kunazua sintofahamu
Mkutano wa wakuu wa nchi wa Shirikisho la Sahel States (ESA) umeanza siku ya Jumatatu, Desemba 22, lakini bila rais wa Burkina Faso. Rais wa Niger Jenerali Abdourahamane Tiani alikaribishwa…
Marekani yatoa ofa ya $3000 kwa wahamiaji kujiondoa nchini, nyongeza ya mara tatu
Idara ya Usalama wa Ndani ya Marekani (DHS) ilisema Jumatatu inatoa motisha ya muda, iliyoongezwa ili kuhimiza uhamishaji wa hiari kabla ya mwisho wa mwaka, na kuongeza mara tatu posho…
DRC: Jiji la Uvira lakabiliwa tena na mashambulizi licha ya AFC/M23 kutangaza kujiondoa
Mapigano mapya yalizuka siku ya Jumamosi, Desemba 20, 2025, nje kidogo ya Uvira, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mapigano hayo yaliripotiwa kati ya wapiganaji wa kundi la waasi…
Ulaya na kupuuzwa nchi maskini; wakati kaulimbiu za haki za binadamu zinapopoteza maana yake
Ulaya imefadhilisha kutoa misaada yake kwa Ukraine kuliko kutoa misaada hiyo kwa nchi maskini hasa za Afrika.
Rushine akiri kutimka kwa Fadlu kumemtikisa
BEKI wa kimataifa wa Afrika Kusini, Rushine De Reuck, amekiri kuondoka kwa kocha Fadlu Davids ndani ya Simba kumempa wakati mgumu yeye na Neo Maema aliyowavuta Msimbazi.
Zelenskyy: Urusi itashambulia wakati wa Krismasi
Rais Volodymyr Zelenskyy amesema anategemea Urusi itafanya mashambulizi makali ndani ya Ukraine wakati wa sherehe za sikukuu ya Krismasi, akiituhumu Moscow kwa kuonesha tabia hiyo ndani ya miaka minne ya…
Denmark yaapa kamwe Marekani haitoichukua Greenland
Viongozi wa Denmark na wale wa kisiwa cha nchi hiyo kinachojitawala chenyewe cha Greenland wamesisitiza kuwa Marekani kamwe haitoichukua Greenland na kuitaka Washington kuheshimu hadhi ya mipaka inayotambuliwa kimataifa.
Waziri Mkuu wa Sudan ataka UM uunge mkono mpango wa amani
Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris, amelitolea mwito Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuunga mkono mpango wa amani kwa taifa lake lililoharibiwa kwa vita.
Trump: Marekani itazimiliki meli za mafuta ilizozikamata
Rais Donald Trump wa Marekani amesema meli za mafuta ambazo aliamuru zikamatwe nje kidogo mwa pwani ya Venezuela zitabakia kuwa mali ya Marekani.
Tanzania, Uganda na Kongo kutupa karata zao AFCON
Wawakilishi wa kanda ya Afrika Mashariki na Kati kwenye michuano ya kandanda kwa mataifa ya Afrika - AFCON 2025, wanatupa karata zao za kwanza uwanjani leo Jumanne.
Afrika Kusini yaifunga Angola 2-1 katika ushindi wa kwanza ndani ya miaka 10
Lyle Foster aliipatia Afrika Kusini mwanzo wa ushindi kwa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa kuchapa 2-1 dhidi ya Angola siku ya Jumatatu.
Salah aiokoa Misri ikiichapa Zimbabwe
Mohamed Salah amefunga bao katika dakika za majeruhi kuipa Misri ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya...
#KIPIMAJOTO: Ukame kuendelea kuleta athari sehemu mbalimbali nchini
#KIPIMAJOTO: Ukame kuendelea kuleta athari sehemu mbalimbali nchini. Je, Mamlaka husika zinawaandaa wananchi kukabiliana na hali hiyo?
🔴 #MAGAZETI: KRISMASI KUWA CHINI YA ULINZI MAALUMU KUANZIA IBADA HADI ULINGO WA STAREHE
🔴 #MAGAZETI: KRISMASI KUWA CHINI YA ULINZI MAALUMU KUANZIA IBADA HADI ULINGO WA STAREHE...
Trump awafuta kazi mabalozi 30 wa Marekani katika msukumo wa ajenda ya ‘Amerika Kwanza’
Utawala wa Trump umewafuta kazi karibu mabalozi 30 na wanadiplomasia wengine wakuu wa taaluma ili kuhakikisha balozi zinaonyesha vipaumbele vyake vya "Amerika Kwanza".
Meja Jenerali Hatami: Tunafuatilia kwa karibu nyendo za adui
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, tunafuatilia kwa karibu hatari na nyendo kwa umakini mkubwa.
HAMAS yaonya kuhusu mipango hatari ya Israel dhidi ya Baytul-Muqaddas
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeonya kuhusu mipango hatari ya Israel dhidi ya Baytul-Muqaddas na kuwafanya Wapalestina kuwa wakimbizi.
Mtafiti mwanamke wa Kiirani ashinda tuzo ya utafiti ya COMSTECH ya mwaka 2025
Mwanamke mtafiti Muirani amechaguliwa kuwa mmoja wa wapokeaji wa Mpango wa Tuzo ya Utafiti kwa Watafiti Vijana Wanawake wa COMSTECH kwa mwaka wa 2025.
Mataifa ya Maziwa Makuu kutatua mgogoro wa DRC
Wajumbe kutoka Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameafikiana kwamba nchi za Maziwa makuu zinapaswa kuhusishwa katika juhudi za kuutatua mgogoro huo ambao sasa unaihusisha Burundi moja kwa moja.
UNDP yapasisha mradi wa dola milioni 5.8 kulinda Maziwa ya Ubari nchini Libya
Shirila la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini Libya lilitangaza jana Jumatatu kuwa limeidhinisha mradi wa dola milioni 5.8 unaofadhiliwa na Kituo cha Mazingira Duniani (GEF) ili kushughulikia changamoto…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI…..DISEMBA 23, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI.....DISEMBA 23, 2025
Jumanne, Disemba 23, 2025
Leo ni Jumanne tarehe Pili Rajab 1447 Hijria sawa na tarehe 23 Disemba 2025 Milaadia.