Vita na Iran vimefichua vipi mwanzo wa kudhoofika nguvu ya kimkakati ya Marekani?
Vita wakati mwingine huweka wazi washindi wake wa kweli na walioshindwa sio kwenye uwanja wa vita, bali katika vyumba vya kifikra na vituo vya kimkakati.
Jenerali wa IRGC: Iran inajitayarisha kujibu vitendo vya uchokozi
Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Iran laWalinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema vikosi vya ulinzi vya Iran viko tayari kikamilifu kukabiliana na hatua yoyote ya uadui, akionya maadui kwamba…
Kiongozi Muadhamu atoa msamaha kwa wafungwa 139 waliohukumiwa adhabu ya kifo Iran
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, ameidhinisha pendekezo la kubadilisha hukumu za wafungwa 139 waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo na mahakama mbalimbali nchini.
Wapiganaji wa Hizbullah wakabiliana na jeshi vamizi la Israel kusini mwa Lebanon
Wapiganaji wa harakati ya mapambano ya Hizbullah wamekabiliana na vikosi vya Israel vilipokuwa vikijaribu kupenya katika maeneo ya kusini mwa Lebanon, wakilenga mikusanyiko ya wanajeshi na magari ya kijeshi kwa…
Wapiganaji wa Hizbullah jeshi vamizi la Israel kusini mwa Lebanon
Wapiganaji wa harakati ya mapambano ya Hizbullah wamekabiliana na vikosi vya Israel vilipokuwa vikijaribu kupenya katika maeneo ya kusini mwa Lebanon, wakilenga mikusanyiko ya wanajeshi na magari ya kijeshi kwa…
Jenerali mstaafu Nigeria afariki akiwa ametekwa, rais aapa kuchukua hatua kali
Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ameapa kuangamiza wale aliowataja kuwa ni “maadui wakubwa” wa nchi hiyo baada ya jenerali mstaafu wa jeshi kufariki dunia akiwa mikononi mwa watekaji nyara.
Guterres akaribisha makubaliano ya amani kati ya Marekani na Iran
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amekaribisha tangazo kwamba Marekani na Iran zimefikia makubaliano ya amani yanayojumuisha usitishaji wa mapigano wa haraka na wa kudumu, kufunguliwa tena kwa…
UN: Mashambulizi ya Israel nchini Lebanon yanatatiza juhudi za amani
Mfululizo wa mashambulizi yaliyofanywa katika vitongoji vya kusini mwa mji wa Beirut siku wa kuamkia leo Jumapili umeonesha kwa mara nyingine hali tete ya mazungumzo ya amani yanayoendelea kuhusu Mashariki…
Latra yaingilia kati mgomo wa madereva wa malori
Hatimaye Serikali imeingilia kati vuguvugu la baadhi ya madereva wa malori wanaotishia...
Serikali yaingilia kati mgomo wa madereva wa malori
Hatimaye Serikali imeingilia kati vuguvugu la baadhi ya madereva wa malori wanaotishia...
#HABARI: Juni 10, 2026 Ofisi ya TAKUKURU Wilaya ya Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro imewafikisha Mahakamani washtakiwa watatu ambao n…
#HABARI: Juni 10, 2026 Ofisi ya TAKUKURU Wilaya ya Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro imewafikisha Mahakamani washtakiwa watatu ambao ni; Bw. Louis Hilario Sunga – Mhandisi na Msimamizi wa Mradi wa…
Maambukizi ya Ebola DRC yafikia 710 huku hofu ikitanda
Idadi ya visa vilivyothibitishwa vya Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imefikia 710, wakiwemo watu 149 waliofariki dunia, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumamosi na Wizara ya Afya…
K#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema kuwa ndani ya siku 14 ofisi yake itatoa majibu rasmi kuhusu sakata la…
K#HABARI: Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amesema kuwa ndani ya siku 14 ofisi yake itatoa majibu rasmi kuhusu sakata la kuvunjwa kwa mageti ya ulinzi katika eneo la…
🔴 TAMASHA LA MICHEZO: JUNI 14 2026
🔴 TAMASHA LA MICHEZO: JUNI 14 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Tanzania confirms Msalato International Airport to start operations by Sept 2026
DODOMA: THE Tanzanian government has said that the Msalato International Airport in Dodoma is expected to be completed and operational by September this year, a move that is expected to…
Serikali yaanza safari ya kuondoa uchimbaji wa kubahatisha
Serikali imesema imeanza hatua za kuondoa uchimbaji wa kubahatisha nchini kwa kuweka mfumo...
