Kumbe maisha ya Zaiylissa yamekuwa hivi baada ya kuachana na Manara
Msanii wa Bongo Movies, Zaiylissa amezungumzia maisha yake baada ya kuachana na aliyekuwa mume...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amewahakikishia wananchi kuwa jeshi hilo limejipanga kikamilifu kuhakikish…
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amewahakikishia wananchi kuwa jeshi hilo limejipanga kikamilifu kuhakikisha amani na usalama wakati wa uchaguzi mkuu. Amesema wananchi wanapaswa kwenda kupiga kura…
Mgombea Urais wa chama cha ADA-TADEA Georges Bussungu ameahidi kuleta mabadiliko katika sekta ya uchumi na teknolojia endapo ata…
Mgombea Urais wa chama cha ADA-TADEA Georges Bussungu ameahidi kuleta mabadiliko katika sekta ya uchumi na teknolojia endapo atashinda kiti cha Urais. Amesongeza kuwa atafanikiwa katika hilo kwa kuhakikisha anaondoa…
Offset akanusha kumsaliti Cardi B kwa Saweetie
Rapa maarufu, Offset amevunja ukimya kuhusu uvumi unaomhusisha na msanii Saweetie, akikanusha...
Mgombea wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu ameahidi kuwa na Bunge litakalokuwa na nguvu ya kuiwajibisha serik…
Mgombea wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu ameahidi kuwa na Bunge litakalokuwa na nguvu ya kuiwajibisha serikali atakayoiunda endapo atafanikiwa kushinda Urais mwaka huu. Mwalimu ametoa ahadi…
#HABARI: Balozi wa Uganda nchini Tanzania Mh
#HABARI: Balozi wa Uganda nchini Tanzania Mh. Anne Katusiime Kageye, katika ofisi ndogo ya Arusha, ameongoza wananchi wa nchi hiyo wanaoishi nchini Tanzania, kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa nchi…
TFF yaitwa tena mahakamani kesi ya kumfungia maisha Kocha
Mchakato usikilizwaji kesi ya madai inayolikabili Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF)...
Aliyezaa na Harmonize afunguka ya moyoni
Mwanadada Nana Shanteel aliyezaa na msanii wa Bongofleva Harmonize, amesema hawezi kumchukia...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema hali ya ulinzi na usalama nchini kuelekea uchaguzi mkuu utakaofany…
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema hali ya ulinzi na usalama nchini kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 imeendelea kuwa shwari, huku likiendelea kushirikiana na…
Mkubwa Fella awaonya mashabiki kuhusu bifu za wasanii
Meneja wa Diamond Platnumz, Mkubwa Fella, amewataka mashabiki kuacha kama yalivyo masuala ya...
Mashariki ya Kati ‘itaangamia’ bila taifa la Palestina, Mfalme wa Jordan aiambia BBC
Mfalme Abdullah II wa Jordan ameonya kuwa Mashariki ya Kati itaangamia iwapo hakutakuwa na mchakato wa amani utakaopelekea taifa la Palestina.
Polisi alivyouawa kwa kupigwa mshale nje ya lango la Ikulu Nairobi
Ni tukio linaloibua maswali nchini Kenya, baada ya mshukiwa aliyekuwa amejihami kwa upinde na...
Uhamiaji yaondoa raia wawili wa kigeni kwa kuvunja masharti ya viza
Idara ya Uhamiaji nchini imewaondosha raia wawili wa kigeni waliobainika kukiuka masharti ya...
Bunge la Kenya limepitisha sheria ya mali ya crypto ili kuimarisha uwekezaji
Wabunge wa Kenya wamepitisha mswada wa kudhibiti mali za kidijitali kama vile sarafu za siri, mbunge mkuu alisema Jumatatu.
TFF yaitwa tena mahakamani kesi ya kumfungia kocha
Mchakato usikilizwaji wa kesi ya madai inayolikabili Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), iliyofunguliwa na Kocha Liston Katabazi akihoji uhalali wa kanuni za maadili zilizotumika kumuadhibu kifungo cha maisha…
Rais wa Ushelisheli aahidi kukabidhi madaraka kwa ‘heshima’ baada ya kushindwa katika uchaguzi
Kiongozi wa upinzani Herminie, ambaye alishinda duru ya pili ya uchaguzi wa Jumamosi, alifanya mkutano na rais anayemaliza muda wake siku ya Jumatatu.
