Malaysia yataka utawala wa kizayuni wa Israel utimuliwe uanachama Umoja wa Mataifa
Malaysia imetoa mwito wa kusimamishwa uanachama wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Umoja wa Mataifa kutokana na jinai zake katika Ukanda wa Gaza. BONYEZA HAPA USOME HABARI KAMILI
Hamas: Wito wa Smotrich wa kuwaua watu wa Gaza kwa njaa na kiu ni kukiri mauaji ya kimbari
Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema kuwa, wito uliotolewa na Waziri wa Fedha wa Israel mwenye itikadi kali, Bezalel Smotrich, wa kukata maji, umeme na usambazaji wa…
Mapigano ya ndani Sudan Kusini yaibua hofu kuhusu makubaliano tete ya amani
Mapigano ya siku mbili kati ya vikosi vya jeshi la serikali na wapiganaji waasi nchini Sudan Kusini yamezua hofu kuhusu makubaliano tete ya amani ya nchi hiyo. BONYEZA HAPA USOME…
đź”´MAGAZETI: CHADEMA YAMBWAGA MSAJILI MAHAKAMANI / YANGA: WALETENI TU, TUPO TAYARI…..AGOSTI 30, 2025
đź”´MAGAZETI: CHADEMA YAMBWAGA MSAJILI MAHAKAMANI / YANGA: WALETENI TU, TUPO TAYARI…..AGOSTI 30, 2025
#KIPIMAJOTO: Ahadi za wagombea Kipindi cha Kampeni
#KIPIMAJOTO: Ahadi za wagombea Kipindi cha Kampeni. Je, zinaakisi hali halisi ya maisha ya watu katika maeneo husika?
đź”´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 30, 2025
đź”´TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI – AGOSTI 30, 2025
Matangazo ya Jioni 30.08.2025
DW Kiswahili30.08.202530 Agosti 2025 Ulaya yatoa wito kwa Marekani kufikiria uamuzi wake wa kuwanyima viza wapalestina kuhudhuria mkutano wa UN++++Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limelitaka…
Matangazo ya Mchana 30.08.2025
DW Kiswahili30.08.202530 Agosti 2025 Ujerumani haiko tayari kuidhinisha vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Israel kufuatia vita vya Gaza++++Ufaransa yasema Marekani haitakiwi kuwanyima wajumbe wa Palestina nafasi ya kuhudhuria…
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Mbulu Vijijini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Bw
#HABARI: Mgombea Ubunge Jimbo la Mbulu Vijijini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Bw. Flatei Gregory, amewekewa pingamizi baada ya Tume Huru ya Uchaguzi, kumteua kuwa mgombea rasmi wa chama hicho…
#MICHEZO: Wakati mchezo wa fainali ya michuano ya CHAN, ukitarajiwa kupigwa hapo kesho katika dimba la Moi Kasarani, leo Mabaloz…
#MICHEZO: Wakati mchezo wa fainali ya michuano ya CHAN, ukitarajiwa kupigwa hapo kesho katika dimba la Moi Kasarani, leo Mabalozi wa CHAN Mrisho Ngasa, Victor Wanyama na Denis Onyango, wamekutana…
#HABARI: Chama cha ACT Wazalendo Jimbo la Mbulu Vijijini, Mkoani Manyara, kimelaani kikundi cha vijana kinachotumika vibaya kis…
#HABARI: Chama cha ACT Wazalendo Jimbo la Mbulu Vijijini, Mkoani Manyara, kimelaani kikundi cha vijana kinachotumika vibaya kisiasa kupinga uteuzi wa Mgombea Ubunge wa jimbo la Mbulu Vijijini, kwa tiketi…
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 29, AGOSTI 2025
đź”´JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 29, AGOSTI 2025
“Tanzania leo ni moja ya nchi ambazo zinapata utalii wa afya…zamani sisi tunakumbuka nadhani miaka kama 10 tu iliyopita, viong…
“Tanzania leo ni moja ya nchi ambazo zinapata utalii wa afya…zamani sisi tunakumbuka nadhani miaka kama 10 tu iliyopita, viongozi wakiugua wao ndio utawasikia wamekwenda India, Watanzania tutabaki hukuhuku…sasa hivi…
Rais Pezeshkian aipongeza timu ya astronomia ya Iran kwa kushinda ubingwa wa dunia
Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza Timu ya Olimpiadi ya Astronomia ya Iran kwa kushinda taji la ubingwa wa dunia kwa mwaka wa pili mfululizo. BONYEZA…
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt
#HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa katika sekta za afya…
Russia yatungua droni ya Ukraine iliyokusudia kushambulia kinu cha nyuklia cha Kursk
Vikosi vya ulinzi wa anga vya Russia vimeitungua ndege isiyo na rubani ya Ukraine (Droni) iliyokuwa imekusudia kutekeleza shambulizi katika kiwanda cha nguvu za nyuklia cha Kursk cha Russia (KNPP).…
đź”´KIPIMAJOTO:UCHAGUZI MKUU 2025
đź”´KIPIMAJOTO:UCHAGUZI MKUU 2025. JE, NINI VIPAUMBELE VYA WANANCHI?