Mkakati maalumu kuwanasa wauguzi jeuri
GEITA: SERIKALI mkoani Geita imetangaza mpango rasmi wa kupokea taarifa za wauguzi na watumishi wa afya wanaofanya vitendo visivyo vya kiungwana kwa watu wanaohitaji huduma ya matibabu. Mpango huo pia…
HEKAYA ZA MLEVI: Waachieni watoto wauishi utoto wao
Dar es Salaam. Nani anakumbuka hadithi za kina Kalikalanje, Nunda Mla Watu, Kalume-kenge...
Envoy Yakubu calls for Diaspora’s support in promoting Tanzanian tourism and investment attractions
PARIS: TANZANIA’S Ambassador to France, Saidi Othman Yakubu, has called on Tanzanians living in France to continue to be development ambassadors by supporting the Government’s efforts to promote Tanzania’s tourism…
Hali ya maisha katika nchi tano salama zaidi duniani 2026
Viwango vya jumla vya amani vilizorota katika nchi 99, ikiashiria mwaka wa kumi na mbili mfululizo wa kushuka kwa hali ya usalama ulimwenguni.
Madina shines in opening round of NCBA Ruiru Open
KIAMBU: TANZANIAN golfer Madina Iddi produced a superb openinground performance at the NCBA Ruiru Open, carding a one-under-par 71 to place herself among the early contenders at Ruiru Sports Club…
Kimbunga chaitingisha England Kombe la Dunia
Wachezaji wa timu ya taifa ya England wamejikuta wakilazimika kujifungia ndani baada ya mamlaka...
AFCON 2027: Zanzibar earmarks 1.07tri/-
ZANZIBAR: ZANZIBAR has allocated more than 1.069tri/- to strengthen preparations for the 2027 Africa Cup of Nations (AFCON), positioning the tournament as a driver of economic growth, job creation and…
Simba, Pamba Jiji brace for tactical battle
DAR ES SALAAM: SIMBA SC will today face Pamba Jiji in a crucial Mainland Premier League encounter at the KMC Complex, in Dar es Salaam. The teams’ coaches predict a…
Ghana yaingilia kati sakata la Partey kunyimwa viza
Serikali ya Ghana imeingilia kati sakata la kiungo wa timu ya taifa ya nchi hiyo, Thomas Partey...
A night in Abidjan, a tired body, and Tanzania’s complicated love affair with Mwakinyo
DAR ES SALAAM: BY now, most Tanzanians know exactly what happens whenever Hassan Mwakinyo loses a fight. Within ten minutes of the final bell, social media becomes a national boxing…
‘Marehemu’ afika dukani Nakuru kudai deni lake, mwenye duka miguu niponye
Kizaaza kilishuhudiwa kijiji cha Bondeni kaunti ya Nakuru baada ya jamaa za marehemu kuupeleka mwili wake katika duka la mtu anayesemekana kudaiwa na marehemu.
Magazeti ya Kenya, Juni 14: Macho kwa Ruto huku Wakenya wakitarajia kushuka kwa bei ya mafuta
Wamiliki wa matatu wanasubiri ahadi ya Rais Ruto kuhusu bei ya dizeli, wakihofia migomo huku gharama zikiongezeka lakini changamoto za sekta zinaendelea.
Say no to ‘kausha damu’ loan sharks
DAR ES SALAAM: TANZANIANS, the time has come to seize the golden opportunity to transform our economy through responsible borrowing. Taking a loan does not mean belittling someone, but boost…
Nafasi ya wivu katika ustawi wa ndoa
Katika maisha ya ndoa, wivu ni hisia isiyoweza kuepukika. Pale watu wawili wanapochagua...
Jiongeze: Tofauti ya Prof Jay na Lunya
Pata picha mtoko wa Prof. Jay na Chemsha Bongo. Sogea naye hadi Bongo Dar es Salaam, kisha Piga...
Mauaji, mateso na ukatili: Tawala tano zilizoacha historia ya umwagaji damu Afrika
Walipoingia madarakani, wengi wao walitawala kwa mkono wa chuma, wakitekeleza sera za ukandamizaji zilizojumuisha mauaji ya kisiasa, kunyongwa au kuuawa kwa umma, vifungo vya kiholela na matumizi ya mateso katika…
Tujiulize kama babu na bibi bado ni hazina ya malezi
Katika miaka ya hivi karibuni, mfumo wa familia umeendelea kubadilika kwa kasi kubwa. Wazazi...
