Tiba za jadi zinavyoongoza licha ya mageuzi ya hospitali za kisasa-3
Wakati Watanzania wengi bado wanategemea tiba asili, Tanzania inapiga hatua kubwa katika ajenda...
Gabon: Mamlaka yazima mitandao ya kijamii hadi hatu nyingine itakapochukuliwa
Mamlaka Kuu ya Mawasiliano ya Gabon (HAC) imeamua Jumanne jioni, Februari 17, 2026, kuzima mara moja mitandao ya kijamii kote nchini hadi hatua nyingine itakapochukuliwa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji…
Droni zatumika katika vita vya mashariki ya DRC
Kama ilivyo huko Ukraine, Sudan na kwenye eneo la Sahel, matumizi ya ndege zisizo na rubani yameendelea kuonesha nguvu ya misuli ya mataifa na sasa hivi kwenye eneo la mashariki…
Zelenskiy asema Trump anamshinikiza kupita kiasi
Mpango wowote unaoitaka Ukraine kutoa eneo ambalo Urusi haijaliteka katika eneo la mashariki mwa Donbas utakataliwa na Waukraine ikiwa utapigiwa kura ya maoni.
Kenya: Wafanyikazi katika viwanja vya ndege wasitisha mgomo wao
Muungano wa wafanyakazi wa viwanja vya ndege nchini Kenya (KAWU) umesitisha mgomo wake ulioanza Jumatatu baada ya maafikiano na Wizara ya Uchukuzi. Imechapishwa: 18/02/2026 – 04:35 Dakika 1 Wakati wa…
Mazeozi ya kijeshi ya IRGC Ghuba ya Uajemi, nembo ya uwezo wa kujilinda na wa kistratijia wa Iran
Awamu ya kwanza ya mazoezi ya Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imefanyika katika visiwa vya Iran kwenye maji ya Ghuba ya Uajemi.
Jumatano, 18 Februari, 2026
Leo ni Jumatano 29 Sha'ban 1447 Hijria sawa na 18 Februari 2026.
Kenya na Misri kushirikiana katika miradi ya maji na biashara
Kenya na Misri zimekubaliana kuimarisha ushirikiano wao katika miradi ya maendeleo na miundombinu ya maji, ikiwemo ujenzi wa mabwawa, katika juhudi za kukabiliana na athari za ukame unaoendelea kuathiri mamilioni…
Rais Pezeshkian: Iran haitaki silaha za nyuklia
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza tena kuwa nchi hii haitaki kumiliki silaha za nyuklia kwa aina yoyote ile.
Rais Pezeshkian: Iran haitaki silaha za nyuklia kwa njia yoyote
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza tena kuwa nchi hii haitaki kumiliki silaha za nyuklia kwa aina yoyote ile.
Wataalamu wa UN waonya kuhusu hatari zinazowakabili waathirika wa “Mafaili ya Epstein”
Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamesema, wana wasiwasi mkubwa kuhusu madhara yanayoweza kuwapata waathirika waliotajwa katika nyaraka zinazojulikana kama "Mafaili ya Epstein" (Epstein Files), na kueleza…
Katika hotuba ya kuaga, Yunus asema kupinduliwa Hasina ulikuwa ukombozi kwa Bangladesh
Kiongozi wa mpito wa Bangladesh Muhammad Yunus, ametangaza kujiuzulu katika hotuba ya kuaga kwa taifa aliyotoa kabla ya kukabidhi mamlaka kwa serikali iliyochaguliwa.
Israel yashadidisha mateso kwa Wapalestina inaowashikilia kwenye magereza yake
Jumuiya ya Wafungwa wa Palestina imetangaza kuwa, kwa mujibu wa ziara za ukaguzi zilizofanywa na wanasheria wake na ushuhuda uliorekodiwa, utawala wa kizayuni wa Israel umeshadidisha udhalilishaji na ushinikizaji wa…
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 18, 2026
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI FEBRUARI 18, 2026
#KIPIMAJOTO: Migogoro ya ardhi kuchukua muda mwingi wa mikutano ya wananchi
#KIPIMAJOTO: Migogoro ya ardhi kuchukua muda mwingi wa mikutano ya wananchi. Je, maamuzi yanafanyiwa kazi kwa wakati?
Tarique Rahman Waziri mkuu wa Bangladesh ni nani?
Katika safari yake ya siasa Rahman ametuhumiwa na wapinzani wake kuwa na mapendeleo, ufisadi, na kuishi uhamishoni baada ya kuuawa kwa babake.