Serikali ya Eswatini inakabiliwa na kesi mahakamani kuhusu watu waliofukuzwa Marekani
Kundi la mawakili watetezi wa haki za binadamu na taasisi zisizo na kiserikali (NGOs) linaishtaki serikali ya Eswatini kwa kukubali kuwapa hifadhi watu watano waliofukuzwa nchini Marekani. BONYEZA HAPA USOME…
IRGC: Uhusiano wa kina kati ya serikali, wananchi na vikosi vya ulinzi ni dhamana ya Iran yenye nguvu
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limeashiria umuhimu wa uhusiano wa kina uliopo kati ya serikali, taifa na vikosi vya ulinzi likiutaja kuwa muhimu kwa ajili…
đź”´TAARIFA YA HABARI AGOSTI 29, 2025 -MGOMBEA URAIS WA CCM AOMBA KURA MOROGORO
đź”´TAARIFA YA HABARI AGOSTI 29, 2025 -MGOMBEA URAIS WA CCM AOMBA KURA MOROGORO
#KIPIMAJOTO:UCHAGUZI MKUU 2025
#KIPIMAJOTO:UCHAGUZI MKUU 2025. JE, NINI VIPAUMBELE VYA WANANCHI?
#HABARI: Mvuvi anayefanya shuguli za uvuvi katika Ziwa Singidani Manispaa ya Singida, ayetambulika kwa jina la Ally Mussa anayek…
#HABARI: Mvuvi anayefanya shuguli za uvuvi katika Ziwa Singidani Manispaa ya Singida, ayetambulika kwa jina la Ally Mussa anayekadiriwa kuwa na miaka 25, anadaiwa kufa maji katika ziwa hilo, kufuatia…
Kwa nini zaidi ya wanadiplomasia 200 wa Ulaya wanaukosoa Umoja wa Ulaya kwa kutochukua hatua kuhusu vita vya Gaza?