Iran: Trump hana haki ya kuzungumzia amani wakati anaisaidia Israel kuua watu kwa umati
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imejibu matamshi ya kibazazi ya Trump dhidi ya Tehran wakati alipolihutubia Bunge la Israel Knesset na imesema kuwa, Marekani ndiye nchi mzalishaji mkubwa…
Jihadul Islami yaupongeza Muqawama kwa kushikamana mpaka kuachiliwa kihistoria mateka wa Palestina
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Jihadul Islami ya Palestina imepongeza kuachiliwa huru mateka wa Palestina katika jela za kuogofya za kutokana na ushujaa wa wamamapambano wa kambi ya Muqawama…
‘Sura mpya kwa amani’ — Dunia inajibu baada ya kusaini hati rasmi ya kumaliza vita vya Gaza
Viongozi wa kimataifa wameitikia kwa furaha kusainiwa kwa mkutano wa Sharm El-Sheikh.
Harakati ya Ukombozi wa Palestina: Hakuna mazungumzo yoyote kuhusu silaha
Utawala wa Kizayuni mara kwa mara umekuwa ukipiga ngoma ya kuwapokonya silaha wananchi wa Ghaza na hilo imelifanya zaidi wakati wa vita vyake vya miaka miwili dhidi ya Ghaza, lakini…
Medvedev: Vita vitaendelea hadi taifa la Palestina litakapoundwa na kutambuliwa duniani
Rais wa zamani wa Russia, Dmitry Medvedev, amesisitizia haja ya kuundwa taifa huru la Palestina na kutambuliwa uwepo wa nchi huru ya Palestina duniani akisema kuwa, vita haviwezi kumalizika ila…
Mkutano wa G20 kuhusu mazingira waanza kufanyika nchini Afrika Kusini
Mkutano wa Tatu na G20 wa mwisho wa Kikosi Kazi cha Mazingira na Ulinzi Endelevu wa Hali ya Hewa (ECSWG) ulifunguliwa rasmi jana Jumatatu mjini Cape Town, Afrika Kusini.
Ndoto ya ushindi; mzozo mpya katika siasa za ndani za Israel baada ya makubaliano ya amani
Makubaliano ya amani ya Trump, licha ya madai ya Netanyahu kuwa ni "ushindi," yamewakasirisha Wazayuni wengi.
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Kalambo mkoani Rukwa ndugu Edfonce Kanoni, amesema endapo akichaguliwa kuwa mbunge atahakikisha…
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Kalambo mkoani Rukwa ndugu Edfonce Kanoni, amesema endapo akichaguliwa kuwa mbunge atahakikisha anaishauri Serikali kupunguza bei za pembejeo za kilimo ili kuwawezesha wakulima kulima kwa…
Mzozo wasukuma nje watu 300,000 kutoka Sudan Kusini mwaka 2025: UN
Takriban watu 300,000 wa Sudan Kusini wameikimbia nchi mwaka 2025, hasa kutokana na kuongezeka kwa migogoro, Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Kibinadamu ilisema Jumatatu.
Watu wanaoshukiwa kuwa waasi wa ADF wameua watu 19 mashariki mwa DRC
Watu wanaoshukiwa kuwa waasi wa ADF wamewauwa watu 19 katika shambulio la usiku moja mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, na kuzidisha ukosefu wa usalama katika eneo hilo lenye…
Rais wa Madagascar anachelewesha kuhutubia taifa, anasema kitengo cha jeshi kinaapa kudhibiti vyombo
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amerudisha nyuma hotuba yake ya kitaifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu, na hivyo kuzidisha sintofahamu juu ya mahali alipo baada ya siku kadhaa za maandamano…
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 14, 2025 kwenye #MorningTrumpet #utv108
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 14, 2025 kwenye #MorningTrumpet #utv108 #AzamTVUpdates
Wapiganaji wa ADF wauwa watu 19 mashariki mwa DRC
Wapiganaji wa ADF wanaohusishwa na Dola la Kiislamu wameua watu 19 mashariki mwa DRC, wakachoma nyumba na maduka, huku mamia ya wakazi wakikimbia makazi yao katika eneo la Lubero.
UM: Watu 300,000 walitoroka Sudan Kusini mnamo mwaka 2025 kufuatia mgogoro wa kivita
Takriban watu 300,000 wameikimbia Sudan Kusini tangu mwanzoni mwa mwaka 2025, huku mzozo kati ya viongozi wanaohasimiana ukitishia kuzua vita vya wenyewe kwa wenyewe, Umoja wa Mataifa unaonya. Imechapishwa: 14/10/2025…
Kauli ya Nyerere, ikulu ni mahali patakatifu, yawafikirisha wasomi
Wakati ikitimia miaka 26 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere afariki dunia, moja ya...
Asante Mwalimu Nyerere kutujengea nchi ambayo ‘yote yanawezekana’
Oktoba 29, 2025, Tanzania itafanya uchaguzi mkuu kwa mara ya sita tangu Mwalimu Nyerere...
