#HABARI: Mtia nia Paul Makonda, mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Arusha mjini leo Agosti 26, 2025 alimpandisha j…
#HABARI: Mtia nia Paul Makonda, mara baada ya kuchukua fomu ya kuwania ubunge wa Arusha mjini leo Agosti 26, 2025 alimpandisha jukwaani mkewe na kumtambulisha kwa wana-Arusha. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania…
Pigo jingine kwa Mpango wa Abraham; Kwa nini Libya inapinga uhusiano wa kawaida na Israel?
Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya imekataa nchi hiyo kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
#HABARI: Alan Thomas Mvano ambaye ameteuliwa na Chama cha Mapinduzi CCM kupeperusha bendera katika Jimbo la Kakonko tayari amech…
#HABARI: Alan Thomas Mvano ambaye ameteuliwa na Chama cha Mapinduzi CCM kupeperusha bendera katika Jimbo la Kakonko tayari amechukua fomu INEC, ili kuanzakwa Kampeni za kugombea Ubunge katika Jimbo hilo…
Jinsi Taiwan inavyojiandaa na mashambulizi ya China
Maelezo kuhusu taarifa Author, Tessa Wong Nafasi, BBC Dakika 8 zilizopita Ilikuwa ni Ijumaa nyingine asubuhi kwenye kisiwa cha Taiwan cha Kinmen, kilomita chache kutoka pwani ya China, wakati king’ora…
Je, inatosha kwa nchi za Magharibi kulaani kwa maneno matupu jinai za utawala wa Israel?
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi 21 za Magharibi kwa pamoja wamelaani uamuzi wa Israel wa kujenga makaazi mapya ya walowezi wa Kizayuni huko Quds Mashariki. BONYEZA HAPA USOME…
Khofu ya mafuriko yatanda Pakistan karibu na India
Pakistan imewahamisha maelfu ya watu na kuwapeleka maeneo salama baada ya nchi jirani ya India kufunguwa mabwawa yake yaliyofurika pamoja na mito na kuyaachia maji kumiminika kuelekea katika mikoa ya…
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Mwibara mkoani Mara Kangi Lugola, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, ameonesha furaha wakat…
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Mwibara mkoani Mara Kangi Lugola, kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, ameonesha furaha wakati akielekea kuchukua fomu ya uteuzi, amesema alikuwa Benchi akisoma mchezo…
Nchi za Ulaya kujadili na Iran kuhusu mpango wa Nyuklia
Wajumbe kutoka mataifa ya Ulaya ya kile kinachojulikana kama E3 wanajiandaa leo Jumanne kwa mazungumzo ya dakika za mwisho pamoja na Iran mjini Geneva. Wajumbe kutoka Uingereza, Ufaransa na Ujerumani…
BurkinaFaso na Mali zasusia mkutano kuhusu ulinzi
Burkina Faso na Mali zimejizuia kutuma wawakilishi wake katika mkutano kuhusu masuala ya kijeshi barani Afrika unaoendelea nchini Nigeria. Mali na Burkinafaso zinazoongozwa na tawala za kijeshi bado hazina mahusiano…
🔴MEZAHURU: MOTISHA KWA WALIMU….AGOSTI 26, 2025
🔴MEZAHURU: MOTISHA KWA WALIMU….AGOSTI 26, 2025
Urusi yashambuliwa kwa droni na Ukraine
Viwanja kadhaa vya ndege nchini Urusi vimelazimika kusitisha shughuli zake nyingi usiku wa kuamkia leo kufuatia mashambulizi ya droni yaliyofanywa na Ukraine katika anga ya Urusi. Miongoni mwa viwanja vya…
🔴HABARI ZA SAA: SAA NANE NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NANE NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
Viongozi maarufu ‘walioasi’ na kuitikisa CCM
Maelezo kuhusu taarifa Author, Florian Kaijage Nafasi, Akiripoti kutoka BBC Dar es Salaam 24 Julai 2025 Julai 13, 2025 aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchni Cuba, Humphrey Polepole alitangaa kujiuzulu nafasi…
Umma wa Israel wapinga vita Ukanda wa Gaza
Israel imekabiliwa leo na maandamano makubwa ya umma unaotaka vita katika Ukanda wa Gaza visitishwe na kurudishwa nyumbani kwa mateka wanaoendelea kushikiliwa na kundi la Hamas. Maandamano hayo yamefanyika asubuhi…
Kampuni ya Mafuta ya Serikali ya Nigeria: Wizi wa mafuta kupitia mabomba wakaribia kukomeshwa
Kampuni ya mafuta ya serikali ya Nigeria (NNPC Limited) imeripoti kuwa karibu wizi wote wa mafuta uliokuwa ukifanywa kupitia mabomba umekaribia kukomeshwa, baada ya juhudi zilizoratibiwa na mashirika ya ulinzi…
Makoloni ya zamani ya Ufaransa, miaka 65 baada ya Uhuru
Licha ya mafanikio fulani, changamoto kubwa bado zinayakabili mataifa mengi ya Afrika yanayotumia lugha ya Kifaransa- Francophonie. Takwimu za Faharasi ya Maendeleo ya Binadamu (HDI) zinaonyesha nchi nane kati ya…
Mazungumzo ya kitaifa DRC bado ni kitendawili
Mpango huo wa amani shirikishi nchini Kongo ambao ni matokeo ya mikutano kadhaa ya kiufundi, unalenga kumaliza mzunguko mbaya wa migogoro ya kivita ambayo imeikumba nchi hiyo kwa miongo mitatu.…
Uchaguzi Tanzania 2025: Tanzania kupiga kura Oktoba 29, 2025
Chanzo cha picha, Getty Images 26 Julai 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) nchini Tanzania imetangaza kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, utakaohusisha nafasi ya Rais, wabunge na…
Norway yalaani jinai za Israel Ukanda wa Gaza
Norway imeutaja ukatili unaofanya utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza kuwa ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa, na kutangaza kwamba nchi hiyo ya Ulaya inafikiria kupiga marufuku…
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA SABA NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
Nani wakulaumiwa katika mivutano ya ndani Syria?