Idadi kubwa ya wanadiplomasia wakuu wa zamani wa Ulaya wametaka Umoja wa Ulaya au nchi wanachama wachukue hatua za haraka kuhusiana na vita vya utawala wa Kizayuni huko Gaza na…
#HABARI: Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt
#HABARI: Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. John Jingu, amewataka wadau wanaoendesha Vituo vya kulelea watoto wadogo mchana, Makao ya Watoto na Nyumba…
Miili ya mateka wawili iliyokuwa Gaza yarudishwa Israel
Kulingana na ofisi ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu mwili wa mwanamume huyo umetambuliwa kuwa ni wa Ilan Weiss wa Be’eri. Mwili wa mateka mwingine haujatambuliwa. Mateka 50 kati ya 250…
Ufaransa, Ujerumani kuipa msaada wa ulinzi wa anga Ukraine
Katika taarifa ya pamoja nchi hizo zimesema licha ya juhudi kubwa za kidiplomasia, Urusi haijaonesha nia ya kuvimaliza vita dhidi ya Ukraine. Ahadi ya nchi hizo mbili kwa umoja wa…
Uturuki yafunga bandari na anga zake kwa meli na ndege za Israel
Uturuki, ambayo ilisitisha uhusiano wa kibiashara na Israel tangu mwaka jana, imetangaza siku ya Ijumaa, Agosti 29, kwamba imefunga bandari na anga yake kwa ndege na meli za jeshi la…
UN: Iran imetekeleza adhabu ya kifo kwa watu 841 mwaka 2025
Msemaji wa Umoja wa Mataifa Ravina Shamdasani amewaambia waandishi wa habari mjini Geneva kuwa hali halisi huenda ni mbaya zaidi kutokana na serikali ya Tehran kukosa uwazi. Ameionya Iran kuacha…
Mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Iran yamesababisha Israel hasara ya mabilioni
Maafisa wa utawala wa Israel wamethibitisha kuwa mashambulizi ya kisasi ya Iran dhidi ya taasisi za Israel wakati wa vita vya siku 12 yamesababisha hasara ya mabilioni ya shekel kwa…
Watu waliokufa kwa ajali ya boti Mauritania wafikia 69
Takwimu hizo zimetolewa leo na Afisa mwandamizi wa walinzi wa Pwani ya nchi hiyo hilo likiwa ni ongezeko la watu 20 kutoka 49 waliotangazwa awali kuwa miili yao iliopolewa. Idadi…
Takriban watu 250,000 kote duniani hawajulikani waliko
Shirika hilo limesema idadi hiyo ni ongezeko la karibu asilimia 70 katika kipindi cha miaka mitano. Kutoka Sudan hadi Ukraine, Syria hadi Colombia, vitendo hivyo vinazidi kuongezeka. Mkurugenzi mkuu wa…
Urusi yapinga dhamana ya Usalama kwa Ukraine
Mawaziri wa Ulinzi wa Umoja wa Ulaya wamewasili mjini Copenhagen nchini Denmark kuhudhuria mkutano usio rasmi ambako watajadili maswala yanayohusu kuimarisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine, utayari wa ulinzi wa…
Wakimbizi 6,000 wakimbia kambi Kenya kwa uhaba wa misaada
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limeripoti kuwa zaidi ya wakimbizi 6,200 kutoka Sudan Kusini wameondoka katika kambi ya Kakuma na makaazi ya jirani ya Kalobeyei, kaskazini…
Msichana Jasiri: Loistracy Andrew na athari za ukeketaji
29.08.202529 Agosti 2025 Loistracy Andrew ni msichana aliyeamua kutumia sauti yake kuelimisha jamii na hasa zinazofanya ukeketaji na madhara yake. Matumaini yake makubwa ni kuwa sauti na nguzo ya matumaini…
Israel imeanza oparesheni ya kuutwaa mji wa Gaza
Msemaji wa Jeshi la Israel Avichay Adraee kupitia mtandao wa X amethibitisha juu ya oparesheni hiyo yenye lengo la kutimiza malengo ya Waziri mkuu Benjamin Netanyahu ya kuutwaa kikamilifu mji…
Polisi Kenya wagundua miili zaidi ya waliouawa na pote la Kikristo
Uchunguzi nchini Kenya kuhusu vifo vinavyoshukiwa kutekelezwa na wafuasi wa kikundi cha Kikristo chenye misimamo mikali katika kaunti ya Kilifi ulichukua mkondo wa kutisha siku ya Alhamisi, baada ya polisi…
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA SINGIDA: AGOSTI 29, 2025 – MAUZO YA DHAHABU KWA WACHIMBAJI WADOGO YAONGEZEKA
đź”´HAPA NA PALE KUTOKA SINGIDA: AGOSTI 29, 2025 – MAUZO YA DHAHABU KWA WACHIMBAJI WADOGO YAONGEZEKA
Mkutano wa G20 nchini Afrika Kusini kuendelea hata kama Trump hatohudhuria
Afrika Kusini imesisitiza msimamo wake kwamba mkutano ujao wa nchi zilizostawi kiuchumi za G20, utakaofanyika Johannesburg mwezi Novemba, utaendelea kama ulivyopangwa; awepo au asiwepo Rais Donald Trump wa Marekani. BONYEZA…
Gaza ni eneo hatari la mapigano kwa mujibu wa jeshi la Israel
Jeshi la Israel limeutangaza mji wa Gaza kuwa “eneo hatari la mapigano”, saa chache kabla halijaanza kutekeleza operesheni kubwa za kijeshi kuudhibiti mji wa Gaza ambao ndio mkubwa zaidi kwenye…
BRICS kuimarika chini ya utawala wa Trump?
