“Ili kuwe na amani lazima haki itamalaki, na hii ni kazi ya viongozi wote…wawe watenda haki, wasiopenda kuvuruga wananchi”-Bal…
"Ili kuwe na amani lazima haki itamalaki, na hii ni kazi ya viongozi wote...wawe watenda haki, wasiopenda kuvuruga wananchi"-Balozi Mstaafu Brigedia Jenerali Francis Bernard Mndolwa #DAKIKA45 Powered by #MCHEZOSUPA JINSI…
“Nyote mtakubaliana nami kwamba Hayati Magufuli alikuwa kiongozi shupavu, mzalendo na mwenye maono ya kimkakati na ya kimapinduz…
"Nyote mtakubaliana nami kwamba Hayati Magufuli alikuwa kiongozi shupavu, mzalendo na mwenye maono ya kimkakati na ya kimapinduzi, alikuwa ni mwalimu mzuri na mlezi mahiri... ndiyo maana kazi tuliyoianza awamu…
“Inatakiwa kiongozi aliyechagua sera zile azisimamie, azieleze, wananchi wazielewe…sasa wako viongozi wanabababisha tu uongozi…
"Inatakiwa kiongozi aliyechagua sera zile azisimamie, azieleze, wananchi wazielewe...sasa wako viongozi wanabababisha tu uongozi...wakati mwingine wananchi wanapata matatizo... yaleyale yanazungumzwa na chama hiki, yaleyale yanazungumzwa na chama kingine...wananchi wanachanganyikiwa.."-Balozi Mstaafu…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 13, OKTOBA 2025
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 13, OKTOBA 2025
Trump amshukuru Erdogan kwa juhudi zake za kuhakikisha usitishaji mapigano Gaza
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, "hajawahi kutuangusha," akimtaja kama "mtu wa kipekee" na akamshukuru kwa urafiki wao wa muda mrefu.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Iramba mkaoni Singida imewatahadharisha madereva wa bodaboda na baj…
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilayani Iramba mkaoni Singida imewatahadharisha madereva wa bodaboda na bajaji kutotumiwa na watu wenye nia ovu katika kipindi cha uchaguzi kwa kutoa…
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw
#HABARI: Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Chrispin Chalamila, amekabidhi msaada wa mashine maalum mbili za kutunzia watoto wanaozaliwa kabla ya wakati, katika Hospitali…
Makubaliano ya kusitishwa kwa vita kati ya Israel na kundi la Hamas yaliyosimamiwa na Rais wa Marekani, Donald Trump yamezaa mat…
Makubaliano ya kusitishwa kwa vita kati ya Israel na kundi la Hamas yaliyosimamiwa na Rais wa Marekani, Donald Trump yamezaa matunda baada ya pande hizo mbili kubadilishana mateka kama inavyoelezwa…
Cape Verde yaandika historia kwa kufuzu Kombe la Dunia 2026 kwa mara ya kwanza
Cape Verde iliichapa Eswatini mabao 3-0 siku ya Jumatatu na kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2026, hatua inayoiwezesha kushiriki mashindano hayo ya kimataifa kwa mara ya kwanza kabisa katika…
Ikiwa leo Oktoba 13, 2025 dunia inaadhimisha Siku ya Kujikinga na Majanga, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahimiza Watanzania ku…
Ikiwa leo Oktoba 13, 2025 dunia inaadhimisha Siku ya Kujikinga na Majanga, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahimiza Watanzania kujenga utamaduni wa kujihami dhidi ya majanga kwa kufanya maandalizi thabiti ikiwemo…
Wakazi wa Mbagala na maeneo ya karibu wanaotumia barabara kuu ya mikoa ya kusini wameanza kushuhudia utekelezaji wa mradi wa mab…
Wakazi wa Mbagala na maeneo ya karibu wanaotumia barabara kuu ya mikoa ya kusini wameanza kushuhudia utekelezaji wa mradi wa mabasi ya mwendo wa haraka baada ya leo Oktoba 13,…
Majalio Kyara anayegombea Urais kwa tiketi ya chama cha Sauti ya Umma (SAU) amesema endapo atafanikiwa kushinda nafasi hiyo atah…
Majalio Kyara anayegombea Urais kwa tiketi ya chama cha Sauti ya Umma (SAU) amesema endapo atafanikiwa kushinda nafasi hiyo atahakikisha anaboresha mitaala ya elimu ili iweze kuendana na mahitaji ya…
Serikali imeendelea kuwasisitiza Watanzania kutumia haki ya kikatiba ya kuwachagua viongozi wa ngazi mbalimbali nchini ikiwemo n…
Serikali imeendelea kuwasisitiza Watanzania kutumia haki ya kikatiba ya kuwachagua viongozi wa ngazi mbalimbali nchini ikiwemo ngazi ya Rais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Ikiwa yamesalia majuma mawili…
