#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Felista Njau, ameibukia katika mk…
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Felista Njau, ameibukia katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika mjini Bunda, ambapo alimnadi mgombea ubunge…
#HABARI: Maelfu ya waombolezaji wamejitokeza katika uwanja wa michezo wa Nyayo katika hafla ya Ibaada ya kuaga mwili wa aliyekuw…
#HABARI: Maelfu ya waombolezaji wamejitokeza katika uwanja wa michezo wa Nyayo katika hafla ya Ibaada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Hayati Raila Odinga. Usalama umeimarishwa, huku…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 17, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 17, 2025
Marekani: John Bolton, mshauri wa usalama wa kitaifa wa Donald Trump, akabiliwa na mashtaka 18
Aliyekuwa mshauri wa usalama wa taifa wa Donald Trump anakabiliwa na mashtaka 18 yanayohusiana na kumiliki na kufichua nyaraka za siri wakati wa muhula wake wa kwanza. John Bolton, ambaye…
Wadau wa elimu jumuishi wameandaa mbio maalum za uhamasishaji kuhusu changamoto ya ‘dyslexia’, ambazo zinatarajiwa kufanyika Okt…
Wadau wa elimu jumuishi wameandaa mbio maalum za uhamasishaji kuhusu changamoto ya 'dyslexia', ambazo zinatarajiwa kufanyika Oktoba 19, 2025. Waandaaji wa mbio hizo wamesema lengo kuu la tukio hilo ni…
‘Jeshi kivuli’ linavyomsaidia rais wa muda mrefu wa Uganda kusalia madarakani
Wachambuzi wanasema kitengo hicho kimekuwa na ushawishi mkubwa kiasi kwamba kinashindana na uwezo wa jeshi la kawaida.
NBC Premier League inarejea leo Ijumaa kwa michezo miwili
NBC Premier League inarejea leo Ijumaa kwa michezo miwili Saa 8:00 mchana, Pamba Jiji watakuwa dimba la CCM Kirumba wakiwakaribisha Mashujaa FC. Saa 10:15 jioni, Fountain Gate watakuwa uwanja wa…
#HABARI: Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imejipanga kuimarisha ufuatiliaji na kuwajengea uwezo wataalam wa af…
#HABARI: Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imejipanga kuimarisha ufuatiliaji na kuwajengea uwezo wataalam wa afya nchini ili kuboresha utambuzi wa haraka wa ugonjwa wa Kipindupindu, hatua…
Tetesi za soka Ulaya Ijumaa: Man United wanataka £40m kumruhusu Bruno Fernandes kuondoka
Nahodha wa Manchester United Bruno Fernandes anavutiwa na Bayern Munich, Liverpool wanawalenga Nico Williams na Nico Schlotterbeck, huku Barcelona wakipania kumnunua Dusan Vlahovic.
NBC Premier League inarejea leo Ijumaa hii kwa michezo miwili
NBC Premier League inarejea leo Ijumaa hii kwa michezo miwili Saa 8:00 mchana, Pamba Jiji watakuwa dimba la CCM Kirumba wakiwakaribisha Mashujaa FC. Saa 10:15 jioni, Fountain Gate watakuwa uwanja…