JKT mambo safi matumizi nishati safi
KATIKA kuunga mkono juhudi za Serikali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia na kuhifadhi mazingira, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limeachana na matumizi ya kuni na mkaa katika…
KOMBE LA DUNIA 2026 | Hii ndiyo tofauti kati ya Hispania na Cape Verde kuelekea mechi yao ya leo…
KOMBE LA DUNIA 2026 | Hii ndiyo tofauti kati ya Hispania na Cape Verde kuelekea mechi yao ya leo… Tazama rekodi zao kama zinavyochambuliwa na Godlisten Muro akiwa na James…
Safari ya Tanzania Kuelekea Uchumi wa Kidijitali
Kutoka minara ya mawasiliano na Mkongo wa Taifa hadi ajira za mtandaoni, biashara za kidijitali na ubunifu wa vijana, Tanzania inaingia katika enzi mpya ambapo internet si tena chombo cha…
OMBE LA DUNIA 2026 | Kutoka Atlanta Marekani, huyu hapa ni Shaffih Dauda na taarifa za motoooooo kutoka eneo la tukio
OMBE LA DUNIA 2026 | Kutoka Atlanta Marekani, huyu hapa ni Shaffih Dauda na taarifa za motoooooo kutoka eneo la tukio. Ni kuelekea mechi ya Hispania vs Cape Verde, saa…
Chadema kujibu madai kesi ya rasilimali Julai Mosi
Wadaiwa katika kesi hiyo ni Bodi ya Wadhamini Waliosajiliwa wa Chadema na Katibu Mkuu wa chama...
KOMBE LA DUNIA 2026 | “Magoli 38 yameshafungwa katika mechi 12 ambazo zimeshacheza hadi sasa…..”
KOMBE LA DUNIA 2026 | “Magoli 38 yameshafungwa katika mechi 12 ambazo zimeshacheza hadi sasa…..” Hivi ndivyo Fatma Chikawe anavyotufungulia uchambuzi kuelekea mechi ya kwanza kwa leo, kati ya Hispania…
Sh Bil 200 na safari ya kutafuta Ajira, mitaji vijana mil.20
Je, ni namna gani uwekezaji wa Shilingi bilioni 200 unaweza kufungua ukurasa mpya wa ajira, ubunifu na ujasiriamali kwa mamilioni ya vijana wa Tanzania The post Sh Bil 200 na…
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa muda wa mwezi mmoja kwa wamiliki wa gereji na mafundi seremala …
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa muda wa mwezi mmoja kwa wamiliki wa gereji na mafundi seremala kuondoa magari na samani chakavu pembezoni mwa barabara…
KOMBE LA DUNIA 2026 | Kwa lugha ya Kiingereza tayari uchambuzi unaendelea kuelekea mechi ya kwanza kwa leo, kati ya Hispania vs …
KOMBE LA DUNIA 2026 | Kwa lugha ya Kiingereza tayari uchambuzi unaendelea kuelekea mechi ya kwanza kwa leo, kati ya Hispania vs Cape Verde.... Anayekualika ni huyu hapa, muite Chiko…
#HABARI: Madereva wa vyombo vya moto katika Manispaa ya Morogoro wameichamkia nishati ya gesi asilia kama mbadala wa mafuta, wak…
#HABARI: Madereva wa vyombo vya moto katika Manispaa ya Morogoro wameichamkia nishati ya gesi asilia kama mbadala wa mafuta, wakieleza kuwa ni fursa kubwa ya kupunguza gharama za uendeshaji kufuatia…
Sh296 milioni kupunguza kero ya maji Rombo
Mamia ya wananchi wa vijiji vya Mrao, Momwe na Kiraeni katika Kata ya Mrao Keryo, Wilaya ya...