Chama cha NCCR Mageuzi katika kampeni zake za urais kimewasisitiza wapiga kura kutanguliza maslahi ya kuzingatiwa kwa amani ya n…
Chama cha NCCR Mageuzi katika kampeni zake za urais kimewasisitiza wapiga kura kutanguliza maslahi ya kuzingatiwa kwa amani ya nchi wakati huu wa kampeni, wakati wa uchaguzi na baada ya…
🔴AIBU YAKO: HEBU ONA BODABODA WASIVYOFUATA SHERIA ZA BARABARANI, OKTOBA 13, 2025
🔴AIBU YAKO: HEBU ONA BODABODA WASIVYOFUATA SHERIA ZA BARABARANI, OKTOBA 13, 2025
“Tunataka hata sisi mtu mwenye ‘Masters’ akaongoze Kata, ndio tutakuwa tumefikia kwenye climax ya maendeleo yetu, tusiwe kama ku…
"Tunataka hata sisi mtu mwenye 'Masters' akaongoze Kata, ndio tutakuwa tumefikia kwenye climax ya maendeleo yetu, tusiwe kama kule nyuma kazi fulan Fulani ni za watu wa elimu Fulani"-Balozi Mstaafu…
WAKULIMA HABARI:Katika kuhakikisha kuwa zao la kahawa aina ya Arabika kutoka Nyanda za juu Kusini linaendelea kufanya vizuri kwe…
WAKULIMA HABARI:Katika kuhakikisha kuwa zao la kahawa aina ya Arabika kutoka Nyanda za juu Kusini linaendelea kufanya vizuri kwenye soko la kimataifa, wakulima wa kahawa wilayani Mbozi mkoani Songwe, wameanza…
Huyu ndiye Patrick Mabedi, msaidizi mpya wa Folz Yanga
KLABU ya Yanga, Oktoba 13, 2025 ilimtambulisha Patrick Mabedi kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo chini ya Mjerumani, Romain Folz. Mabedi ametua Yanga kuchukua nafasi ya Manu Rodriguez, aliyewasilisha barua…
Yanga yashusha Kocha mpya
Klabu ya Yanga, imemtangaza Patrick Mabedi raia wa Malawi kuwa kocha msaidizi wa kikosi hicho kinachoongozwa na Mjerumani, Romain Folz.
Cape Verde yafuzu Kombe la Dunia, Arajiga akisimama kati
Cape Verde limekuwa taifa la sita Afrika kukata tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Dunia...
Michael Owen awakingia kifua Mo Salah na Isak
Staa wa zamani wa Ligi Kuu England, Michael Owen anaamini masupastaa Mohamed Salah na Alexander...
Zidane yupo tayari kurudi kazini
Zinedine Zidane amefunguka na kubainisha kwamba sasa yupo tayari kurudi mzigoni.
Zubimendi afichua alivyotua Arsenal, amtaja Arteta
Kiungo, Martin Zubimendi amefichua kwamba simu moja tu aliyopigiwa na kocha Mikel Arteta...
#HABARI: Wakati uchaguzi Mkuu ukikaribia Viongozi na waumini wa dini ya Kiislam mkoani Arusha, wamefanya ibada maalum…
#HABARI: Wakati uchaguzi Mkuu ukikaribia Viongozi na waumini wa dini ya Kiislam mkoani Arusha, wamefanya ibada maalum ya kuliombea Taifa, huku wakisisitiza suala la Watanzania kuendelea kuimarisha amani na pia…
Antony afichua alimbembelezwa na Cunha asiondoke Man United
Winga wa Real Betis, Antony amefichua kwamba Mbrazili mwenzake, Matheus Cunha alimbebeleza sana...
#HABARI:Katika Kuunga Mkono Juhudi za Serikali kwenye Kada ya Afya, Jeshi la Kujenga Taifa Kupitia Kampuni yake ya Ujenzi (SUMAJ…
#HABARI:Katika Kuunga Mkono Juhudi za Serikali kwenye Kada ya Afya, Jeshi la Kujenga Taifa Kupitia Kampuni yake ya Ujenzi (SUMAJKT Construction Co. Ltd) limeendelea kutekeleza miradi mbalimbali nchini, ukiwemo Ujenzi…
#HABARI:Kundi la tembo limevamia mashamba ya wakulima wa mpunga na miwa katika skimu ya umwagiliaji ya Mkula mkoani Morogoro,…
#HABARI:Kundi la tembo limevamia mashamba ya wakulima wa mpunga na miwa katika skimu ya umwagiliaji ya Mkula mkoani Morogoro, na kuharibu hekari 50 za mpunga likiwemo shamba la majaribio ya…
🔴DAKIKA 45 NA BALOZI MSTAAFU BRIGRDIA JENERALI FRANCIS MNDOLWA
🔴DAKIKA 45 NA BALOZI MSTAAFU BRIGRDIA JENERALI FRANCIS MNDOLWA
Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Dkt
Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 13, 2025 amefika Chato, mkoani Geita, nyumbani…
Viongozi wa Marekani, Uturuki, Misri, na Qatar wamesaini makubaliano yanayositisha vita vya Gaza
Rais wa Marekani Trump anapongeza "siku kubwa kwa Mashariki ya Kati" wakati yeye na viongozi wa eneo hilo wakitia saini azimio la kusitisha mapigano Gaza baada ya mabadilishano ya wafungwa…
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Majalio Kyaraamesema endapo ataingia madarakani atarejesha uzalishaji …
