Wanahabari wakumbushwa kuibua ukatili dhidi ya walemavu
Waandishi wa habari nchini wametakiwa kuibua na kuandika habari za vitendo vya ukatili wa...
Rais wa Madagascar avunja bunge huku mzozo wa kisiasa ukitikisa nchi
Agizo lililowekwa kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook lilisema Rais Andry Rajoelina alishauriana na viongozi wa bunge na Seneti kuhusu uamuzi huo.
Sababu Shilingi ya Tanzania kufanya vizuri zaidi Afrika Mashariki
Shilingi ya Tanzania imeibuka kuwa moja ya sarafu imara zaidi katika ukanda wa Afrika...
Samia: Najivunia kumuenzi Magufuli kwa vitendo
Baada ya mkutano huo wa kampeni, Rais Samia alizuru kaburi la Magufuli ambako aliwasha mshumaa, alishiriki sala fupi ya kumuombea na kuweka shada la maua.
Israel yaua Wapalestina wengine 6 huko Gaza; Hamas yalalamikia kukiukwa usitishaji vita
Jeshi la Israel limewauwa shahidi takriban Wapalestina sita huko Ukanda wa Gaza ndani ya saa 24, licha ya Tel Aviv hivi karibuni kufikia makubalianokuhusu utekelezaji wa awamu ya kwanza ya…
Unataka kufahamu nini kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira
Unataka kufahamu nini kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira Tutakuwa naye Oktoba 15, 2025 katika chaneli ya UTV kuanzia saa 2:30 asubuhi katika mahojiano…
Wanajeshi wa Israel waendeleza mashambulizi Ukingo wa Magharibi; Wapalestina 2 wajeruhiwa
Takriban Wapalestina wawili wamejeruhiwa wakati wanajeshi wa Israel walipovamia na kuwafyatulia risasi wakazi wa eneo la Ukingo wa Magharibi. Wanajeshi wa Israel usiku wa kuamkia leo walivamia pakubwa vijii na…
Yemen yahimiza msimamo mmoja wa Ulimwengu wa Kiislamu dhidi ya Israel
Serikali ya Yemen imethibitisha uungaji mkono wake kwa watu wa Gaza kufuatia kutekelezwa makubaliano ya kusitisha vita kati ya Hamas na Israel.
UN: Makubaliano ya amani ya Kongo na Rwanda ‘hayaheshimiwi’
Umoja wa Mataifa umesema kuwa makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda "hayaheshimiwi."
Kiongozi wa upinzani Cameroon Issa Tchiroma Bakary ajitangaza mshindi wa kiti cha urais
Issa Tchiroma Bakary kiongozi wa upinzani nchini Cameroon ametangaza kwa upande mmoja kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais wa juzi Jumapili akimbwaga mshindani wake mkuu Rais Paul Biya ambaye amekuwa…
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Morogoro, limewahimiza vijana kushiriki kikamilifu katika uchaguzi …
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Morogoro, limewahimiza vijana kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu kwa kuchagua viongozi bora na kuepuka vitendo vyote vinavyoweza kuharibu amani…likiwataka kuwa mabalozi…
Katika maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 26 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Mkurugenzi Mkuu wa kwanza wa Shirika la Reli Tanzania …
Katika maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 26 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Mkurugenzi Mkuu wa kwanza wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Athumani Janguo amesimulia jinsi Mwalimu Julius Kambarage…
Magonjwa ya neva hukatili Maisha ya watu milioni 11 kila mwaka: WHO
Shirika la Afya Duniani (WHO) leo limetoa onyo kwamba magonjwa ya ubongo husababisha vifo zaidi ya milioni 11 kila mwaka duniani, yakigusa zaidi ya asilimia 40 ya idadi ya watu…
CERF imetoa dola milioni 11 kusaidia Gaza usitishwaji mapigano ukitekelezwa
Umoja wa Mataifa unaimarisha hatua zake za dharura huko Gaza kwa kutoa dola milioni 11 kutoka Mfuko wake wa Dharura CER) ili kukidhi mahitaji ya haraka kabla ya msimu wa…
Dola bilioni 70 zahitajika kuijenga upya Gaza baada ya miaka miwili ya vita: UN
Umoja wa Mataifa leo umeonya kwamba Gaza itahitaji karibu dola bilioni 70 kwa ajili ya ujenzi upya baada ya miaka miwili ya mzozo, huku dola bilioni 20 zikitakiwa katika miaka…
Mkufu wa Nile ni nini? Na kwanini Sisi anampa Trump
Katika hatua iliyozua mjadala ndani na nje ya Misri, Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri amemtunuku Rais wa Marekani, Donald Trump, Nishani ya Nile (Order of the Nile), ambayo ni…
Misaada yapungua Sudan Kusini huku waliopoteza makazi wakikabiliana na majanga
Wamejikuta katikati ya mzozo na athari za tabianchi, jamii za waliopoteza makazi yao Sudan Kusini zinajikuta zikikabiliana na vurugu, mafuriko na kukosa misaada ya kutosha
Hersi: Umri ulisababisha nisiaminike Yanga
RAIS wa Yanga, Injinia Hersi Said, amesema wakati anaanza kuiongoza klabu hiyo, wengi hawakumuamini kutokana na umri wake mdogo.
