Kihenzile akoshwa maendeleo miradi Kigoma
KIGOMA: NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, amesema maendeleo ya mradi wa ukarabati wa Meli ya MV Liemba mkoani Kigoma yanaridhisha na utekelezaji wake umefikia zaidi ya asilimia 55. Kihenzile…
Watuhumiwa saba wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wakikabiliwa na mashtaka ya kujihusisha na daw…
Watuhumiwa saba wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro wakikabiliwa na mashtaka ya kujihusisha na dawa za kulevya aina ya mirungi. Kwa mujibu wa taarifa za mahakama, kesi…
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linaendelea na uchunguzi kuhusu kifo cha Abdilah Musa maarufu kwa jina la Banjo, kilichotokea Wila…
Jeshi la Polisi mkoani Arusha linaendelea na uchunguzi kuhusu kifo cha Abdilah Musa maarufu kwa jina la Banjo, kilichotokea Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma. Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP…
Wanandoa washerehekea baraka ya kifungua mimba wao baada ya kujaribu kwa miaka 20: “Asante milele”
Efe Efeturi alishiriki furaha yake mtandaoni alipomkaribisha mtoto wake wa kwanza na mkewe, miongo miwili baada ya kufunga ndoa, hatua iliyowafurahisha wengi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Heart Team Africa Foundation iliyo chini ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Mussa Aza…
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Heart Team Africa Foundation iliyo chini ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Mussa Azan Zungu amesema Serikali inachangia asilimia 70 ya gharama…
Tanzania notes good progress in the rehabilitation of the MV Liemba ship
KIGOMA: THE Deputy Minister for Transport, David Kihenzile, has confirmed progress on the rehabilitation of the MV Liemba ship in Kigoma Region, saying its works are 55 percent complete. Kihenzile…
Mbunge ahoji kusuasua kwa ujenzi wa barabara Njombe
Mbunge wa Viti Maalumu (Chaumma) Mkoa wa Njombe, Sigrada Mligo amehoji kusuasua kwa ujenzi wa...
Tanzania, World Bank seek to help farmers’ access to agricultural loans, training
DODOMA: THE Permanent Secretary in the Ministry of Agriculture, Gerald Mweli, has met and held talks with the World Bank Manager for Food and Agriculture, Frauke Jongbluth, at his Mtumba…
Watuhumiwa watatu wamekamatwa katika Kata ya Lengijave mkoani Arusha wakidaiwa kuhusika na jaribio la kutorosha punda 21 kwenda …
Watuhumiwa watatu wamekamatwa katika Kata ya Lengijave mkoani Arusha wakidaiwa kuhusika na jaribio la kutorosha punda 21 kwenda nchi jirani bila kibali . Tukio hilo limebainika Februari 20, 2026 kufuatia…
PM envisions completion of new education curriculum by 2028
MOSHI: PRIME Minister Mwigulu Nchemba has emphasized preparations for the implementation of a new education curriculum, set to be fully rolled out starting in 2028. The new curriculum will make…
Watumishi watatu Rungwe wafukuzwa kazi kwa utoro
Watumishi watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya, wamefukuzwa kazi kwa tuhuma...
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa na kuimarika kwa hali ya nishati nchini, ambapo sas…
#HABARI: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa na kuimarika kwa hali ya nishati nchini, ambapo sasa uwezo wa uzalishaji umefikia megawati 4,400 dhidi ya mahitaji…
Mashariki mwa DRC: Magari yaliyobeba vifaa vya kibinadamu yashambuliwa katika eneo la Rutshuru
Nchini DRC, lori la MSF lililobeba vifaa vya matibabu limeshambuliwa mnamo Februari 18, 2026, na watu wenye silaha. Shambulio hilo lilitokea Mayi ya Moto, katika eneo la Rutshuru (mashariki mwa…
Wanawake Mbozi watishia mgomo wa kubeba mimba
Wanawake wa Kijiji cha Kilimampimbi, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, wametangaza kususia kubeba...
