Mgombea Urais Hamad Rashid Mohamed ameahidi kuunganisha mfumo wa elimu ya madrasa katika mfumo wa elimu visiwani Zanzibar iwapo …
Mgombea Urais Hamad Rashid Mohamed ameahidi kuunganisha mfumo wa elimu ya madrasa katika mfumo wa elimu visiwani Zanzibar iwapo atafanikiwa kupata ridhaa ya wananchi ya kuwa Rais wa Zanzibar. Rashid…
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza siku saba za maombolezo ya Kitaifa kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Raila Odinga ki…
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza siku saba za maombolezo ya Kitaifa kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Raila Odinga kilichotokea nchini India. Mbali ya siku hizo saba pia bendera…
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dkt Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuanzisha kituo maalum cha utoaji wa huduma za kitabibu …
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM, Dkt Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuanzisha kituo maalum cha utoaji wa huduma za kitabibu kwa watu wenye ulemavu sambamba na kutoa vifaa visaidizi kwa…
Mgombea Urais kupitia chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya amewaahidi uzazi wa bure kwa wanawake sambamba na kupata chak…
Mgombea Urais kupitia chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya amewaahidi uzazi wa bure kwa wanawake sambamba na kupata chakula kwa miezi mitatu bure ili kuwasaidia kujenga afya zao. Mluya…
#HABARI: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha NLD, Bw.Doyo Hassani Doyo amesema akipata ridhaa ya…
#HABARI: Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia chama cha NLD, Bw.Doyo Hassani Doyo amesema akipata ridhaa ya kuongoza nchi, ataongeza ruzuku kwa wawekezaji wanaosambaza Nishati ya Gesi,…
Salum Mwalim anayegombea Urais kutokea chama cha CHAUMMA ameahidi kuendeleza mipango ya uchakataji wa gesi kutoka mikoa ya Lindi…
Salum Mwalim anayegombea Urais kutokea chama cha CHAUMMA ameahidi kuendeleza mipango ya uchakataji wa gesi kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara ili kuongeza nafasi za ajira kwa wakazi wa mikoa…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, amekagua miradi ya ujenzi wa madaraja na barabara Jijini Dar es Sal…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, amekagua miradi ya ujenzi wa madaraja na barabara Jijini Dar es Salaam yenye gharama ya shilingi Bilioni 224.22 inayotekelezwa na…
Dk Mwinyi: Tutatunga sheria kali kuwabana wanaume wanaotelekeza watoto
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi ameahidi...
Halmashauri Mbeya kinara utekelezaji miradi ya maendeleo, sababu zatajwa
Miradi hiyo mitano yenye thamani ya Sh1.3 bilioni ikiwepo ujenzi wa bwalo ya wanafunzi Shule ya...
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 15, 2025 -LISSU AENDELEA KUMBANA SHAHIDI WA PILI
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 15, 2025 -LISSU AENDELEA KUMBANA SHAHIDI WA PILI