Zaidi ya mwezi mmoja umepita tangu Hamza al-Amareen atoweke. Raia huyo wa Syria mwenye umri wa miaka 33, ambaye alikuwa mkuu wa kituo cha dharura cha shirika la uokoaji la…
Balozi wa Iran atimuliwa kutoka Australia
Waziri mkuu wa Australia Anthony Albanese, amesema Shirika la Ujasusi wa Usalama la Australia (ASIO) limekusanya taarifa za kijasusi za kuaminika kwamba Iran ilielekeza mashambulizi hayo mawili katika miji ya…
Kenya yadhibiti uwindaji haramu wa faru kwa miaka mitano
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, Kenya haijaripoti kisa chochote cha uwindaji haramu wa faru. Kulingana na Idara ya Ulinzi wa Wanyamapori nchini Kenya, KWS, matumizi ya teknolojia ya kisasa…
Xi: Uhusiano wa China na Urusi ndio thabiti zaidi duniani
Xi amesema hayo kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Bunge la Urusi Vyacheslav Volodin na kuendelea kuusifia uhusiano huo alioutaja kama “chanzo thabiti cha amani ya ulimwengu,” hii ikiwa ni kulingana…
Hizi ndio nchi tano zilizo salama zaidi duniani kwa 2025
Chanzo cha picha, Getty Images Dakika 10 zilizopita Katika mwaka uliotawaliwa na na migogoro, mataifa matano yameendelea kuorodheshwa miongoni mwa mataifa yenye amani zaidi duniani. Wakazi wamefichua jinsi sera na…
UN yataka nchi za Afrika zishirikiane kijeshi ili kudumisha amani
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina J. Mohammed, amewataka viongozi wa kijeshi wa Afrika kushirikiana kwa karibu zaidi ili kukabiliana na ongezeko la vitisho vya usalama, ugaidi na…
#HABARI: Mtia nia Paul Makonda, leo Agosti 26, 2025 amefunga mitaa ya Arusha mjini wakati msafara wake ukimsindikiza kuchukua fo…
#HABARI: Mtia nia Paul Makonda, leo Agosti 26, 2025 amefunga mitaa ya Arusha mjini wakati msafara wake ukimsindikiza kuchukua fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini katika ofisi…
🔴HABARI ZA SAA: SAA SITA NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA SITA NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
Kwanini wakristo wanauawa Makanisani DRC?
Chanzo cha picha, AFP Maelezo ya picha, Ripoti zinasema, nyumba na maduka kuzunguka Kanisa huko Komanda yalishambuliwa vibaya na waasi. Maelezo kuhusu taarifa Author, Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutoka BBC…
Maafisa wa jeshi la DR Congo wasailiwa huku mapigano yakishadidi eneo la mashariki
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo lilitangaza Jumatatu kwamba maafisa 41 wa ngazi za juu jeshini wamesailiwa kama sehemu ya uchunguzi kuhusu kushindwa kwa vikosi vya serikali wakati wa…
Israel: Waandamanaji wataka vita kusitishwa na Gaza na kuachiwa kwa mateka
Waandamanaji kutoka Israel wametoa wito wa kusitishwa kwa mapigano kwenye ukanda wa Gaza na kuachiwa kwa mateka. Imechapishwa: 26/08/2025 – 11:38 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
#MEZAHURU:”Motisha Walimu” Je kuwapa walimu motisha kuna tija katika kuhakikisha kunapatikana ufaulu mzuri?
#MEZAHURU:”Motisha Walimu” Je kuwapa walimu motisha kuna tija katika kuhakikisha kunapatikana ufaulu mzuri?