Senegal: Kaka wa rais wa zamani Macky Sall na mkewe wameachiliwa
Baada ya siku nne chini ya ulinzi wa polisi, hatimaye kaka wa rais wa zamani wa Senegal, Macky Sall, na mkewe waachiliwa. Aliou Sall na mkewe ambao wamekuwa wakishukiwa kuwa…
DRC: Kundi la waasi wa Uganda ADF limeua watu 19 Mukondo
Kundi lenye mfungamano na Islamic State, ADF, inashtumiwa kutekeleza shambulio lililogharimlu maisha ya wayu wasiopunguwa 19 katika kijiji cha Mukondo, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia. Mauaji hayo yanayobainisha kutokuwa na…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI: …OKTOBA 14 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI: ...OKTOBA 14 2025
Trump atangaza mwisho wa vita vya Gaza
Trump aliwaita viongozi wa Kiislamu na Ulaya nchini Misri kujadili mustakabali wa Ukanda wa Gaza na uwezekano wa kupatikana kwa amani ya kudumu ya eneo hilo.
Watumiaji wa X: Hamas imehuisha jina Palestina/ Israel ndilo neno linalochukiwa zaidi duniani
Katika radiamali kwa makubaliano ya kuhitimisha vita huko Gaza, watumiaji wa mtandao wa kijamii wa "X" wamesema utawala wa Kizayuni umeshindwa kufikia malengo yake dhidi ya muqawama wa Kiislamu wa…
Trump asifu “siku kubwa kwa Mashariki ya Kati”
Donald Trump na viongozi wa Mashariki ya Kati wametia saini tamko la Gaza nchini Misri, hatua iliyopelekea kubadilishana kwa mateka na wafungwa kati ya Israel na Hamas, na kuzua matumaini…
Alichoamini Mwalimu Nyerere kuhusu elimu
Alisisitiza kuwa elimu inapaswa kumwezesha mtu kufikiri, kuwa huru katika uamuzi, na kushiriki...
Wagombea wanaotoa ahadi ambazo hazina uhalisia katika utekelezaji, Je, wanaelewa athari zake?
Wagombea wanaotoa ahadi ambazo hazina uhalisia katika utekelezaji, Je, wanaelewa athari zake?
Mtu ana elimu na maarifa kiasi gani?
Pamoja na uwepo wa methali hizi, na mifano mingine katika maisha inayotuonyesha kwamba hatujui...
Ghana: Makubaliano ya uhamiaji na Marekani yapingwa katika Mahakama ya Juu
Wakati kundi jipya la wahamiaji waliohamishwa kutoka Marekani wakiwasili mjini Accra siku ya Jumatatu, Oktoba 13, ofisi ya mawakili imewasilisha malalamiko katika mahakama ya juu zaidi ya Ghana ikitaka kusimamishwa…
China ‘kupambana hadi mwisho’ vita vya biashara na Marekani
China imesema iko tayari “kupambanaa hadi mwisho” katika vita vya kibiashara na Marekani, baada ya Rais Donald Trump kutangaza ushuru wa asilimia 100 kwa bidhaa zote za China, hatua iliyotikisa…
Ushindi kwa HAMAS: Mamia ya mateka wa Kipalestina waachiliwa huru
Mamia ya mateka wa Kipalestina wameachiliwa huru kutoka jela za Israel siku ya Jumatatu chini ya awamu ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano Gaza. Katika uamuzi wa kushangaza jeshi…
Urusi: Tutaipatia Iran silaha za kijeshi inazohitaji
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema ushirikiano wa kijeshi na Iran utaendelea "kwa mujibu wa sheria za kimataifa," hata baada ya vikwazo vya silaha vya Umoja…
Vikwazo utoaji wa elimu kidijitali shuleni, vyuoni
Kwa mujibu wa takwimu za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Watanzania wengi sasa...
Mgogoro Madagascar: Rais Rajoelina ahutubia taifa na kutoa wito wa ‘kuheshimu Katiba’
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amehutubia taifa jioni ya Jumatatu, Oktoba 13, katika matangazo ya video kwenye mitandao ya kijamii. Mkuu wa nchi, anayepingwa sana na wakazi wake na sehemu…
Zelenskiy kukutana na Trump Ijumaa kuzungumzia silaha mpya
Rais Donald Trump amethibitisha kuwa atamkaribisha Volodymyr Zelenskiy White House Ijumaa hii kujadili msaada wa kijeshi na makombora ya Tomahawk, huku Urusi ikionya kuwa hatua hiyo ni uchokozi mkubwa dhidi…
Baadhi ya ripoti: Rais wa Madagascar ametorokea Ufaransa
Baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kuwa Rais Andry Rajoelina wa Madagascar ameikimbia nchi hiyo na kuelekea Ufaransa.
Letitia James amkaidi Trump, amuunga mkono Zohran Mamdani
Mwanasheria mkuu wa New York Letitia James, aliyeshtakiwa na utawala wa Trump, ameapa kutonyamaza huku akimuunga mkono mgombea meya Zohran Mamdani, akisema haogopi mtu yeyote wala vitisho vya kisiasa.