China, ambayo ndiyo uchumi mkubwa zaidi wa BRICS, inakabiliwa na ushuru wa hadi asilimia 145 iwapo haitafikia makubaliano na Washington, huku India na Brazil zikikabiliana na ushuru wa asilimia 50.…
#HABARI: Siku tatu mara baada ya Kituo cha ITV, kuripoti mgogoro wa ardhi eneo la Kwa Kibosha, Kata ya Mapinga, Bagamoyo, mkoani…
#HABARI: Siku tatu mara baada ya Kituo cha ITV, kuripoti mgogoro wa ardhi eneo la Kwa Kibosha, Kata ya Mapinga, Bagamoyo, mkoani Pwani, ‎Uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo,…
#HABARI: Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ,INEC, imemuondoa Peter Yohana Mgombea wa Chama cha NRA katika Nafasi ya Ubunge katika J…
#HABARI: Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi ,INEC, imemuondoa Peter Yohana Mgombea wa Chama cha NRA katika Nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Mbarali, mkoani Mbeya, baada ya kushindwa kurejesha…
Afrika: Mamilioni ya watoto wanaweza kufariki kutokana na utapiamlo
Mamilioni ya watoto katika nchi nne za Afrika wanaweza kufa kwa utapiamlo katika muda wa miezi mitatu ijayo, mahitaji ya dharura ya chakula yakipungua kutokana na kupunguzwa kwa misaada ya…
#HABARI: Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe
#HABARI: Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Mhe. Balozi Meja Jenerali Mstaafu Jacob Kingu, ameeleza kuwa jumla ya vitongoji 1,997 sawa na asilimia 88.4 kati ya vitongoji 2,260 vimeshapatiwa…
#HABARI: Wananchi wa Kijiji cha Galapo, Kata ya Galapo, wilayani Babati, mkoani Manyara, wamelalamikia kutosomewa mapato na matu…
#HABARI: Wananchi wa Kijiji cha Galapo, Kata ya Galapo, wilayani Babati, mkoani Manyara, wamelalamikia kutosomewa mapato na matumizi ya kijiji hicho kwa miaka 5, huku wakidai kuendelea kushinikizwa kuchangia miradi…
Asilimia 70 ya watu duniani wamesajiliwa kama waliopotea: Ripoti
Shirika la kimataifa la msalaba mwekundu, limesema kuwa robo milioni ya watu wamesajiliwa kama waliopotea, idadi ambayo ni sawa na asilimia 70 katika kipindi cha miaka mitano, ripoti ya shirika…
Senegal: Masharti mapya ya fidia kwa waathiriwa wa kipindi cha kabla ya uchaguzi wa 2021-2024
Nchini Senegal, mamlaka zinarahisisha hali kwa familia za wale waliouawa wakati wa maandamano ya kabla ya uchaguzi kupokea faranga za CFA milioni 10 zilizoahidiwa na mamlaka mpya. Kulingana na serikali…
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma kimewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kumsikiliza mgombea urais…
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma kimewataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kumsikiliza mgombea urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan siku ya Jumapili, ambapo…
Viuatilifu vilivyopigwa marufuku Ulaya vyaangamiza nyuki Afrika
Tafiti za hivi karibuni zinaonyesha kuwa mazao ya thamani kama kahawa, alizeti na mengine yako hatarini kufifia kutokana na kupungua kwa idadi ya nyuki, waliokumbwa na athari za viuatilifu katika…
#HABARI: Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Rais Dkt
#HABARI: Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imejipanga kushughulikia changamoto ya maji katika Mkoa wa…