Kwanini Mkenya aliyesaidia vibonde kuiduwaza Man United aiponza timu yake ya Grimsby
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Clarke Oduor ndiye mchezaji pekee wa Grimsby kukosa penalti katika ushindi wao wa mikwaju 12-11 dhidi ya Manchester United Maelezo kuhusu taarifa…
Rwanda kuzindua teksi za hewani zinazojiendesha zenyewe
“Rwanda inajenga mustakabali ambapo miji yetu ambayo imeunganishwa zaidi na uchumi wetu unaimarika zaidi kupitia ubunifu wa usafiri,” Waziri wa Miundombinu, Jimmy Gasore, alinukuliwa akisema katika taarifa hiyo. Mpango huu…
Serikali ya Israel inatathmini mpango mpya wa kunyakua maeneo kadhaa ya Ukingo wa Magharibi
Wakati nchi nyingi zikijiandaa kulitambua Taifa la Palestina katika Mkutano Mkuu ujao wa Umoja wa Mataifa, Israel inatishia kujibu kwa kunyakua maeneo yanayokaliwa kwa mabavu. Leo Alhamisi, Septemba 4, Waziri…
Tetesi za Soka Alhamisi: Onana ruksa kwenda Uarabuni
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Andre Onana Saa 3 zilizopita Manchester United wako tayari kumwachia kipa wa Cameroon Andre Onana, mwenye umri wa miaka 29, ajiunge na…
Gavana wa Benki Kuu ya Ethiopia aacha kazi
Gavana wa Benki Kuu ya Ethiopia Mamo Mihretu alisema Jumatano kuwa anaacha kazi, baada ya kuiongoza Benki hiyo kupitia mageuzi ya kina ya uchumi ikiwa ni pamoja na mzunguko wa…
Georgia: Bunge lafungua njia ya kupiga marufuku vyama vyote vya upinzani
Upinzani wote wa kisiasa sasa ni kinyume cha sheria nchini Georgia: siku ya Jumatano, Septemba 3, Bunge la Georgia limepitisha ripoti ya kupiga marufuku vyama vya upinzani. Wakati maandamano dhidi…
Spence: Muislamu wa kwanza kuichezea England baada ya zaidi ya miongo 15
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Djed Spence began his career at Middlesbrough before joining Tottenham in 2022 Maelezo kuhusu taarifa Author, Tom Mallows Nafasi, BBC Sport journalist…
Kenya: Wasiwasi watanda kuhusu hatima ya Msitu wa Karura kufuatia uamuzi wa mamlaka
Ukiwa na zaidi ya hekta 1,000, Msitu wa Karura ni msitu wa pili kwa ukubwa wa mijini ulimwenguni. Tangu mwaka wa 2009, kutokana na kujitolea kwa mshindi wa Tuzo ya…
DRC: Kuachiliwa kwa wafungwa, kikwazo kikubwa katika mazungumzo ya amani ya Doha
Wajumbe wa Kongo na AFC/M23 wamekuwa mjini Doha kwa karibu wiki tatu sasa kuendeleza mchakato wa amani. Lakini maendeleo bado ni madogo. Kwa mujibu wa taarifa zetu, hakuna mijadala ya…
Malawi: Kampeni za uchaguzi wa urais zinaendelea katikati ya mgogoro mkali wa kiuchumi
Huku zikiwa zimesalia chini ya wiki mbili kabla ya uchaguzi wa urais nchini Malawi, kampeni zinaendelea kwa utulivu, lakini katikati ya mgogoro wa kiuchumi. Rais wa sasa Lazarus Chakwera anawania…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Nigeria: China yapata mafanikio ya kimkakati katika sekta ya Saruji
Katika ulimwengu wa biashara, kampuni ya saruji ya China ya Huaxin imepata mafanikio ya kimkakati nchini Nigeria. Imenunua mitambo kadhaa ya saruji kutoka kwa kampuni ya Uswisi kwa dola bilioni…
Maonyesho makubwa ya silaha ya China yanasema nini kuhusu uwezo wake wa kijeshi?
Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo kuhusu taarifa Author, Tessa Wong Nafasi, BBC Reporter Akiripoti kutoka China 4 Septemba 2025, 07:46 EAT Imeboreshwa Dakika 10 zilizopita China imezindua idadi kubwa…
Guinea-Sierra Leone: Ujumbe wa ECOWAS kutathmini mzozo wa mpaka kati ya nchi hizo mbili
ECOWAS, Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi, inathibitisha kuwa imetuma ujumbe wa kiufundi nchini Sierra Leone kutathmini mzozo wa mpaka na Guinea karibu na kijiji cha Yenga. Eneo hili la…
Afrika: Operesheni za kulinda amani zinatishiwa na kupunguzwa kwa bajeti ya Marekani
Kufuatia kushuka kwa kasi kwa misaada ya maendeleo ya Marekani, kupungua kwa misaada kwa shughuli za kulinda amani kunatia wasiwasi Umoja wa Mataifa. Imechapishwa: 04/09/2025 – 06:33 Dakika 1 Wakati…
Qatar kuwekeza dola bilioni 21 katika sekta kadhaa za kiuchumi DRC
Kampuni ya uwekezaji ya Qatar ya Al Mansour Holding inakusudia kuwekeza dola bilioni 21 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambapo Doha ni mpatanishi wa mzozo mashariki mwa nchi hiyo,…
Amka Na BBC
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki Source link
Sekta ya afya Afrika Mashariki yaathirika na kupunguzwa kwa ufadhili
Kupunguzwa kwa misaada katika nchi za Afŕika Mashariki kumesababisha kesi za watoto kuzaliwa na Virusi vya Ukimwi kwasababu akina mama hawakuweza kupata dawa, kuongezeka kwa magonjwa hatarishi. Imechapishwa: 04/09/2025 –…
Emmanuel Macron: Nchi za Ulaya ziko ‘tayari’ ‘kutoa dhamana ya usalama kwa Ukraine’
Ikulu ya Élysée itaandaa mkutano wa “muungano wa walio tayari” kwa ajili ya Ukraine leo Alhamisi, Septemba 4, huku Volodymyr Zelensky akihudhuria. Viongozi kadhaa wa Ulaya wanatarajiwa kusafiri kwenda Paris,…
UAE yaonya Israel kuwa kutwaa Ukingo wa Magharibi ni ‘kuvuka mpaka’
Chanzo cha picha, Reuters Umoja wa Falme za Kiarabu umeionya Israel kwamba kutwaa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu ” kutavuka mpaka” na kudhoofisha ari ya Mkataba wa Abraham ambao…
Idadi ya wakimbizi wanaokimbilia Mali kutoka Burkina Faso yaongezeka
Shirika la umoja wa Mataifa linalohudumia wakimbizi, linasema wimbi la wakimbizi wanaokimbia kutoka Burkina Faso na kuingia Mali, linaongeza hali ya dharura ya kibinadamu, UNHCR sasa ikitaka misaada zaidi kutolewa…
UAE yaonya juu ya hatua ya Israel kuteka Ukingo wa Magharibi
Umoja wa Falme za Kiarabu umeonya kwamba hatua yoyote ya Israel ya kuunyakuwa Ukingo wa Magharibi itakuwa sawa na kuuvuka “mstari mwekundu,” pasipo kufafanua zaidi athari zake na hasa kwa…
UAE yaonya dhidi Israel kutaka kuuteka Ukingo wa Magharibi
Umoja wa Falme za Kiarabu umeonya kwamba hatua yoyote ya Israel ya kuunyakuwa Ukingo wa Magharibi itakuwa sawa na kuuvuka “mstari mwekundu,” pasipo kufafanua zaidi athari zake na hasa kwa…
Kikao cha kufuatilia utekelezwaji wa makubaliano kati ya DRC na Rwanda chafanyika
Nchi za Qatar, Marekani na wawakilishi kutoka Umoja wa Afrika walikutana Jumatano hii kwa kikao cha pamoja kufuatilia utekelezwaji wa makubaliano ya amani kati ya DRC na Rwanda. Imechapishwa: 04/09/2025…
Hamas yasema iko tayari kwa makubaliano ya amani