#HABARI: Baraza la Ushindani Tanzania (FCT) limehimizwa kuziwezesha mamlaka zake za udhibiti kwa kuzipatia rasilimali watu na fe…
#HABARI: Baraza la Ushindani Tanzania (FCT) limehimizwa kuziwezesha mamlaka zake za udhibiti kwa kuzipatia rasilimali watu na fedha za kutosha ili kuongeza ufanisi katika kutoa elimu kwa umma. Katibu wa…
Mahakama Kuu yaamua baadhi ya ushuru uliowekwa na Donald Trump kuwa kinyume cha sheria
Mahakama ya juu zaidi nchini Marekani imeamua kwamba rais wa Marekani alizidi mamlaka yake ya kikatiba kwa kuweka ushuru kwa karibu bidhaa zote zinazoingia nchini Marekani. Imechapishwa: 20/02/2026 – 16:41…
Mechi za NBC Premier League Jumapili hii
Mechi za NBC Premier League Jumapili hii Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii. #NBCPL #SisiNiSoka #Azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
Mzabuni Herbert Matiko Tugara kutoka Kampuni ya Herver General Services ameburuzwa mahakamani Kwa tuhuma za kutoa tuhuma za uong…
Mzabuni Herbert Matiko Tugara kutoka Kampuni ya Herver General Services ameburuzwa mahakamani Kwa tuhuma za kutoa tuhuma za uongo na kugushi. Tugara amefunguliwa kesi ya Jinai namba 3454/2026 katika Mahakama…
Urusi yakana kuwaajiri wanajeshi wa Kenya kupigana nchini Ukraine
Kwa mara ya kwanza baada ya wiki kadhaa, Urusi imevunja ukimya wake na kuamua kuzungumzia suala la wapiganaji wa Kiafrika katika jeshi lake nchini Ukraine. Urusi inalaani “kampeni hatari na…
Ukweli kuhusu uhaba wa mafuta Zanzibar
Wakati kukiwa na malalamiko ya upungufu wa mafuta Zanzibar, Serikali imesema hakuna changamoto...
Watoto wa darasa la tano na sita wakalia mikeka darasani
Wanafunzi wa darasa la tano na sita katika Shule ya Msingi Ziwani, iliyopo Kata ya Pongwe...
#HABARI: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kennan Kihongosi, amewataka watumishi wa umma wilayani Kasulu kufanya…
#HABARI: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kennan Kihongosi, amewataka watumishi wa umma wilayani Kasulu kufanya kazi kwa uaminifu, upendo, na ushirikiano huku wakiepuka unafiki na migogoro…
#HABARI: Serikali imezitaka taasisi za uhifadhi wa misitu na maliasili kuwekeza katika elimu tiba na kuanzisha kliniki maalum zi…
#HABARI: Serikali imezitaka taasisi za uhifadhi wa misitu na maliasili kuwekeza katika elimu tiba na kuanzisha kliniki maalum zitakazotumia asali, nyuki, na mazao yake kwa ajili ya matibabu ya wananchi…
Ziara ya Waziri Mkuu yajibu, 14 wasimamishwa kazi Muheza
Siku tatu baada ya Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba kuhitimisha ziara mkoani Tanga na kubaini...
‘Navutiwa na dini ya kiislam’
MSANII wa filamu nchini, Jacqueline Wolper, amezua mjadala mpana mitandaoni baada ya kuweka wazi hisia zake kuhusu dini ya Kiislamu akieleza kuvutiwa kwake na imani hiyo. Kupitia ukurasa wake wa…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA, FEBRUARI 20, 2026 – WATAKAOLIMA KWENYE VYANZO VYA MAJI KUTOZWA FAINI
🔴HAPA NA PALE KUTOKA GEITA, FEBRUARI 20, 2026 - WATAKAOLIMA KWENYE VYANZO VYA MAJI KUTOZWA FAINI
SERIE A leo Ijumaa
SERIE A leo Ijumaa Saa 4:45 usiku, Sassuolo watakuwa nyumbani wakiwakaribisha Verona. Mchezo huu utaruka mbashara kupitia AzamSports3HD Kwa kifurushi cha Shilingi 28,000 unatazama mchezo huu. @seriea (Feed generated with…
IAA yawekeza bilioni mbili kwenye teknolojia
CHUO cha Uhasibu Arusha (IAA) kimetenga Shilingi bilioni 2 kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) kwa ajili ya kuimarisha miundombinu ya kiteknolojia na kidijitali, hatua…
Mwanamke Ahangaika Baada ya Mumewe Kumwacha Hospitalini, Kufagia Nyumba na Kuoa Kwingine
Recho Nassary, aliyeachwa na mumewe baada ya kujifungua mtoto wao mwenye ulemavu, anashiriki hadithi yake ya kuhuzunisha ya usaliti na mapambano ya kupata msaada.