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Arusha Cecilia Paresso, amewataka wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuwachagua wagomb…
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Arusha Cecilia Paresso, amewataka wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuwachagua wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwasababu imewaleta wagombea wenye sifa za…
AD
AD Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imezindua Kikokotoo cha mikopo cha mtandaoni. Kupitia Kikokotoo hiki, utakuwa na uwezo wa kukadiria kiwango cha marejesho ya kila mwezi na kuelewa viwango vya…
Ujenzi wa Daraja la Pangani lenye urefu wa mita 525 pamoja na barabara unganishi na mchepuko zenye jumla ya kilomita 25 umefikia…
Ujenzi wa Daraja la Pangani lenye urefu wa mita 525 pamoja na barabara unganishi na mchepuko zenye jumla ya kilomita 25 umefikia asilimia 74.3 hadi kufikia Septemba 30, 2025. Kukamilika…
Raia wa kigeni walioondoshwa nchini Lissu aliwataja mahakamani
Idara ya Uhamiaji nchini imewaondoa raia wawili wa kigeni waliobainika kukiuka masharti ya viza...
Marekani katika kizungumkuti cha kutumia dhahabu yake kulipia deni la taifa
Deni la taifa la Marekani limevuka viwango vya kihistoria - na baadhi ya wachambuzi wanaonya nchi hiyo hivi karibuni inaweza kutegemea akiba yake ya dhahabu kwa ukombozi.
Shabiki Ghana amtumia salamu Trump
Shabiki mmoja wa soka kutoka Ghana, anayejulikana kwa jina la Obour, amezua hisia mitandaoni...
Watu 14 wafariki katika mgodi Venezuela
Karibu watu 14 wamefariki dunia kufuatia kuporomoka kwa mgodi huko El Callao, Venezuela baada ya mvua kubwa kunyesha katika eneo la kusini mashariki.
Biden na Clinton wamsifu Trump kwa kusitishwa vita Gaza
Marais wa zamani wa Marekani Joe Biden na Bill Clinton wamechukua hatua nadra ya kumsifu Rais Donald Trump kwa kusaidia katika usitishwaji wa vita vya Gaza.
Iran yasema wito wa amani wa Trump wakinzana na vitendo
Iran imesema Jumanne kuwa wito wa rais wa Marekani Donald Trump wa amani na Iran haulingani na vitendo vya Washington, ikiashiria yale mashambulizi ya Marekani katika vinu vyake vya nyuklia…
Tchiroma adai kumshinda Biya Cameroon
Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon Issa Tchiroma Bakary amedai kushinda uchaguzi leo dhidi ya Rais Paul Biya aliye madarakani kwa miaka 43 sasa.
Rajoelina alivunja bunge, polisi ikiungana na waandamanaji
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amelivunja bunge la nchi hiyo.
Kipi kifuatacho Gaza baada ya kuachiliwa mateka
Mara tu awamu ya kwanza itakapokamilika, mazungumzo yanatarajiwa kuanza kwa awamu nyingine.
Ødegaard kurudi dimbani Novemba
Nahodha wa Arsenal, Martin Ødegaard, ataendelea kuwa nje ya uwanja hadi mwezi Novemba kutokana...
Afrika kufunga hesabu Kombe la Dunia
Idadi ya timu tisa zitakazoiwakilisha Afrika katika Fainali za Kombe la Dunia 2026 itakamilika...
Miili ya waliokufa katika ajali ya boti Mombasa yaopolewa majini
Mashindano ya mashua yaliyofanyika yaliisha kwa msiba Ijumaa iliyopita jioni wakati mashua iliyokuwa imebeba washiriki ilipopinduka.
