🔴HABARI ZA SAA, SITA NA DAKIKA 55….FEBRUARI 20, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SITA NA DAKIKA 55....FEBRUARI 20, 2026
Iran yaonya: Hatutaanzisha vita, lakini tutajibu vikali uvamizi wowote
Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesisitiza kwamba, Jamhuri ya Kiislamu haitaanzisha vita, lakini itatoa jibu zito kwa kitendo chochote cha uchokozi dhidi ya nchi…
Hamas yalaani mkutano wa ‘Bodi ya Amani’ ya Trump
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imelaani vikali kufanyika mkutano wa kile kinachoitwa 'Bodi ya Amani ya Gaza' huko nchini Marekani.
Serikali ya Senegal yaidhinisha muswada wa adhabu kali wapenzi wa jinsia moja
Serikali ya Senegal imeidhinisha muswada ambao kama utapasishwa na kuwa sheria, hatua hiyo itapelekea kupigwa marufuku vitendo vichafu vya mapenzi ya watu wa jinsia moja.
Saka aingia kwenye orodha ya mabilionea EPL
Mshahara wa awali, ulimfanya Saka asiwepo katika orodha ya nyota 10 wanaolipwa zaidi katika...
Maabara ya Taifa yajipanga kukabili kipindupindu
WIZARA ya Afya kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii (NPHL) imeanza mwaka wa tatu wa utekelezaji wa mradi wa kuboresha maabara za afya ya jamii ili kukabiliana na…
Usiyoyajua miaka 20 ya Mwasiti kwenye Bongofleva
Kati ya wanamuziki wa mwanzo kabisa kutoka chini ya usimamizi wa Tanzania House (THT), ni...
Baraza Kuu la CUF laanza kikao chake, baada ya akidi kutimia
Kikao hicho kinafanyika katika Ukumbi wa Shaban Mloo, Makao Makuu ya chama hicho, Buguruni...
Tradition’s blade steals girls’ futures in Tanzania
TARIME: FOR generations, thousands of girls across Tanzania have been forced to trade their childhood for marriage. Behind every statistic lies a story of interrupted education, stolen potential, and preventable…
Mtanzania achomoza kinyang’anyiro cha majaji ICC
Kwa mujibu wa taarifa ya ICC iliyochapishwa kwenye tovuti yake, mikutano kati ya Niang na...
Miundombinu chakavu yadidimiza utalii Kenya
ENZI ya watalii kupotoshwa kuwa Mlima Kilimanjaro uko Kenya imepita. Sasa wengi wanahamia vivutio vya nchi nyingine za Afrika Mashariki. Hali hii inaathiri uchumi wa Kenya na kudhoofisha sekta ya…
Kadinali Pengo: Mfahamu aliyekuwa Askofu Mkuu Jimbo la Dar es Saalaam
Tayari alikwishaeleza bayana anapendelea azikwe eneo la Pugu, lililopo takribani kilomita 25 nje ya jiji la Dar es Salaam.
Vita ya kupanda daraja yazidi kunoga Championship
MBIO za kuwania kupanda Ligi Kuu Bara zinazidi kunoga wakati Ligi ya Championship ikiendelea tena wikiendi hii, na kesho Jumapili zitapigwa mechi saba na moja Jumatatu kuhitimisha raundi ya 19,…
Wosia wa Pengo mahali atakapozikwa
Huenda Kardinali Polycarp Pengo (82), akazikwa Pugu, jijini Dar es Salaam, eneo alilowahi...
