🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA, FEBRUARI 20, 2026 – WATAKAOLIMA KWENYE VYANZO VYA MAJI KUTOZWA FAINI
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA, FEBRUARI 20, 2026 - WATAKAOLIMA KWENYE VYANZO VYA MAJI KUTOZWA FAINI
SERIE A leo Ijumaa
SERIE A leo Ijumaa Saa 4:45 usiku, Sassuolo watakuwa nyumbani wakiwakaribisha Verona. Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports3HD Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu. @seriea (Feed generated with…
IAA yawekeza bilioni mbili kwenye teknolojia
CHUO cha Uhasibu Arusha (IAA) kimetenga Shilingi bilioni 2 kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya kiteknolojia na kidijitali, hatua…
Mwanamke Ahangaika Baada ya Mumewe Kumwacha Hospitalini, Kufagia Nyumba na Kuoa Kwingine
Recho Nassary, aliyeachwa na mumewe baada ya kujifungua mtoto wao mwenye ulemavu, anashiriki hadithi yake ya kuhuzunisha ya usaliti na mapambano ya kupata msaada.
IAA yawainua vijana 8,600
ZAIDI ya vijana 8,600 wamefikiwa na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kupitia programu za ujasiriamali na ubunifu, hatua iliyowezesha vijana 1,520 kubuni mawazo ya biashara na kuanzisha zaidi ya biashara…
#HABARI: Jumla ya vitongoji 474 kati ya 1,636 ambavyo havina umeme mkoani Kagera vinatarajiwa kuanza kunufaika na nishati ya REA…
#HABARI: Jumla ya vitongoji 474 kati ya 1,636 ambavyo havina umeme mkoani Kagera vinatarajiwa kuanza kunufaika na nishati ya REA ifikapo Februari 2029, kufuatia kuwasili kwa mkandarasi wa mradi huo.…
Mtandao wa kigaidi wa JNIM waendelea kujiimarisha Sahel
Mtandao wa kigaidi wa JNIM wenye uhusiano na Al Qaeda, umeendelea kupanuka nje ya mipaka ya Sahel hadi katika pwani ya Afrika Magharibi, ingawa unasita kuanzisha makazi ya kudumu, ripoti…
JEMIMA BASHITE: Kutoka kuuza mkaa hadi mwajiri na mmiliki wa saluni
Jemima anasema 2009 akiwa mwanafunzi wa kidato cha nne, alikumbwa na pigo kubwa la kufiwa na...
RDC: FARDC yaituhumu Rwanda na M23 kwa kushambulia ngome zake
Jeshi la Congo, FARDC linawashutumu wanajeshi wa Rwanda wanaoshirikiana na waasi wa AFC/M23 kushambulia maeneo yake kwenye jimbo la Kivu Kaskazini na Kusini, likisema vitendo hivyo vinakiuka mpango wa usitishaji…
Dar yaongoza migogoro ya ardhi, mashauri 90 yasikilizwa Kliniki ya Sheria
Chini ya jua kali katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, makundi ya wananchi...
Mwazye hadi Vatican safari ya Kardinali Pengo
Usiku wa Februari 19, 2026, Tanzania imempoteza mmoja wa viongozi wa dini wakubwa. Mwadhama...
Mechi za wikiendi hii katika Bundesliga
Mechi za wikiendi hii katika Bundesliga Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mechi hizi #Bundesliga #azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
TRA yazionya bandari kavu
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itawachukulia hatua za kisheria wamiliki wa kampuni za bandari kavu zinazochochea ukwepaji wa malipo ya ushuru wa forodha. The post TRA yazionya bandari kavu…
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa World Health Organization (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, anatarajiwa kuzindua jengo la kisasa la…
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa World Health Organization (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, anatarajiwa kuzindua jengo la kisasa la huduma kwa watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti) katika Wilaya ya Kwimba, mkoani…
Familia zasimulia zilivyojitibu kwa mitishamba kutokana na kukosa fedha Lindi
Katika Kijiji cha Mandwanga, kilichopo Kata ya Mandwanga, Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi...