#HABARI: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Majalio Kyaraamesema endapo ataingia madarakani atarejesha uzalishaji wa zao la ngano, uliokuwa unafanyika katika shamba kubwa la ngano la Bassotu lililoko katika…
Hotel Verde inayomilikiwa na kampuni za Said Salim Bakhresa (SSB) imeingia miongoni mwa vivutio 20 bora vya utalii duniani (Worl…
Hotel Verde inayomilikiwa na kampuni za Said Salim Bakhresa (SSB) imeingia miongoni mwa vivutio 20 bora vya utalii duniani (World Travel Award 2025) kutoka Tanzania vinavyowania Tuzo za Dunia za…
Mgombea ubunge wa jimbo la Kibamba Anjellah Kairuki ameahidi kushughulikia changamoto ya usafiri kwa wananchi wa jimbo hilo ikiw…
Mgombea ubunge wa jimbo la Kibamba Anjellah Kairuki ameahidi kushughulikia changamoto ya usafiri kwa wananchi wa jimbo hilo ikiwemo kupata ufumbuzi wa kuwekwa kwa taa za barabarani katika maeneo korofi…
Tani 10,000 za Mbolea ya kukuzia mazao kwa ajili ya msimu wa kilimo wa 2025 – 2026 zimeshushwa bandarini jijini Dar es salaam na…
Tani 10,000 za Mbolea ya kukuzia mazao kwa ajili ya msimu wa kilimo wa 2025 – 2026 zimeshushwa bandarini jijini Dar es salaam na kuanza kwa kusambazwa kwa wakulima nchini…
Simulizi ya usafiri wa mwendokasi Mbagala ikiwa ni siku ya pili
Wakati usafiri wa mabasi yaendayo haraka (Mwendokasi) kwenye njia ya Mbagala ikiingia siku ya...
Roman Folz aletewa msaidizi, aanza kazi
Klabu ya Yanga imemtangaza rasmi, Patrick Mabedi kuwa Kocha Msaidizi wa timu hiyo, akijiunga na benchi la ufundi la Wananchi akiwa na uzoefu mkubwa katika soka la Afrika. Mabedi, raia…
Sh100 bilioni kukarabati, kupanua Hospitali ya Mnazimmoja, vikwazo vyatajwa
Dola za Marekani 43 milioni (zaidi ya Sh105 bilioni) zitatumika katika mradi wa ujenzi, upanuzi...
Mgombea ubunge wa jimbo la Chaani, Ayoub Mohamed Mahmoud na mgombea uwakilishi wa jimbo hilo Juma Usonge Hamad wameahidi kuongez…
Mgombea ubunge wa jimbo la Chaani, Ayoub Mohamed Mahmoud na mgombea uwakilishi wa jimbo hilo Juma Usonge Hamad wameahidi kuongeza kasi ya maendeleo pamoja na upatikanaji wa huduma bora za…
Matumizi ya simu, tablet na karatasi nyeupe yanavyoathiri macho kwa watoto
Wakati matumizi ya karatasi nyeupe, tablet na simu za mkononi yakitajwa kuwa hatari kwa afya ya...
Yanga yatangaza kocha mwingine mpya
Mabedi ana leseni daraja A ya Ukocha ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ambayo...
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 13, 2025 – PINGAMIZI LA JAMHURI DHIDI YA LISSU LATUPWA
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 13, 2025 - PINGAMIZI LA JAMHURI DHIDI YA LISSU LATUPWA
Chanzo cha maji Mto Kiwira kuhudumia watu 1.4 milioni
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka huu, Ismail Ussi amesema utekelezaji wa miradi...
Waandishi waeleza mikakati ya kutumia mafunzo ya UTPC
Waandishi wa habari kutoka mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wameeleza dhamira yao ya kutumia...
Alichokisema Wenje baada ya kutimkia CCM
Amesema madai ya Chadema kuzuiwa na Serikali kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29,2025 siyo ya...
DC Rombo aonya walimu kufitiniana
Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala, amewataka walimu wilayani humo kuacha tabia ya...
Othman aahidi kukomesha kiburi, jeuri cha watendaji wa Serikali
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo Othman Masoud Othman amesema akiingia...
Mwalimu awataka Liwale wasikubali korosho yao kuchezewa
Mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalim, amewataka wananchi wa...
Ukraine na Marekani kujadili kuhusu ulinzi
Maafisa wa ngazi za juu wa Ukraine na Marekani watajadili kuhusu ulinzi wakati Urusi imeongeza mashambulizi dhidi ya miundo mbinu ya nishati ya Ukraine
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha ustahimilivu wa taifa dhidi …
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti za kuimarisha ustahimilivu wa taifa dhidi ya majanga, kupitia utekelezaji wa sera, sheria, mikakati na miradi mbalimbali. Amesema kuwa…