Halmashauri ya Wilaya ya Ilala imetenga Shilingi Bilioni 14 kutoka katika makusanyo ya ndani kwa ajili ya kuboresha miundombinu …
Halmashauri ya Wilaya ya Ilala imetenga Shilingi Bilioni 14 kutoka katika makusanyo ya ndani kwa ajili ya kuboresha miundombinu mbalimbali wilayani humo ikiwemo barabara. Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward…
#HABARI: Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt
#HABARI: Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakari Zubeir Ally, amemuomba Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, kumshawishi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu…
Kadogosa: Biashara ndogondogo zahitaji mazingira wezeshi
MBUNGE wa Bariadi Vijijini, Masanja Kadogosa, amesema biashara ndogondogo zinapaswa kuwekewa mikakati madhubuti na mazingira rafiki ili ziweze kustawi na kutoa mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa taifa. The…
Spika ahoji TCRA, CMSA
SPIKA wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, ameziagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) kufika mbele ya Kamati ya Bajeti ya Bunge…
Tanzania upgrades aircraft maintenance capacity at KIA
MOSHI: THE Tanzanian government has completed the construction and upgrade of aircraft maintenance infrastructure at Kilimanjaro International Airport (KIA), a move aimed at strengthening Tanzania’s aviation sector, reducing reliance on…
Kutoka ngurumo za jenereta madukani, hadi usikivu tulivu wa AC
Miaka mitano iliyopita, haikuwa jambo la ajabu kutembea katika mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam na kusikia ngurumo za jenereta karibu kila kona. Maduka ya jumla, maghala, karakana, viwanda…
Mafunzo maalumu kuimarisha ufanisi wa wanasheria
TANGA: Maofisa Sheria wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) wanatarajiwa kuimarisha uwezo, maarifa na ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao kupitia mafunzo maalumu yaliyoandaliwa na Mfuko huo…
Wagonjwa wa moyo kupata majibu ndani ya dakika nane JKCI
Ile hali ya kutumia dakika 30 kusubiri majibu ya vipimo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya...
Kisa kipigo Tunisia yamtimua kocha Kombe la Dunia
Taarifa zinabainisha kwamba, Shirikisho la Soka la Tunisia (FTF) limemfuta kazi aliyekuwa kocha...
Wagonjwa wa moyo kupata majibu ndani ya dakika tano JKCI
Ile hali ya kutumia dakika 30 kusubiri majibu ya vipimo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya...
Tanzania moves to upgrade Community Development colleges for degree programs
DODOMA: THE Tanzanian government has reaffirmed its commitment to strengthening Community Development colleges across the country to enable them to meet the academic standards required to offer degree programs, a…
Soko la Hisa la Dar es s Salaam (DSE) limewataka wawekezaji kuhakikisha wanapata uelewa wa mapema kabla ya kuwekeza sehemu yoyot…
Soko la Hisa la Dar es s Salaam (DSE) limewataka wawekezaji kuhakikisha wanapata uelewa wa mapema kabla ya kuwekeza sehemu yoyote ili kuepuka usumbufu kwa kupewa elimu sahihi itakayoonesha changamoto…
Rising seas, failing harvests: Zanzibar seaweed farmers battle a changing ocean
ZANZIBAR: BEFORE the sun reaches Paje, the ocean has already begun its daily retreat. The water moves back quietly, exposing long stretches of wet sand, shallow pools and rows of…
Kasoro za kiutaratibu zamfungulia njia koplo aliyefukuzwa kazi
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Morogoro, imemruhusu aliyekuwa Koplo wa Jeshi la...
Kortini akidaiwa kujipatia Sh80 milioni kwa njia ya udanganyifu
Mhasibu, Hassan Ramdan (34) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na...
Profesa Muhongo ataja maeneo sita yatakayobeba uchumi wa Tanzania
Profesa Muhongo ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nishati na Madini amebainisha hayo leo Jumatatu...
Tanzania concludes specialized training for the Disaster Medical Response team
MOROGORO: THE Ministry of Health, in collaboration with the World Health Organization (WHO) and funded through the Pandemic Fund, has concluded a specialized training phase aimed at strengthening the capacity…
Gereji pembezoni mwa barabara, vyuma chakavu marufuku Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewaagiza wafanyabiashara wote wa vyuma...
Trump afedheheka kwa kusherehekea kurejea katika hali ya kabla ya vita na Iran
Wataalamu wengi wa masuala ya siasa wametathmini utangulizi wa mapatano ya kusitisha vita kati ya Marekani na Jamhuri ya Kislamu ya Iran na kuyataja kuwa fedheha kubwa kwa utawala wa…
Tanzania sets strategy to protect 57 highly threatened tree species
DODOMA: THE Tanzanian government has begun implementing a special project to enhance the conservation of 57 highly threatened tree species in the country, a move aimed at protecting the country’s…
Dodoma wins investors for a large-scale steel manufacturing plant in Nala area
DODOMA: ENABLING investment conditions established by the government have attracted investors who plan to construct a large-scale steel manufacturing plant in Nala area, Dodoma City. The statement was made today,…
Ruto Asema Wazi Raila Hakutaka Mbadi Kuwa Waziri wa Hazina ya Kitaifa
Rais William Ruto alifichua kuwa chaguo la Raila Odinga kwa Waziri wa Hazina lilikuwa tofauti na lake, jambo lililosababisha uteuzi wa John Mbadi kushika nafasi hiyo
Udart yataja sababu mabasi yake kuonekana Barabara ya Pugu
Kampuni ya mabasi Yaendayo Haraka (Udart), imetoa ufafanuzi kuhusu mabasi yake kuonekana katika...