IAA yawainua vijana 8,600
ZAIDI ya vijana 8,600 wamefikiwa na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kupitia programu za ujasiriamali na ubunifu, hatua iliyowezesha vijana 1,520 kubuni mawazo ya biashara na kuanzisha zaidi ya biashara…
#HABARI: Jumla ya vitongoji 474 kati ya 1,636 ambavyo havina umeme mkoani Kagera vinatarajiwa kuanza kunufaika na nishati ya REA…
#HABARI: Jumla ya vitongoji 474 kati ya 1,636 ambavyo havina umeme mkoani Kagera vinatarajiwa kuanza kunufaika na nishati ya REA ifikapo Februari 2029, kufuatia kuwasili kwa mkandarasi wa mradi huo.…
Mtandao wa kigaidi wa JNIM waendelea kujiimarisha Sahel
Mtandao wa kigaidi wa JNIM wenye uhusiano na Al Qaeda, umeendelea kupanuka nje ya mipaka ya Sahel hadi katika pwani ya Afrika Magharibi, ingawa unasita kuanzisha makazi ya kudumu, ripoti…
JEMIMA BASHITE: Kutoka kuuza mkaa hadi mwajiri na mmiliki wa saluni
Jemima anasema 2009 akiwa mwanafunzi wa kidato cha nne, alikumbwa na pigo kubwa la kufiwa na...
RDC: FARDC yaituhumu Rwanda na M23 kwa kushambulia ngome zake
Jeshi la Congo, FARDC linawashutumu wanajeshi wa Rwanda wanaoshirikiana na waasi wa AFC/M23 kushambulia maeneo yake kwenye jimbo la Kivu Kaskazini na Kusini, likisema vitendo hivyo vinakiuka mpango wa usitishaji…
Dar yaongoza migogoro ya ardhi, mashauri 90 yasikilizwa Kliniki ya Sheria
Chini ya jua kali katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, makundi ya wananchi...
Mwazye hadi Vatican safari ya Kardinali Pengo
Usiku wa Februari 19, 2026, Tanzania imempoteza mmoja wa viongozi wa dini wakubwa. Mwadhama...
Mechi za wikiendi hii katika Bundesliga
Mechi za wikiendi hii katika Bundesliga Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mechi hizi #Bundesliga #azamtvsports (Feed generated with FetchRSS)
TRA yazionya bandari kavu
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema itawachukulia hatua za kisheria wamiliki wa kampuni za bandari kavu zinazochochea ukwepaji wa malipo ya ushuru wa forodha. The post TRA yazionya bandari kavu…
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa World Health Organization (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, anatarajiwa kuzindua jengo la kisasa la…
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa World Health Organization (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, anatarajiwa kuzindua jengo la kisasa la huduma kwa watoto wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti) katika Wilaya ya Kwimba, mkoani…
Familia zasimulia zilivyojitibu kwa mitishamba kutokana na kukosa fedha Lindi
Katika Kijiji cha Mandwanga, kilichopo Kata ya Mandwanga, Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi...
TRA Temeke Branch Manager offers 1m/-reward to the best Form Four students
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) Temeke District Manager, Masau Malima, has fulfilled his promise by awarding 1m/- to every student who achieved first-class results in the 2025…
Tanzania seeks to reform agribusiness by adding value to its agricultural and livestock products
MTWARA: THE Tanzanian government plans to increase the production of agricultural, livestock, and fisheries products by adding value while also involving private sector’s investment. Speaking during the opening of the…
#HABARI: Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini (STPU), kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiser…
#HABARI: Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini (STPU), kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiserikali la ASPA, limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu waliokuwa wakitorosha mifugo aina…
IAA invests 2b/- to support the technological delivery system
DODOMA: THE Arusha Institute of Accountancy (IAA) has allocated 2bn/- through the Higher Education for Economic Transformation (HEET) Project to strengthen technological and digital infrastructure, a move aimed at changing…
What Does the Chinese Community Bring to Tanzania Spring Festival Gala Promo Debuts in Tanzania
DAR ES SALAAM: Cooperation between China and Tanzania has always been at the forefront of China-Africa collaboration. In recent years, the two countries have worked together to promote high-quality development…
Continental yakwama mahakamani kukwepa kulipa mkopo wa Equity
Dar es Salaam. Kampuni ya Continental Reliable Clearing (T) Limited (CRC) imekwama katika...
Serikali yapiga marufuku taarifa zake kwenye mitandao binafsi
SERIKALI imepiga marufuku matumizi ya mitandao binafsi zikiwemo baruapepe, WhatsApp, Instagram, You Tube, Facebook kutuma nyaraka na taarifa za serikali. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na…
Ridhiwani awataka eGA kubuni teknolojia ya kulinda mifumo ya Serikali
Serikali ameielekeza Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) kuongeza juhudi katika kubuni na...
Israel yawazuia Wapalestina kuswali Ijumaa ya kwanza ya Ramadhani al-Aqsa
Utawala wa Kizayuni wa Israel umewawekea vizuizi vikali Wapalestina kuingia katika Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu, kwa ajili ya Swala ya Ijumaa ya kwanza ya…