TRA Temeke Branch Manager offers 1m/-reward to the best Form Four students
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) Temeke District Manager, Masau Malima, has fulfilled his promise by awarding 1m/- to every student who achieved first-class results in the 2025…
Tanzania seeks to reform agribusiness by adding value to its agricultural and livestock products
MTWARA: THE Tanzanian government plans to increase the production of agricultural, livestock, and fisheries products by adding value while also involving private sector’s investment. Speaking during the opening of the…
#HABARI: Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini (STPU), kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiser…
#HABARI: Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini (STPU), kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiserikali la ASPA, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu waliokuwa wakitorosha mifugo aina…
IAA invests 2b/- to support the technological delivery system
DODOMA: THE Arusha Institute of Accountancy (IAA) has allocated 2bn/- through the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project to strengthen technological and digital infrastructure, a move aimed at changing…
What Does the Chinese Community Bring to Tanzania Spring Festival Gala Promo Debuts in Tanzania
DAR ES SALAAM: Cooperation between China and Tanzania has always been at the forefront of China-Africa collaboration. In recent years, the two countries have worked together to promote high-quality development…
Continental yakwama mahakamani kukwepa kulipa mkopo wa Equity
Dar es Salaam. Kampuni ya Continental Reliable Clearing (T) Limited (CRC) imekwama katika...
Serikali yapiga marufuku taarifa zake kwenye mitandao binafsi
SERIKALI imepiga marufuku matumizi ya mitandao binafsi zikiwemo baruapepe, WhatsApp, Instagram, You Tube, Facebook kutuma nyaraka na taarifa za serikali. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na…
Ridhiwani awataka eGA kubuni teknolojia ya kulinda mifumo ya Serikali
Serikali ameielekeza Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) kuongeza juhudi katika kubuni na...
Israel yawazuia Wapalestina kuswali Ijumaa ya kwanza ya Ramadhani al-Aqsa
Utawala wa Kizayuni wa Israel umewawekea vizuizi vikali Wapalestina kuingia katika Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu, kwa ajili ya Swala ya Ijumaa ya kwanza ya…
Seven brought to court on drug trafficking charges
SAME, KILIMANJARO: SEVEN suspects have been brought before the Same District Court yesterday, facing various charges related to the trafficking of khat. One of the suspects has been placed under…
“Cheki Mnyama”: Edwin Sifuna Azindua Lori la Kifahari Atakalotumia kwa Kampeni ya Linda Mwananchi
Edwin Sifuna alizindua lori jipya la kampeni kwa ajili ya mkutano wake wa Linda Mwananchi mjini Kakamega kabla ya kuharibiwa kwenye barabara inayoelekea Kakamega.
Miaka 10, Marais 8 – Kuna nini Peru karibu kila mwaka rais mpya
Tangu mwaka 2016, marais wanane wameapishwa kuiongoza nchi hiyo, wengine wakidumu madarakani kwa miezi au hata siku chache tu.
Wadau wataka mipango ya tabianchi izingatie jinsia
Wakati dunia ikiendelea kupambana na athari za mabadiliko ya tabianchi, wadau wameonya kuwa...