Miundombinu imebadili mengi mitano ya Samia
DAR ES SALAAM; SAA 12 alfajiri, wakati taa za magari bado zinang’aa katika baadhi ya mitaa ya Dar es Salaam na sehemu kubwa ya jiji ikiwa haijaamka, maisha tayari yameanza…
BRT Phase II: Daladala face deadline ahead of July 1 launch
DAR ES SALAAM: THE Land Transport Regulatory Authority (LATRA) has issued a one-week ultimatum to daladala operators to stop picking up and dropping off passengers at undesignated points within the…
Wawili kortini Dar wakidaiwa kusafirisha bangi
Hassan Yusuph (20) na Warioba Masenza (23) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,...
Tanzania trains its laboratory professionals how handle dangerous pathogens and samples
ARUSHA: THE Tanzanian government has provided training to laboratory professionals to ensure that society is protected against disasters that may be caused by unsafe handling of dangerous pathogens and samples…
Tanzanian strongly condemns the sale of safe blood, warns those who turn it into a commodity
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government has strongly condemned the sale of blood in the country, emphasizing that blood voluntarily donated by citizens must never be turned into a commercial…
Uingereza kupiga marufuku watoto kutumia mitandao ya kijamii
Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa watoto wote wenye umri wa chini ya miaka 16...
Wawakilishi wataka haya yafanyike ukusanyaji mapato, utekelezaji bajeti
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wameeleza haja ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)...
Kwa nini tarehe ya mazishi ya Ali Khamenei imetangazwa sasa
Zaidi ya siku 100 baada ya Ali Khamenei kuuawa katika shambulio la Marekani na Israel, Ofisi ya Kuhifadhi na Kuchapisha Kazi za kiongozi wa zamani wa Jamhuri ya Kiislamu ya…
Kamati ya Bunge nayo yataka Sh200 bilioni za vijana zisitawanywe
Kamati ya Bunge ya Bajeti, imetaka kiasi cha Sh200 bilioni kilichotolewa na Serikali kwa ajili...
Kisura Nairobi Ashtuka Kuwaona Ndugu Zake Kwenye Runinga Wakiandama Akidhani Wako Qatar
Mwanamke wa Nairobi aligundua ndugu zake, waliodai kuwa walienda Qatar kazi walikuwa Kenya wakifanya kazi ya boda. Kisura aliwatambua baada ya kuwaona kwenye runinga
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja mkazi wa Maji ya Chai kwa tuhuma za mauaji ya Husna Shabani mkazi wa Majen…
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja mkazi wa Maji ya Chai kwa tuhuma za mauaji ya Husna Shabani mkazi wa Majengo Jijini Arusha na kisha kutupa mwili huo…
Chalamila awatumia ujumbe ‘wanaoleta chokochoko mitandaoni’
Chalamila ameyasema hayo leo Jumatatu Juni 15, 2026 alipozungumza na wenyeviti na watendaji wa...
JNIA officially launches Royal Air’s direct flights between Tanzania and Comoros
DAR ES SALAAM: JULIUS Nyerere International Airport (JNIA) has marked a significant milestone in Tanzania’s aviation sector following the official launch of Royal Air’s direct flights connecting Tanzania and Comoros.…
Diplomasia ya Tanzania ilivyofungua fursa za uchumi miaka 5 ya Samia
Mwaka 2021, Tanzania ilikuwa katika kipindi cha mpito. Dunia ilikuwa ikijinasua kutoka athari za janga la COVID-19 huku ushindani wa kuvutia uwekezaji, biashara, watalii na teknolojia ukiwa mkali zaidi kuliko…
Kamishna wa Haki za Binadamu UN: Mapigano yasitishwe Gaza na Lebanon, aonya kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Sudan
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesisitiza haja ya kuimarishwa usitishaji mapigano huko Gaza na kufikiwa makubaliano endelevu ya kusitisha mapigano, akibainisha kuwa vikosi vya jeshi…