Dk Mpango: Viongozi tufuate mema ya Mwalimu Nyerere, tumuombee
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango, ameongoza wananchi na viongozi mbalimbali katika ibada...
Rashford aitupia lawama Man United
Marcus Rashford ametaja mazingira yasiyo rafiki ya Manchester United kuwa moja ya sababu...
Ethiopia kuunda Tume ya nyukia
Mnamo Septemba, Ethiopia na Urusi zilitia saini mpango wa utekelezaji wa kuendeleza mradi wa nishati ya nyuklia nchini Ethiopia.
Kenya yavuna mahindi katika mpango wa Galana Kulalu
Ekari 330 za mahindi zitavunwa kwa muda wa siku tano zijazo, maji yakiwa tayari yanapatikana kutoka kwenye mabwawa mawili madogo, mshirika binafsi aitwaye Selu Limited hivi karibuni ataweza kumwagilia ekari…
Foden afichua siri kuvaa jezi namba 47
Sio siri Phil Foden alikuwa kwenye kiwango bora kabisa Manchester City ilipofanya kweli kwenye...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso, amewataka wananchi wa mkoa wa Kigoma kuwachagua wagombea wa Cha…
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso, amewataka wananchi wa mkoa wa Kigoma kuwachagua wagombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuwa ni watu wenye sifa na…
Msala unaowakabili wachezaji ghali England
Pesa kubwa inapotumika, matarajio yake ni makubwa pia. Lakini, kwenye Ligi Kuu England mambo...
#HABARI: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt
#HABARI: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wameshiriki Ibada ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu. Julius Kambarage…
Taasisi za kidini na kielimu, kwa kushirikiana na Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Iran, zimefanya mdahalo maalumu jijini Dar …
Taasisi za kidini na kielimu, kwa kushirikiana na Kituo cha Utamaduni cha Ubalozi wa Iran, zimefanya mdahalo maalumu jijini Dar es Salaam ukilenga kudumisha amani, mshikamano na haki kuelekea Uchaguzi…
Chama cha ACT – Wazalendo kupitia kwa mgombea Urais wa chama hicho visiwani Zanzibar, Othman Masoud kimeahidi kuongeza kima cha …
Chama cha ACT – Wazalendo kupitia kwa mgombea Urais wa chama hicho visiwani Zanzibar, Othman Masoud kimeahidi kuongeza kima cha chini cha mishahara kufikia milioni moja kwa wafanyakazi wa umma…
Coaster Kibonde anayegombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Demokrasia Makini amewaahidi wapiga kura kufanya mapinduzi…
Coaster Kibonde anayegombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Demokrasia Makini amewaahidi wapiga kura kufanya mapinduzi katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu na kuwawezesha walimu kumudu kuvaa suti ili…
Taifa Stars kuvaana na Iran leo
Baada ya kupoteza mechi iliyopita dhidi ya Zambia kuwania nafasi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026,...
Serikali kupitia Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) inaendelea kutekeleza miradi 13 ya dharura ya ujenzi wa barabara na madara…
Serikali kupitia Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) inaendelea kutekeleza miradi 13 ya dharura ya ujenzi wa barabara na madaraja mkoani Lindi kwa gharama ya shilingi bilioni 119, ili kurejesha miundombinu…
Mgombea Urais Kunje Ngombale Mwiru wa Chama cha Wakulima (AAFP) ameahidi kuanzisha ujenzi wa masoko na hospitali za kanda mkoani…
Mgombea Urais Kunje Ngombale Mwiru wa Chama cha Wakulima (AAFP) ameahidi kuanzisha ujenzi wa masoko na hospitali za kanda mkoani Kigoma pamoja na kuwapatia bure wananchi bima ya afya akichaguliwa…
Kumbe maisha ya Zaiylissa yamekuwa hivi baada ya kuachana na Manara
Msanii wa Bongo Movies, Zaiylissa amezungumzia maisha yake baada ya kuachana na aliyekuwa mume...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amewahakikishia wananchi kuwa jeshi hilo limejipanga kikamilifu kuhakikish…
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amewahakikishia wananchi kuwa jeshi hilo limejipanga kikamilifu kuhakikisha amani na usalama wakati wa uchaguzi mkuu. Amesema wananchi wanapaswa kwenda kupiga kura…