Kardashian atamani kulea watoto na Kanye West
Mrembo na mfanyabiashara maarufu, Kim Kardashian, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu hali ya...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 17, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 17, 2025
Mshahara kima cha chini sekta binafsi waongezwa, waajiri watakaokaidi kukiona
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imetangaza kima cha...
Zanzibar International Marathon ni Novemba 23
MASHINDANO ya kukimbia yaliyopewa jina la Yas Zanzibar International Marathon yamepangwa kufanyika Novemba 23 Novemba 2025 yakiwa na kauli mbiu ya “Kila Hatua ni Special.”
Kanali Michael Randrianirina aapishwa kama Rais mpya wa Madagascar
Kanali Michael Randrianirina ametawazwa kuwa Rais wa mpya wa Jamhuri ya Madagascar leo Ijumaa, Oktoba 17, 2025, huko Antananarivo. Tukio hili linakuja siku tatu baada ya Bunge la taifa kumuondoa…
LALIGA inarejea wikiendi hii kwa michezo hii
LALIGA inarejea wikiendi hii kwa michezo hii. Barcelona kuwakaribisha Girona, huku wabishi Atletico Madrid kuwa wenyeji wa Osasuna, wakati Los Blancos watakuwa ugenini kuwakabili Getafe. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000…
Yakoub abeba mikoba ya Camara Eswatini
Simba haitakuwa na kipa wake chaguo la kwanza, Mousa Camara katika mechi yake ya kwanza ya...
#HABARI: Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt
#HABARI: Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, pamoja na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, leo wameungana na viongozi mbalimbali duniani kutoa heshima zao za mwisho kwa Hayati Raila…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 17, 2025
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 17, 2025
Afisa mwandamizi wa usalama wa Iran akutana na Putin, ampa ujumbe wa Kiongozi Muadhamu
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran, Ali Larijani amekutana na Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Moscow, na kumkabidhi ujumbe wa moja kwa moja kutoka kwa…