Taarifa yake hiyo ya jana jioni inasema kundi hilo bado linasubiri majibu kutoka kwa Israel kuhusu pendekezo la hivi karibuni la wapatanishi wa kimataifa kuhusu kusitisha mapigano.Kwa mujibu wa Waziri…
04.09.2025
SK2 / S02S04.09.20254 Septemba 2025 Viongozi wa mataifa ya Magharibi ambayo ni washirika wa Ukraine katika mzozo wake na Urusi, wanakutana leo Alhamisi mjini Paris+++Serikali ya Kenya imechukua uamuzi wa…
04.09.2025 Matangazo ya Asubuhi
DIRA.BZ04.09.20254 Septemba 2025 Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Kundi la Hamas Hamas, limesema liko “tayari kwa makubaliano ya kina” na Israel kuhusu kusitisha vita vya Gaza / Tume ya Uchaguzi…
Kiev yakataa wazo la Putin, Zelensky kwenda Moscow
Putin amesema kuwa alikuwa amejadili suala hilo na Rais wa Marekani, Donald Trump. Akizungumza na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza tangu afanye mkutano wake wa kilele na Trump…
Trump; Marekani huenda ikafuta makubaliano na Ulaya
Akizungumza na waandishi wa habari mwanzoni mwa mkutano na Rais wa Poland, Karol Nawrocki, alisema kuwa serikali yake inaomba Mahakama ya Juu ibatilishe uamuzi wa mahakama ya rufaa ya Marekani…
IAEA: Iran iliongeza akiba yake ya urani kwa kuunda bomu
Hatua ambayo ilikaribia kiwango cha kutengeneza silaha kabla ya Israel kuanzisha shambulio lake la kijeshi mnamo Juni 13. Ripoti ya Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki lenye makao yake…
Mashirika yataka misaada zaidi ya kiutu kwa Afghanistan
Mashirika ya misaada yataka jamii ya kimataifa kuongeza ufadhili kwa Afghanistan baada ya tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa kipimo cha richter 6.0 kuua angalau watu 1,400 na kuwajeruhi…
China yaandaa onesho kubwa la gwaride la kijeshi jijini Beijing
China imekuwa na onesho kubwa la gwaride la kijeshi jijini Beijing, kuadhimisha miaka 80 baada ya kumalizika kwa vita vya pili vya dunia.
Kongamano la kujadili hali ya usalama mashariki ya DRC laanza Johannesburg
Kongamano la siku tatu, kujadili hali ya amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo, linaloandaliwa na wakfu wa rais wa zamani wa Afrika Kusini Thambo Mbeki, limeanza jijini Johannesburg bila…
Masomo ya watoto Miloni sita kuathirika na kukatwa kwa ufadhili
Watoto milioni sita wapo kwenye hatari ya kutoenda shuleni mwaka ujao, kufuatia kukatwa kwa fedha za msaada kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa UNICEF. Imechapishwa: 03/09/2025 – 18:23…
Africa : Vyakula asili ndio tiba kwa magonjwa siokuwa na tiba
Dakar Senegal – Wataalamu wa afya wameonya kuhusu magonjwa yasiokuwa na tiba kuendelea kusababisha maafa, iwapo raia hapa Africa hawatabadilisha mitindo wa maisha. Prof Mary Abukutsa, mtafiti wa vyakula asili…
Putin: Niko tayari kukutana na Zelensky mjini Moscow
Pia Putin ameapa kuendelea kupigana na Ukraine kama makubaliano ya amani hayatofikiwa. Ameyasema hayo Jumatano 03.09.2025 mwishoni mwa ziara yake nchini China wakati Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyakisema ana matumaini…
Vita Ukanda wa Gaza vimesababisha ulemavu kwa watoto 21,000
Hayo ni kwa mujibu wa Kamati ya haki za watu wenye ulemavu ya Umoja wa Mataifa. Kamati hiyo imesema watoto wasiopungua 40,500 wamepata majeraha yanayotokana na vita na nusu ya…
