Shambulio kaskazini magharibi mwa Nigeria: Watu 20 wameuawa, kulingana na ripoti ya usalama
Shambulio lililofanywa na wanajihadi, wanaoshukiwa kuwa wa kundi lililolengwa na mashambulizi ya anga ya Marekani mwezi Desemba mwaka uliyopita, limesababisha vifo vya watu 20 kaskazini magharibi mwa Nigeria, kulingana na…
Afrika Kusini yatangaza kuwafukuza wageni 2,745 ndani ya wiki moja
Afrika Kusini imewarejesha wageni 2,745 ndni ya wiki moja kufuatia ahadi ya rais Cyril Ramaphosa ya kukabiliana na uhamiaji haramu, Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi hiyo ametangaza siku…
Jeshi la Israel lapiga marufuku magari ya umeme ya China kwa sababu za kiusalama
Israel, mshirika wa karibu wa Marekani, imeamua kuachana na magari ya umeme ya China kwa ajili ya jeshi lake. Wiki moja tu iliyopita, Pentagon ilichapisha orodha nyeusi ya makampuni ya…
Mwendesha Mashtaka auawa katika shambulio magharibi mwa Ecuado(Ofisi ya Mwanasheria Mkuu)
Mwendesha mashtaka ameuawa siku ya Jumapili, Juni 14, katika shambulio lililotokea katika mji wa bandari magharibi mwa Ecuador, ngome ya makundi kadhaa ya biashara ya dawa za kulevya, Ofisi ya…
Mkutano wa G7 kufanyika Evian chini ya ulinzi mkali
Ufaransa inaandaa mkutano wa kilele wa G7 huko Évian kwa siku tatu, kuanzia Jumatatu, Juni 15. Jiji na viunga vyake tayari viko chini ya ulinzi mkali. Watu wapatao 14,000 wameingia…
Marekani na Iran wafikia makubaliano ya amani; Trump atangaza kufunguliwa tena kwa Hormuz
Waziri Mkuu wa Pakistan ametangaza Jumapili jioni, Juni 14, 2026, kwamba Marekani na Iran zimefikia makubaliano ya amani. Sherehe rasmi ya utiaji saini itafanyika siku ya Ijumaa, Juni 19, nchini…
Katavi wanufaika huduma za afya za kibingwa bure
KATAVI; Wananchi wa Mkoa wa Katavi wamepongeza hatua ya Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Empower Society Build the Nation (ESBN) kuweka kambi maalumu ya huduma za afya bure, wakisema imewasaidia…
Tanzania clears 370 hurdles as private sector takes bigger role in economy
DAR ES SALAAM: TANZANIA has eliminated more than 370 regulatory barriers and introduced tax measures aimed at making it easier for businesses to operate, as the government prepares to rely…
Misri, Senegal, zaondolewa nyota Kombe la Dunia
Timu za taifa za Misri na Senegal, zimelazimika kuondoa nyota zilizokuwa katika jezi zao baada...
Kisa sare na Morocco, Vinicius alalamikia nyasi
Mshambuliaji wa Brazil, Vinicius Junior, amelalamikia hali ya mazingira katika mashindano...
SGR kupunguza foleni ya malori Dar, kusafirisha makontena Dodoma
Zaidi ya makontena 50 kwa siki yanatarajiwa kuanza kusafirishwa kutoka Bandari ya Dar es Salaam...
Dk Msonde atoa wito mafundi ujenzi kuimarisha usalama wa majengo
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dk Charles Msonde, amewataka mafundi ujenzi nchini...
Simba yakoleza mbio za ubingwa, Yanga ikiongezewa presha
USHINDI wa Simba wa mabao 2-1, dhidi ya Pamba Jiji umezidi kuongeza presha ya mbio za ubingwa msimu huu na watani zake wa jadi Yanga, kufanya tofauti ya pointi kuendelea…
Zanzibar yasaini makubaliano kuimarisha elimu jumuishi
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, imesaini makubaliano ya ushirikiano na Shirikisho...
Ridhiwani awataka Wahitimu Kuchangamkia Ajira 45,000 za Serikali
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani...
Taswira hali ya vita na mjadala wa “ushindi” unaotajwa na Kyiv
Utawala wa Kyiv unaendelea kukosolewa kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kuficha hali halisi ya...
Ado ataka kizazi kipya kuwa chachu mabadiliko ya jamii
Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amewataka vijana wapya waliojiunga na chama hicho...