#VIDEO: Mchungaji Rose Masesa, dada mkubwa wa Tundu Lissu, akifanya maombi maalumu ndani ya chumba cha Mahakama, muda mfupi kabl…
#VIDEO: Mchungaji Rose Masesa, dada mkubwa wa Tundu Lissu, akifanya maombi maalumu ndani ya chumba cha Mahakama, muda mfupi kabla ya kuanza kwa usikilizwaji wa kesi ya uhaini inayomkabili mdogo…
ACB targets 90pc digital services
DAR ES SALAAM: AKIBA Commercial Bank (ACB) plans to raise digital service delivery to 90 per cent by year-end, up from 79 per cent, advancing its broader digital transformation strategy.…
#HABARI: Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe
#HABARI: Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde, amewahakikishia wakulima nchini kuwa Wizara ya Kilimo itaendelea kusimamia kwa ufanisi utekelezaji wa miradi yote iliyoahidiwa na Serikali, ikiwemo miradi ya umwagiliaji,…
MCB secures 9bn/- loan for SMEs
DAR ES SALAAM: MWALIMU Commercial Bank (MCB) received a 9bn/- loan from Netherlands-based social investor Oikocredit to boost liquidity and expand SME lending. Arranged via Africapital with Noblestride Capital as…
BRELA trains youths on business formalisation
DAR ES SALAAM: THE Business Registrations and Licensing Agency (BRELA) intensified efforts to equip young entrepreneurs with business formalisation skills, holding training for College of Business Education students to boost…
HABARI: Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Thamini Uhai limezindua mradi wa Mjamzito na Mtoto Salama wenye thamani ya Dola …
HABARI: Serikali kwa kushirikiana na Shirika la Thamini Uhai limezindua mradi wa Mjamzito na Mtoto Salama wenye thamani ya Dola za Marekani Milioni 12.15, unaolenga kupunguza vifo vya mama na…
Lina Tour Pro-Am 2026 set to tee off at Lugalo Golf Club
DAR ES SALAAM: THE much-anticipated Lina Professional Golfers (PG) Tour (Pro-Am) 2026 is officially set to tee off from 26th to 29th March at the Tanzania People’s Defence Forces (TPDF)…
Simba’s Nangu out long-term as Bajaber nears return
DAR ES SALAAM: SIMBA centre-back Wilson Nangu has undergone successful surgery in South Africa after suffering a serious Achilles tendon injury during the CAF Champions League clash against Espérance Sportive…
TRA combines football, revenue mobilisation
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Revenue Authority (TRA) has called on sports clubs to act as ambassadors in raising awareness among Tanzanians on the importance of voluntarily paying taxes, describing…
CRDB expands Mwanza youth livelihood investments
MWANZA: CRDB Bank Foundation is expanding youth livelihood investments in Mwanza to strengthen productive capacity, support sustainable enterprises, and improve income generation for organised youth groups across the region. The…
CRDB expands Mwanza youth livelihood investments
MWANZA: CRDB Bank Foundation is expanding youth livelihood investments in Mwanza to strengthen productive capacity, support sustainable enterprises, and improve income generation for organised youth groups across the region. The…
Yanga coach wants improvement
DAR ES SALAAM: YOUNG Africans Head Coach Pedro Goncalves praised his side for securing progression to the CRDB Federation Cup Round of 32 but insisted his players must raise their…
PPRA steps up drive to empower special groups in public procurement
DODOMA: THE Public Procurement Regulatory Authority (PPRA) has intensified efforts to ensure special groups including women, youth, persons with disabilities and the elderly secure a fair share of opportunities in…
NEMC yakabidhiwa maabara tembezi ya kisasa kukagua mazingira
Mradi wa EMA ulianza Juni 2020 na unatarajiwa kukamilika Juni 2026, ukiwa na lengo la kujenga...
Personal data protection in the financial sector and mobile services
NOT long ago, sending money meant standing in a long queue at the bank or handing cash to a bus driver with instructions to deliver it to a relative in…
Optician urges routine eye screening
BUKOBA: LACK of regular medical checkups and environmental pollution have been cited as major factors contributing to the increase in eye problems facing most Tanzanians. The revelation was made yesterday…
Tanzanian football has reason to celebrate
DAR ES SALAAM: CONGRATULATIONS are due to Young Africans SC, Simba SC, Azam FC and Singida Black Stars FC for their impressive showing in this season’s CAF inter-club competitions. Seeing…
Healthcare providers urged to conduct quality assessments
DAR ES SALAAM: HEALTHCARE providers and facilities across the country have been urged to regularly assess the quality of services they offer in order to improve service delivery and meet…
Kadinali Pengo alikuwa zaidi ya kiongozi wa kanisa
DAR ES SALAAM; Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo aliyefariki dunia jana Februari 19, 2026, alikuwa zaidi ya kiongozi wa Kanisa; alikuwa sauti ya dhamiri, mwalimu wa maadili na alama ya utulivu…
Mbunge wa UDA Adai Edwin Sifuna Alitaka Wadhifa wa Waziri wa Usalama wa Ndani katika Serikali
Mbunge wa Mathira Eric Wamumbi anadai kuwa msimamo mkali wa Seneta Edwin Sifuna dhidi ya Rais William Ruto ni kwa sababu alikosa kazi ya Uwaziri katika serikali pana
Councils warned on climate delivery
DODOMA: THE Deputy Permanent Secretary in the Prime Minister’s Office – Regional Administration and Local Government (PO-RALG), Mr Sospeter Mtwale, has called on regions and councils to ensure strict performance,…
Miriam Odemba: Ulemavu sio mwisho wa ndoto
DAR ES SALAAM: ULEMAVU haumanishi kuwa unaweza kushindwa kutimiza ndoto zako msingi mkubwa ni kuwa na malengo, kazi na juhudi, anasema Mwanamitindo nguli Miriam Odemba. Odemba amesema hayo leo Februari…
Rigathi Gachagua, mkewe washerehekea siku ya kuzaliwa ya mwanao kwa karamu kubwa
Familia ya Rigathi Gachagua ilisherehekea siku ya kuzaliwa ya Dkt Keith huko Carnivore Simba Salon, Nairobi. Jioni yao ilijaa upendo, msisimko, na vyakula vitamu.
