Magazeti ya Kenya, Mei 10: Wagombea wa UDA Ol Kalou wawazia kwingine baada ya kukataa matokeo
Mvutano wa kisiasa unaongezeka Ol Kalou huku wagombea wa UDA Wambugu na Njuguna wakipinga matokeo ya uteuzi wakidai ukiukwaji wa sheria na madai ya rushwa.
Tanzania yapiga hatua huduma za afya Afrika Mashariki
ARUSHA: Tanzania imeendelea kupiga hatua katika sekta ya afya ndani ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kutokana na utoaji wa huduma bora za afya katika hospitali mbalimbali nchini.…
Kapinga awapa kipaumbele wazawa ajira viwandani
PWANI: Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amewashauri wamiliki wa viwanda vipya kutoa kipaumbele kwa wazawa kuhusu ajira ili kukuza uchumi na mapato ya taifa kwa ujumla. Akizungumza Mei…
Kwanini Kylian Mbappé anachukiwa Real Madrid?
Ubora wake si wakuhojiwa, Mbappe ni mmoja ya wachezaji bora wa kizazi cha sasa, lakini hatma yake iko kwenye mizani. Mashabiki wanapiga kura kutaka aondoke Real Madrid
Julius Ndumia: Washukiwa 2 wanaohusishwa na mauaji ya mchungaji wa PCEA wakamatwa
Maafisa wa DCI wamewakamata washukiwa wawili wanaohusishwa na mauaji ya mchungaji wa PCEA Tabuga Julius Ndumia. Wawili hao walikutwa na baadhi ya vitu vya marehemu
MAHUBIRI: Nguvu iliyopo kwenye sala ya Bwana kwa Mkristo
Ninapenda kukutia moyo licha ya changamoto zote za kidunia tunazopitia bado ukiwa ndani ya Neno...
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 10, 2026
Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa... The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo…
Makonda: Serikali inangalia uwezekano wa kumpatia uraia Chama
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema kuwa wizara yake imeanza mchakato wa kuangalia utaratibu wa kumpatia uraia nyota wa Simba SC, Clatous Chama, kufuatia bao lake…
Katika kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
Katika kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuhamasisha matumizi ya nishati safi nchini, maafisa usafirishaji maarufu bodaboda wa Wilaya ya…
Kamati yaeleza umuhimu wa sekta binafsi uwekezaji nchini
DAR ES SALAAM: KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema Serikali inatambua mchango wa sekta binafsi nchini na ndio maana imeendelea kuweka mazingira wezeshi ya kuwezesha kuwa…
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe
Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali (Mstaafu), Jacob Kingu amelipongeza Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa utekelezaji wa mradi wa nishati safi ya kupikia katika…
#HABARI: Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Rose Ambrose, amemtaka mkandarasi wa Mradi wa Maji wa Miji 28 Mafinga kuongeza kasi y…
#HABARI: Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Rose Ambrose, amemtaka mkandarasi wa Mradi wa Maji wa Miji 28 Mafinga kuongeza kasi ya utekelezaji wa mradi huo ili wananchi wa Mafinga…
#HABARI: Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara, imesema inaandaa mkakati maalum utakaomsaidia mfanyabiashara wa Tanzani…
#HABARI: Serikali kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara, imesema inaandaa mkakati maalum utakaomsaidia mfanyabiashara wa Tanzania anayeuza Biashara yake nje ya nchi kufanya biashara bila vikwazo vyovyote vya kibiashara, huku…
Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka jeshi la magereza nchini kufanya utafiti kwa lengo la kuanzisha mfuko maalumu wa kuwasaidia w…
Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka jeshi la magereza nchini kufanya utafiti kwa lengo la kuanzisha mfuko maalumu wa kuwasaidia wafungwa wanaomaliza adhabu zao kupata mitaji ya maisha pindi wanapotoka gerezani.…
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kiko tayari kuendelea na mazungumzo na chama cha ACT – Wazalendo kuhusu uundwaji wa Serikali …
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kiko tayari kuendelea na mazungumzo na chama cha ACT - Wazalendo kuhusu uundwaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani Zanzibar huku Makamu Mwenyekiti wa…
Elimu ni ufunguo wa Maisha ndivyo wasemavyo Waswahili lakini elimu pia ina maana ya kutafsiri maarifa uliyonayo ili kujikomboa
Elimu ni ufunguo wa Maisha ndivyo wasemavyo Waswahili lakini elimu pia ina maana ya kutafsiri maarifa uliyonayo ili kujikomboa. Kutana na Augustine Kashamba mwenye taaluma ya uuguzi na ukunga aliyeamua…
Mwijage atoa neno KMC
WINGA wa KMC, Erick Mwijage amesema wameumizwa na uamuzi wa mwamuzi kushindwa kuipa timu hiyo penalti ya wazi kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga walipopoteza kwa…
#HABARI: Zaidi ya wananchi 683,767 katika Mkoa wa Dodoma wamefikiwa na kunufaika na huduma za msaada wa kisheria kupitia Kampeni…
#HABARI: Zaidi ya wananchi 683,767 katika Mkoa wa Dodoma wamefikiwa na kunufaika na huduma za msaada wa kisheria kupitia Kampeni ya Kitaifa ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign),…
Okello aing’arisha Yanga, Moalin akianza na kismati
MABAO mawili ya dakika ya 18 na 63 ya kiungo nyota wa Yanga, Allan Okello, sambamba na lile la dakika ya 75 kutoka kwa Maxi Nzengeli, yametosha kuipa timu hiyo…
Kwa nini Wanawake Wenye makalio makubwa huthaminiwa sana katika jamii ya watu weusi?