MSIMAMO: Kizingiti ni mbili tu pale kileleni
MSIMAMO: Kizingiti ni mbili tu pale kileleni. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #Msimamo #Standing #LeagueTable #ImenogaZaidi (Feed generated with FetchRSS)
HAPA NA PALE KUTOKA ARUSHA- 14 JUNI- 2026- BODABODA WALALAMIKA ONGEZEKO LA VIBAKA
HAPA NA PALE KUTOKA ARUSHA- 14 JUNI- 2026- BODABODA WALALAMIKA ONGEZEKO LA VIBAKA (Feed generated with FetchRSS)
Serikali yatoa wito uchangiaji damu wa hiari
Serikali imewahimiza Watanzania kujitokeza kwa wingi na mara kwa mara kuchangia damu ili...
#NBCPL: Wenyeji wote wameondoka na kicheko
#NBCPL: Wenyeji wote wameondoka na kicheko. FT: Simba SC 2-1 Pamba Jiji Ilikuwa LIVE #AzamSports1HD FT: Tanzania Prisons 3-1 Dodoma Jiji Ilikuwa LIVE #AzamSports3HD Kesho Juni 15, 2026, ni KMC…
Tazama: Jinsi makomando wa Uingereza walivyoikamata meli ya mafuta ya Urusi
Vikosi vya Uingereza viliingia meli ya mafuta ya Urusi inayohusishwa na mtandao wa meli za kivuli katika Mfereji wa Kiingereza.
#NBCPL: Ni Libasse Gueye ambaye anawainua Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangunu na Afisa Mtendaji Mkuu, Zubeda Sakuru
#NBCPL: Ni Libasse Gueye ambaye anawainua Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangunu na Afisa Mtendaji Mkuu, Zubeda Sakuru. 80’: Simba SC 2-1 Pamba Jiji LIVE #AzamSports1HD #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #SimbaVsPambaJiji…
Simba yaongeza presha, mbio za ubingwa zikikolea
Ushindi wa Simba wa mabao 2-1, dhidi ya Pamba Jiji umezidi kuongeza presha ya mbio za ubingwa...
Watamani taasisi maalumu itakayoshughulikia AI Tanzania
Licha ya uandaaji wa sera, miongozo na kanuni za teknolojia ya akili unde (AI) Tanzania...
Nchemba assures sustained state support for religious institutions
SINGIDA: PRIME Minister Dr Mwigulu Nchemba has pledged sustained government support for religious freedom, saying faith-based institutions remain central to shaping national ethics, social stability, and development outcomes. He spoke…
#NBCPL: Mnyama anatabasamu ndani ya dimba la KMC Complex
#NBCPL: Mnyama anatabasamu ndani ya dimba la KMC Complex. 75’: Simba SC 2-1 Pamba Jiji LIVE #AzamSports1HD #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #SimbaVsPambaJiji #SimbaSC #PambaJiji #SimbaPamba (Feed generated with FetchRSS)
EAC, Germany seal €8mn deal to boost Ebola, Mpox defences
ARUSHA: The East African Community (EAC) and Germany have secured €8 million in new funding aimed at strengthening regional preparedness and response to Ebola, Mpox, and other fast-moving infectious disease…
Sh24 bilioni kukabili Ebola, Mpox Afrika Mashariki
Serikali ya Ujerumani imetoa msaada wa Euro 8 milioni (takribani Sh24.2 bilioni) kwa ajili ya...
TRC restores five MGR locomotives, cuts maintenance costs
MOROGORO: The Tanzania Railways Corporation (TRC) has restored five MGR locomotive heads at its Morogoro workshop, a development expected to enhance railway operations and reduce reliance on costly external maintenance…
German diplomat sees EA tourism future in sustainability, regional cooperation
ARUSHA: GERMANY’S Chargé d’Affaires in Tanzania, Manuel Müller, has said the future growth of East Africa’s tourism industry will depend on stronger sustainability practices and deeper regional cooperation across the…
Serikali kutumia Sh700 milioni kujenga soko la kisasa Mamsera, Rombo
Serikali imeanza ujenzi wa soko la kisasa la Mamsera katika Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro,...
Sh700 milioni kuinua uchumi wa wananchi, kuokoa vyanzo vya maji
Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, imepokea Sh700 milioni kwa ajili ya kuviwezesha...
Hizi hapa fursa magari ya umeme kuanza kuja Tanzania
Wakati Serikali ikipendekeza punguzo la kodi katika magari yanayotumia umeme, wadau wa sekta ya...