Ministry lauds TAFORI’s performance in environmental conservation
MOROGORO: THE Deputy Minister for Natural Resources and Tourism, Hamad Hassan Chande, has led an awards and recognition ceremony organised by the Tanzania Forestry Research Institute (TAFORI) through its Human…
Marufuku watumishi wa afya kumiliki hospitali binafsi
RAIS wa Malawi, Peter Mutharika amepiga marufuku waajiriwa katika hospitali za serikali au taasisi nyingine za afya za umma kumiliki hospitali binafsi. Pia, amri ya Rais Mutharika aliyoitoa Februari 16,…
RC Mtaka: Trust local contractors to boost employment and the national economy
NJOMBE: The Njombe Regional Commissioner, Anthony Mtaka, has called on public and private institutions to support local contractors, emphasizing that doing so strengthens the national economy and boosts youth employment.…
Tanzania hails KAGIS for helping girls learn in a safe, learner-friendly environment
GEITA: THE Canadian Ambassador to Tanzania, Emily Burns, has said that the Keeping Adolescent Girls in School (KAGIS) project, implemented through cooperation between Canada and Tanzania, has helped strengthen the…
Tanzanian Judge, Nangala, named among the ICC candidates
CAPE TOWN: THE Assembly of States Parties to the International Criminal Court (ICC) is expected to elect six new judges during its 25th session, scheduled to take place from December…
Anti-Hegemonism and the Dynamics of Relations in the Russia–India–China Triangle
RUSSIA: THE past year has witnessed a notable thaw in relations between Eurasia’s two largest powers—China and India. The process symbolically began with Xi Jinping and Narendra Modi’s meeting at…
Energy Committee urges TANESCO to expandthe power supply countrywide
DAR ES SALAAM: The Parliamentary Standing Committee on Energy and Minerals has urged TANESCO to continue expanding electricity distribution to areas currently without access, enabling the country to benefit from…
Mgunda meno nje, akiisikilizia Yanga
BAADA ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Magnet FC, Kocha Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda, amesema umerudisha morali kwa wachezaji ikijiandaa kuipokea Yanga keshokutwa Jumapili.
Dk Mwigulu aagiza KNCU kuuza maliza zake kulipa deni la Sh400 milioni
Moshi. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amekiagiza Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro...
Tathmini yabaini mikopo sekta za kilimo, uzalishaji haikuleta tija
Naibu Waziri wa Vijana, ajira, uwezeshaji, Hassan Khamis Hafidh akijibu maswali barazani...
Cardinal Pengo to be laid to rest at Pugu Pilgrimage Centre
DAR ES SALAAM: THE body of the retired Archbishop of the Dar es Salaam Archdiocese, Polycarp Cardinal Pengo, is scheduled to be buried on Saturday, February 28, 2026, at the…
Maafande wa Tanzania Prisons katika mtego mpya
PAMOJA na kuchekelea matokeo ya ushindi katika mechi mbili mfululizo, Tanzania Prisons inakabiliwa na kibarua kingine kigumu wikiendi hii itakapoialika Simba kwenye Uwanja wa Sokoine kwa mechi ya Ligi Kuu…
Watakiwa kutathmini utoaji huduma za afya
DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Tanzania Health Summit (THS) limewataka watoa huduma za afya na vituo vya afya nchini kufanya tathmini ya ubora wa huduma wanazozitoa ili kuboresha utoaji wa…
Ex-Prince Andrew’s arrest spurs Epstein accountability calls from UK to US
WASHINGTON: THE arrest of former British royal Andrew Mountbatten-Windsor has sparked renewed calls for accountability for Jeffrey Epstein’s crimes and proper investigations into the late sex offender’s networks in the…
Karen Nyamu Aonekana Kukasirika baada ya Kusukumwa na Umati wa Watu kwenye Video Iliyopepea
Seneta mteule Karen Nyamu aliukabili umati uliochacha Kasarani, akitoa hotuba yake alipokuwa akiwasiliana na Gen Z na kuelezea matarajio yake ya baadaye.
Ukijichanganya kwa JKT Tanzania utakula nyingi
BAADA ya JKT Tanzania kushinda mabao 7-0 mbele ya wakongwe wa soka na mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu Bara na ile ya Muungano miaka ya 1980, Pan Africans kwenye…
Tanzania, the UK, Sweden seek bilateral ties to implement development projects
DAR ES SALAAM: TANZANIA, the United Kingdoms and Sweden have insisted on the broader cooperation, noting it as a key player in making their countries implement their strategic development projects.…
Mauaji ya Halaiki ya Thiaroye; miaka 80 ya kufichwa tukio kubwa zaidi la umwagaji damu uliofanywa na Mkoloni Mfaransa Afrika
Mauaji ya Thiaroye ni mojawapo ya jinai na uhalifu mkubwa zaidi wa umwagaji damu na uliofichika zaidi, ambao ulifanywa na Ufaransa wakati wa utawala wake wa kikoloni nchini Senegal.