29.08.202529 Agosti 2025 Loistracy Andrew ni msichana aliyeamua kutumia sauti yake kuelimisha jamii na hasa zinazofanya ukeketaji na madhara yake. Matumaini yake makubwa ni kuwa sauti na nguzo ya matumaini na mabadiliko kwa wasichana. #Kurunzi https://p.dw.com/p/4ziML Post navigation Israel imeanza oparesheni ya kuutwaa mji wa Gaza Wakimbizi 6,000 wakimbia kambi Kenya kwa uhaba wa misaada