Mido Pamba Jiji aingia anga za maafande
JKT Tanzania imeanza mazungumzo ya kuipata saini ya kiungo mshambuliaji wa Pamba Jiji, Najim Mussa, baada ya mkataba wake wa sasa wa mkopo kutoka Singida Black Stars kufikia tamati mwisho…
PDPC warns unregistered data handlers of sanctions
DODOMA: INSTITUTIONS collecting or processing personal data without registration have been warned to comply with the law or face penalties as the Personal Data Protection Commission (PDPC) begins enforcement. Under…
Ulaji wa pamoja siri ya afya bora kwa familia
Katika dunia ya sasa iliyojaa pilikapilika za maisha, familia nyingi zimejikuta zikikosa muda...
Kliniki za sheria sasa kimbilio la wanandoa
Hayo ni maelezo ya mmoja wa wanandoa waliofika katika kliniki ya sheria ya ofisi ya Mwanasheria...
Cancer diagnosis moves closer to homes
MWANZA: BREAST cancer diagnosis is becoming more accessible across the nation following the establishment of 55 diagnostic hubs and expanded services at lower-level health facilities, a move that is helping…
CCTV Yaonyesha wahuni walivyovamia All Saints Cathedral na kuwashambulia waliokuwa wakijadili bajeti
CCTV ilirekodi jinsi wahuni walivyovamia All Saints Cathedral wakati wa mkutano wa kujadili bajeti. Mshukiwa mmoja alikamatwa kufuatia tukio hilo.
Raja Casablanca yamkabidhi Nabi jukumu la kuifufua timu
KOCHA wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi ametangazwa kuwa mkufunzi mpya wa Raja Casablanca akichukua mikoba ya aliyekuwa kocha wa Simba, Fadlu Davids, aliyetimuliwa wiki hii baada ya matokeo kutowafurahisha…
George Ruto azua mjadala baada ya kudai aliwahi ‘kusota’ ile mbaya: “Nimekosa hata bundles”
George Ruto, mwana wa Rais William Ruto, alisema alivyowahi kukosa pesa mbelen, akisisitiza kwamba kila mtu anakabiliwa na shida, bila kujali historia au hadhi yake.
Mpe nafasi mke asaidie kujenga nyumba yako
Katika mfumo wa kiasili wa jamii nyingi, mwanamume amekuwa akitazamwa kama nguzo pekee ya...
Gachagua atoboa siri ya ndani, adai aliwafumania Mudavadi, Wetang’ula wakimuuzia Ruto Nzoia Sugar
Naibu rais wa zamani Rigathi Gachagua aliwashutumu viongozi wa Magharibi mwa Kenya kwa kumuzia William Ruto kampuni ya Sukari ya Nzoia baada ya Wakenya kupinga.
Ni wimbo gani wa kombe la Dunia uliokuwa maarufu zaidi?
Nyimbo za Kombe la Dunia zinaweza kuwa mojawapo ya nguzo rasmi za mchuano huo, na ndizo njia za kusisimua zaidi za kuleta shauku ya umma kabla ya kuanza kwa toleo…
Trump asema makubaliano ya Marekani na Iran kutiwa saini leo, lakini Tehran yatilia shaka muda uliopangwa
Katika chapisho kwenye mtandao wa kijamii, Trump amesema Mlango wa bahari wa Hormuz, njia kuu ya meli, itakuwa "wazi kwa wote" mara tu makubaliano hayo yatakapokubaliwa.
State deepens support for small miners
DAR ES SALAAM: THE government has announced a package of measures to boost small-scale mining, including a new loan guarantee scheme and increased investment in geological exploration, as part of…
Pamba yajipanga kuivuruga Simba katika mbio za ubingwa
LIGI Kuu Bara inaendelea tena leo katika viwanja viwili tofauti, huku mechi kubwa inayosubiriwa ni Simba dhidi ya Pamba Jiji, kwenye Uwanja wa KMC, zikiwa na kumbukumbu ya kutoka sare…
Kongo yasema idadi ya visa vya Ebola vilivyothibitishwa imeongezeka hadi 710
Idadi ya visa vilivyothibitishwa vya Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefikia 710, ikiwa ni pamoja na vifo 149, kulingana na data za serikali zilizotolewa Jumamosi. Imechapishwa: 14/06/2026 –…