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55….FEBRUARI 20, 2026
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55....FEBRUARI 20, 2026
Mtoto wa Mugabe mbaroni kwa tuhuma za kumpiga risasi mtunza bustani wake
Msemaji wa Polisi wa Gauteng, Dimakatso Nevhuhulwi amesema wamepata ganda la risasi...
#HABARI: Waziri wa Usalama nchini Kenya Kipchumba Murkomen ameibua wasiwasi kuhusu mabomu ya machozi kupatikana mikononi mwa rai…
#HABARI: Waziri wa Usalama nchini Kenya Kipchumba Murkomen ameibua wasiwasi kuhusu mabomu ya machozi kupatikana mikononi mwa raia, akionya kuwa hali hiyo inaakisi kusambaa kinyume cha sheria kwa bunduki na…
‘Mawakala ajira binafsi zingatieni mwongozo’
DAR ES SALAAM: Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu amewataka mawakala binafsi wa ajira kuzingatia mwongozo wa uratibu wa ajira za nje ya…
Bintiye Ong’ondo Were amkumbuka babake katika ujumbe wa kugusa moyo
Mbunge wa Kasipul Ong'ondo Were aliuawa kikatili Aprili 2025, kupitia mtutu wa bunduki. Familia yake bado inaomboleza kifo chake, ikikumbuka urithi wake na upendo.
Stanbic, Uwezo wazindua maktaba 45 shule za msingi Njombe
Mpango huo unalenga pia kuimarisha ufuatiliaji na uungaji mkono wa elimu ya msingi kwa watoto...
Wanakijiji walivyokimbilia kuchimba dhahabu iliyokupatikana karibu na zizi la ng’ombe
Idara ya madini ya Afrika Kusini, imelaani uchimbaji uliofanyika wiki hii katika makaazi ya Springs eneo la Gugulethu, na kusema ni kinyume cha sheria na inaharibu mazingira.
Cardinal Pengo: A pillar of the Catholic church in Tanzania
DAR ES SALAAM: HIS Eminence, Cardinal Polycarp Pengo, was a Tanzanian prelate of the Catholic Church who served as Archbishop of Dar es Salaam and became one of Africa’s most…
Miaka 20 ya Mwasiti kwenye Bongofleva, kuna haya usiyoyajua…
Kati ya wanamuziki wa mwanzo kabisa kutoka chini ya usimamizi wa Tanzania House (THT), ni...
Majeshi ya majini ya Iran, Afrika Kusini na Sri Lanka kushirikiana usalama baharini
Kamanda wa Jeshi la Wanamaji wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza udharura wa ushirikiano kati ya vikosi vya majini vya Iran na vile vya Afrika Kusini na Sri Lanka…
Mauzo ya nje ya kilimo ya Iran yaongezeka, asilimia 85 ya chakula ni uzalishaji wa ndani
Waziri wa Jihadi ya Kilimo wa Iran ametangaza ongezeko kubwa la mauzo ya nje ya kilimo hapa nchini hadi dola bilioni nane na kutangaza kwamba asilimia 85 ya usalama wa…
Russia yakanusha madai ya kuwaajiri Wakenya katika vita vya Ukraine
Russia imekanusha madai kwamba inawaajiri Wakenya kupigana vitani nchini Ukraine, kufuatia ripoti za Huduma ya Kijasusi ya Kitaifa ya Kenya kwamba zaidi ya Wakenya 1,000 kwa sasa wanapigana upande wa…
Zaidi ya Wapalestina na Waarabu 9,300 wanashikiliwa mateka katika magereza ya Israel
Klabu ya Wafungwa wa Palestina imetangaza kuwa, zaidi ya mateka na wafungwa 9,300 wa Palestina na Kiarabu wanashikiliwa katika magereza ya utawala ghasibu wa Israel na wamekuwa wakikabiliwa na sera…