Miili 100 yapatikana eneo la maporomoko ya ardhi Sudan
Msemaji wa waasi wanaoliongoza eneo hilo Mohamed Abdelrahman al-Nair amesema juhudi za kuwatafuta manusura bado zinaendelea licha ya uhaba wa rasilimali. Picha za video zilizotolewa Jumatano zimewaonesha waokoaji wa kujitolea…
Waziri wa zamani wa Kongo ahukumiwa miaka 3 ya kazi ngumu
Mutamba alikuwa akikabiliwa na mashtaka ya ubadhirifu wa fedha za umma zikiwemo za fidia kwa waathiriwa wa vita. Hukumu hiyo imetolewa baada ya Waziri huyo wa sheria wa zamani kukutwa…
Baada ya gwaride la China, Taiwan yasisitiza amani
Ching te ameyasema hayo muda mfupi baada ya China kufanya gwaride kubwa la maadhimisho ya miaka 80 tangu Japan iliposalimu amri mwishoni mwa vita vya pili vya dunia. Kwa upande…
Serikali Ujerumani yaunga mkono kushushwa bei ya umeme
Waziri wa Uchumi Katherina Reiche amesema uamuzi huo wa baraza la mawaziri – ambao bado unahitaji idhini ya bunge – ni habari njema kwa watumiaji umeme Ujerumani. “Tunaurahisisha mzigo wa…
11 wafungwa Georgia kwa kuandamana
Haya ni kwa mujibu wa shirika moja la habari nchini humo. Shirika la habari la Interpress nchini humo limeripoti kuwa mahakama moja mjini Tbilisi imewakuta na hatia waandamanaji 11 akiwemo…
Urusi yakosoa kauli ya Merz iliyomtaja Putin kuwa mhalifu
Ikulu ya Urusi Kremlin imesema hivi leo kuwa mapendekezo yote ya Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz kuhusu mchakato wa amani katika mzozo wa Ukraine , yanapaswa kupuuzwa baada ya Moscow…
Africa inaweza kilisha yenyewe sio kwa msaada
Dakar Senegal – Mkutano wa Mifumo ya Chakula Afrika unafanyika Dakar, Senegal, ukitoa wito wa hatua za haraka kuhakikisha bara linaweza kujilisha lenyewe. Imechapishwa: 03/09/2025 – 15:00Imehaririwa: 03/09/2025 – 17:23…
Urusi, Ukraine zaendelea kushambuliana
Jeshi la anga la Ukraine limesema limezidungua droni 430 kati ya 502 na makombora 21 kati ya 24 yaliyotua kwenye maeneo kadhaa. Limeongeza kuwa makombora matatu na droni 69 zilitua…
Sudan yaomba kusaidiwa kukabiliana na athari za maporomoko
Kiongozi wa kundi la waasi wa Jeshi la Ukombozi la Sudan Abdel-Wahid Nour vinavyolidhibiti eneo hilo, amesema ukubwa wa janga hilo hauelezeki na ameutaka Umoja wa Mataifa na mashirika mengine…
Matumaini ya kuwapata manusura Afghanistan yafifia
Shirika la Kimataifa la Save the Children limesema moja ya timu zake za uokoaji imelazimika kutembea umbali wa kilometa 20 kuvifikia vijiji vilivyopoteza mawasiliano kutokana na miamba iliyoanguka, wakiwa wamebeba…
Wafanyakazi 19 wa UN wanashikiliwa na waasi wa Kihouthi
Kulingana na msemaji wa Umoja wa Mataifa Stephen Dujarric wafanyakazi 18 kati ya hao ni wa Yemen na mmoja ni wa Kimataifa. Dujarric amewasilisha wito wa Umoja wa Mataifa unawotaka…
Jeshi la Israel laingia ndani zaidi ya Gaza, watu 24 wauawa
Katika wiki za karibuni vikosi vya jeshi la Israel vimeingia katika viunga vya nje ya Gaza City na hivi sasa viko umbali wa kilomita chache tu kutoka katikati mwa mji…
Gwaride kubwa la kijeshi lafanyika China
Kando ya Xi, maadhimisho hayo yameshuhudiwa pia na Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa Korea Kaskazini Kim Jong Un. Katika sehemu ya hotuba yake mbele ya gwaride hilo…