Watu maarufu walioachwa na kupita katika kinyang’anyiro cha Ubunge CCM 2025
Maelezo kuhusu taarifa Author, Na Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutoka BBC Dar es Salaam 29 Julai 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza majina ya wagombea ubunge walioteuliwa kugombea katika uchaguzi…
Israeli yaua mwandishi mwingine wa habari Mpalestina
Jeshi la Israel lilimshambulia kwa risasi mwandishi wa habari Mpalestina katika eneo la kusini la Gaza, masaa machache baada ya yeye mwenyewe kutoa heshima kwa wenzake watano waliouawa katika mashambulizi…
🔴HABARI ZA SAA: SAA TANO NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA TANO NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
#MICHEZO: “Kumekuwa kuna mvutano, wao hawapo tayari kutoa sababu, Clement Mzize ni mchezaji wa timu ya taifa, mzize anatakiwa kw…
#MICHEZO: “Kumekuwa kuna mvutano, wao hawapo tayari kutoa sababu, Clement Mzize ni mchezaji wa timu ya taifa, mzize anatakiwa kwenda Qatar”Jasmine Razack-Msimamizi wa mshambuliaji Fuatilia mahojiano haya kwa urefu kupitia…
🔴CHAN 2024: 26 AGOSTI 2025 – MADAGASCAR VS SUDAN
🔴CHAN 2024: 26 AGOSTI 2025 – MADAGASCAR VS SUDAN
Uchaguzi Tanzania 2025: Maswali matatu ‘tata’ kuhusu idadi ya wapiga kura iliyoibua mjadala
Chanzo cha picha, INEC Maelezo ya picha, Jaji wa Rufani Jacob Mwambegele, 30 Julai 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (INEC) imejikuta katikati ya mjadala baada ya kutangaza…
Mkutano wa OIC mjini Jeddah wahimiza hatua ya pamoja kumaliza mauaji ya kimbari Gaza
Mkutano wa dharura wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa Shirika la Ushirikiano la Kiislamu (OIC) ulianza Jumatatu mjini Jeddah, Saudi Arabia, ambapo washiriki wamesisitiza umuhimu wa…
🔴HABARI ZA SAA: SAA NNE NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA NNE NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
#HABARI: Kiongozi wa Chama cha Democratic Party (DP) nchini Kenya Justin Muturi, na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Ra…
#HABARI: Kiongozi wa Chama cha Democratic Party (DP) nchini Kenya Justin Muturi, na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Rais William Ruto, amejitosa kwenye mjadala kuhusu ufisadi bungeni, akimtuhumu Ruto…
Je, Tanzania imeilenga Kenya kuzuia wafanyabiashara wadogo?
Chanzo cha picha, Getty Images 30 Julai 2025 Katika kile kinachoonekana kama mwendelezo wa sera za kulinda uchumi wa ndani, Serikali ya Tanzania imetangaza rasmi marufuku dhidi ya shughuli 15…
Donald Trump asema Wamarekani wengi ‘wangependa kuwa na dikteta’
Rais wa Marekani Donald Trump amesema siku ya Jumatatu, Agosti 25, kwamba Wamarekani wengi “wangependa kuwa na dikteta,” wakati wa mkutano wa ghafla na waandishi wa habari na ambao ulirefushwa…
Iran yakanusha madai ya Trump kuhusu kutengeneza silaha za nyuklia
Iran imekanusha tuhuma zilizotolewa na Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mpango wa nyuklia wa amani wa taifa hili, ikisema madai hayo yametegemeai kauli zilizopitwa na wakati ambazo zilitolewa na…
#HABARI: Emmanuel Mussa (27), mkazi wa Ighombwe, Singida, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi…
#HABARI: Emmanuel Mussa (27), mkazi wa Ighombwe, Singida, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano kutoka Shule ya Msingi Ighombwe. Tukio hilo lilitokea…
Rais Xi Jinping wa China amesifu umuhimu wa kimkakati wa uhusiano na Urusi
Rais wa China Xi Jinping leo Jumanne, Agosti 26, amesifu uhusiano wa China na Urusi kama “imara zaidi” na “muhimu zaidi kimkakati” kati ya mataifa makubwa leo, televisheni ya serikali…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
🔴HABARI ZA SAA: SAA TATU NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
🔴HABARI ZA SAA: SAA TATU NA DAKIKA 55, AGOSTI 26, 2025
Wakimbizi wa Rwanda zaidi ya 500 warejea nchini kutoka Kongo
Wakimbizi wa Kinyarwanda zaidi ya 500 jana Jumatatu walirejea nyumbani wakitokea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Source link
Lebanon: Hezbollah bado inakataa kupokonywa silaha na kudai kukomeshwa kwa ukaliaji wa Israel
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu siku ya Jumatatu tarehe 25 Agosti, alisema kuwa yuko tayari kupunguza “taratibu” uwepo wa jeshi la Israel nchini Lebanon ikiwa Beirut itatekeleza mpango wake…