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikiria Filbert Philimon (23) mwanachuo wa Chuo kikuu cha St
#HABARI: Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikiria Filbert Philimon (23) mwanachuo wa Chuo kikuu cha St. John's aliyehusika katika tukio la kuchoma chumba moto na kusababisha vifo vya watu…
Nsekela atunukiwa Shahada ya Uzamivu, ataja umuhimu wa utawala bora kwenye benki
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk Abdulmajid Nsekela ametunukiwa Shahada ya Uzamivu...
Absa, WWF wapanda miti 1,300 Pugu Kazimzumbwi
Wafanyakazi wa Benki ya Absa Tanzania, kwa kushirikiana na Shirika la Uhifadhi wa Mazingira...
Ndani ya boksi: Konde, Mbosso ni uhuru wa manayani?
Mishe zimekuwa ngumu kinoma. Mtaa umekula ganzi kimyaa, ni kama ‘muvi’ za James Bond. Kila kitu...
Kenya kuiwakilisha Afrika mkutano wa G7 Ufaransa, yabeba ajenda muhimu
Mwaliko wa Kenya kushiriki mkutano wa kundi la nchi saba tajiri duniani (G7) unaoanza Jumatatu,...
Tanzania tables three-year strategy to eliminate maternal and child mortality
DAR ES SALAAM: THE Permanent Secretary in the Ministry of Health, Dr Seif Shekalaghe, has outlined a three-year strategy to be led by President Dr Samia Suluhu Hassan, in her…
Vita na Iran vimefichua vipi mwanzo wa kudhoofika nguvu ya kimkakati ya Marekani?
Vita wakati mwingine huweka wazi washindi wake wa kweli na walioshindwa sio kwenye uwanja wa vita, bali katika vyumba vya kifikra na vituo vya kimkakati.
Jenerali wa IRGC: Iran inajitayarisha kujibu vitendo vya uchokozi
Kamanda mwandamizi wa Jeshi la Iran laWalinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema vikosi vya ulinzi vya Iran viko tayari kikamilifu kukabiliana na hatua yoyote ya uadui, akionya maadui kwamba…
Kiongozi Muadhamu atoa msamaha kwa wafungwa 139 waliohukumiwa adhabu ya kifo Iran
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Mojtaba Khamenei, ameidhinisha pendekezo la kubadilisha hukumu za wafungwa 139 waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo na mahakama mbalimbali nchini.
Wapiganaji wa Hizbullah wakabiliana na jeshi vamizi la Israel kusini mwa Lebanon
Wapiganaji wa harakati ya mapambano ya Hizbullah wamekabiliana na vikosi vya Israel vilipokuwa vikijaribu kupenya katika maeneo ya kusini mwa Lebanon, wakilenga mikusanyiko ya wanajeshi na magari ya kijeshi kwa…
Wapiganaji wa Hizbullah jeshi vamizi la Israel kusini mwa Lebanon
Wapiganaji wa harakati ya mapambano ya Hizbullah wamekabiliana na vikosi vya Israel vilipokuwa vikijaribu kupenya katika maeneo ya kusini mwa Lebanon, wakilenga mikusanyiko ya wanajeshi na magari ya kijeshi kwa…
Jenerali mstaafu Nigeria afariki akiwa ametekwa, rais aapa kuchukua hatua kali
Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ameapa kuangamiza wale aliowataja kuwa ni “maadui wakubwa” wa nchi hiyo baada ya jenerali mstaafu wa jeshi kufariki dunia akiwa mikononi mwa watekaji nyara.
Guterres akaribisha makubaliano ya amani kati ya Marekani na Iran
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amekaribisha tangazo kwamba Marekani na Iran zimefikia makubaliano ya amani yanayojumuisha usitishaji wa mapigano wa haraka na wa kudumu, kufunguliwa tena kwa…
UN: Mashambulizi ya Israel nchini Lebanon yanatatiza juhudi za amani
Mfululizo wa mashambulizi yaliyofanywa katika vitongoji vya kusini mwa mji wa Beirut siku wa kuamkia leo Jumapili umeonesha kwa mara nyingine hali tete ya mazungumzo ya amani yanayoendelea kuhusu Mashariki…
Latra yaingilia kati mgomo wa madereva wa malori
Hatimaye Serikali imeingilia kati vuguvugu la baadhi ya madereva wa malori wanaotishia...