Je, kalio kubwa ndicho kiwango cha urembo katika jamii za watu weusi? Sio kabisa. Mtazamo huundwa na utamaduni, historia, na ushawishi wa kisasa.
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga ameagiza kuanzishwa kwa dawati maalum la kuwahudumia wauzaji bidhaa nje ya nchi am…
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga ameagiza kuanzishwa kwa dawati maalum la kuwahudumia wauzaji bidhaa nje ya nchi ambao wanalenga soko la China likiwa na wataalamu wenye uwezo wa…
Vita mbili msako wa pointi Simba
NI siku nyingine tena ya Simba kuikimbia zaidi Azam na kuendelea kuifukuzia Yanga katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara.
Tanzanite Queens mzigoni leo dhidi ya Camroon
HAKUNA namna, ndivyo unavyoweza kusema kwa Timu ya Taifa ya Wasichana U-20, Tanzanite Queens, inayohitaji ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Cameroon ili kufuzu kucheza Kombe la Dunia nchini Poland,…
TRA United ilivyovunja rekodi nne za Azam FC
KICHAPO cha mabao 4-1, ilichokipata Azam FC, dhidi ya TRA United katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa Mei 8, 2026 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha kimekifanya kikosi…
Aden Duale asema Kenya imepata baraka kwa sababu ya Ruto, asema Uhuru ana kijicho: “Wivu unamsumbua”
Aden Duale adai rais wa zamani Uhuru Kenyatta ana wivu na mafanikio ya Rais Ruto, akiunganisha uongozi wake na neema ya Mungu na mvua iliyoongezeka nchini Kenya.
Kamati ya Bunge yawa mbogo mabasi ya mwendokasi kutotumika
Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)...
Ukaguzi wa serikali kitaifa wagundua zaidi ya wanafunzi hewa 850,000 kote nchini
Serikali yagundua zaidi ya wanafunzi hewa 800,000 katika shule za humu nchini. Katibu Julius Bitok afichua mfumo mpya wa kidijitali kuwezesha uwajibikaji na ufanisi.
Singida BS yakoleza vita ‘top four’ ikiinyuka Mtibwa
USHINDI mnono wa mabao 4-0 walioupata Singida Black Stars dhidi ya Mtibwa Sugar, umeongeza presha kwenye vita ya nne bora ya Ligi Kuu Bara huku timu hiyo ikiendelea kujiweka pazuri…
Mjane wa Johana Ngeno awaomba wapiga kura kumkataa mgombea wa Gachagua uchaguzi mdogo wa Mei 14
Naiyanoi Ntutu amewasihi wapiga kura wa Emurua Dikirr kuunga mkono UDA katika uchaguzi mdogo wa Mei 14, akishutumu kutojali kwa Gachagua mumewe alipofariki.
Rais Samia agusia mapendekezo ripoti ya Tume ya Haki Jinai
Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Magereza kuzingatia utekelezaji wa mapendekezo ya...
Wakulima Momba waridhia kuuza ufuta kwa wastani wa Sh2,714.90
Bei iliyopatikana pia imepokewa vyema na wakulima, bei ya juu ikiwa Sh2,740 na ya chini Sh2,655...
Serikali yataja sababu za kushuka kwa uzalishaji wa zao la pareto Mbeya
Imeelezwa hali hiyo imesababisha kupungua kwa ubora kutoka wastani wa asilimia 2.3 hadi moja...
Dr Samia reminds prison authorities to uphold the dignity, rights and welfare of female inmates
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has directed prison authorities to uphold the dignity, rights and welfare of female inmates, stressing that women prisoners have unique needs that must…
Tanzania moves to establish a startup capital for inmates upon completing their jail terms
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government plans to establish a special fund within the Prisons Service to provide startup capital for inmates completing jail terms with vocational skills. President Samia…
Dr Samia orders authorities to establish a strong tracking system for inmates after their jail terms
DAR ES SALAAM: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has directed authorities to establish a strong tracking system for former inmates after completing their jail terms with the aim of reducing repeat…
Sugu kutikisa jimboni kwa Dk Tulia, ataja mambo manne
Amesema katika mkutano huo, viongozi mbalimbali wa Kanda na Mkoa wa Mbeya kwa ujumla watakuwapo...
DC awapa jukumu wananchi kudumisha Amani, mshikamano wa kitaifa
Dodoma. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Alhaj Jabir Shekimweri amewataka wananchi wa Kata ya Mnadani...
Mfungwa aomba Rais Samia awaonee huruma magerezani
Baadhi ya wafungwa wenye ujuzi mbalimbali wanaokaribia kumaliza vifungo vyao wamemuomba Rais...
Chelsea yajitutumua ugenini ikiilazimisha sare Liverpool
Sare hiyo imezidi kuiweka Chelsea katika uwezekano mgumu wa kupata tiketi ya kushiriki ama...
Kurudi Nyumbani Wakati wa Vita vya Siku 40 Wairan Waliokuwa Wameihajiri Nchi Kunafikisha Ujumbe Gani?
Takwimu zilizorekodiwa katika mipaka ya Iran zinaonyesha kuwa wakati wa vita vya siku 40 vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Wairani 630,000…
Serikali kujenga laini ya umeme Kagera kuingia Gridi ya Taifa
Ndejembi amesema Serikali itaendelea kuwekeza katika miradi ya kimkakati ya nishati ili...