SMZ : Usafirishaji mizigo utaboreshwa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali imejipanga kikamilifu kumaliza changamoto za usafiri na usafirishaji wa mizigo katika Kisiwa cha Pemba. The…
‘Mawaziri watabaki Tanga nikiondoka’
WAZIRI Mkuu Dk. Mwigulu Nchemba amewaagiza baadhi ya mawaziri alioambatana nao katika ziara yake mkoani Tanga kubaki mkoani humo ili kufuatilia na kutatua changamoto zilizoibuliwa na wananchi. Masuala hayo yalitokana…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefungua kituo kipya cha huduma katika eneo la Masaki Dar es Salaam ambacho kipo chini ya mko…
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imefungua kituo kipya cha huduma katika eneo la Masaki Dar es Salaam ambacho kipo chini ya mkoa kodi Kinondoni lengo likiwa ni kuendelea kusogesa huduma…
Vijana wanufaika mikopo asilimia10 Kongwa
KIKUNDI cha Vijana Wazalendo kutoka Mamlaka ya Mji Mdogo Kibaigwa, Wilaya ya Kongwa, kimekabidhiwa magari mawili yenye thamani ya Sh milioni 75 kwa ajili ya biashara ya usafirishaji, ikiwa ni…
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda amewataka wafanyabiashara wenye madeni ya kodi kufika kwen…
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda amewataka wafanyabiashara wenye madeni ya kodi kufika kwenye ofisi za mamlaka hiyo kutafuta suluhu badala ya kuhangaika na madalali…
Huzuni kwa familia ya Kayi 🥲 #AzamTWO
Huzuni kwa familia ya Kayi 🥲 #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 17, 2026
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: FEBRUARI 17, 2026
SGR kusafirisha makontena ya mizigo
SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limezindua huduma ya usafirishaji wa makontena kwa kutumia Reli ya Kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR), hatua inayolenga kupanua wigo wa biashara, kupunguza msongamano bandarini…
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 17, 2026
🔴MCHEZO SUPA: BADILISHA FEBRUARI YAKO KWA BUKU TU..FEBRUARI 17, 2026
Huyu Melis bado anampenda Jemo eeh😆
Huyu Melis bado anampenda Jemo eeh😆 (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Moses Kusilukwa amesema matumizi ya TEHAMA ni miongoni mwa vipaumbele vya Serikali kutokana…
#HABARI: Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Moses Kusilukwa amesema matumizi ya TEHAMA ni miongoni mwa vipaumbele vya Serikali kutokana na kurahisisha huduma kwa Wananchi. Amesema hayo wakati akiongea kwenye Kikao kazi…
Simba yaanza vyema Kombe la Shirikisho, KMC yatupwa nje
Simba imetinga raundi ya 32 bora ya Kombe la Shirikisho la CRDB msimu huu baada ya leo kuibuka...
Matumaini kwa waandishi, wachapishaji vitabu
Ahadi ya Serikali ya kuchapisha vitabu vya washindi wa Tuzo ya Taifa ya Uandishi Bunifu ya...
Huyu ndio Katanga sasa…Teddy naye hakomi 😅🥹
Huyu ndio Katanga sasa...Teddy naye hakomi 😅🥹 #ZoraSeries (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Mamlaka za kidini nchini Saudi Arabia, imetangaza kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya kuonekana kwa mwezi mw…
#HABARI: Mamlaka za kidini nchini Saudi Arabia, imetangaza kuanza kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya kuonekana kwa mwezi mwandamo nchini humo hii leo. Kwa mujibu wa mamlaka nchini humo…
#HABARI: Watoto watatu wa familia moja, waliokuwa wanaishi Kijiji cha Kwangahu Kitongoji cha Mweka Kata ya Kitumbi huko wilayani…
#HABARI: Watoto watatu wa familia moja, waliokuwa wanaishi Kijiji cha Kwangahu Kitongoji cha Mweka Kata ya Kitumbi huko wilayani Handeni mkoani Tanga, wamepoteza maisha baada ya nyumba yao kushika moto…
Dk Mwigulu asitisha leseni 43 za uchimbaji Lushoto
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesitisha leseni 43 za uchimbaji wa madini ya Bauxite...
#HABARI: Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amewataka wathibiti ubora wa shule kutoka halmashauri 184…
#HABARI: Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, amewataka wathibiti ubora wa shule kutoka halmashauri 184 nchini kushirikiana kwa karibu na walimu katika kutekeleza mkakati wa kitaifa wa…
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 17, 2026 – WATU 4 WAFARIKI DUNIA KWA KUSOMBWA NA MAJI MVUA RUKWA
🔴TAARIFA YA HABARI USIKU FEBRUARI 17, 2026 - WATU 4 WAFARIKI DUNIA KWA KUSOMBWA NA MAJI MVUA RUKWA
Mwanafunzi Chuo cha CBE Mbeya akutwa amekufa katika dimbwi la maji
Alipotafutwa Mkuu wa Chuo cha Biashara (CBE) Kampasi ya Mbeya, Dk Beny Mwenda kuhusiana na...
#HABARI: Viongozi na Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamefanya ziara ya kikazi katika Mradi wa Bwawa la Julius Nyere…
#HABARI: Viongozi na Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wamefanya ziara ya kikazi katika Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), ambapo wamepongeza matumizi sahihi ya kodi za Watanzania.…
Stephanie Ruto Achanga KSh 3m Kusaidia Kituo cha Watoto cha St. Mary’s Mbuini: “From my Father”
Stephanie Ruto alitoa mchango wa KSh 3 milioni kwa kituo cha kutunza watoto cha Mbiuni, akisaidia taasisi hiyo huku akisisitiza mapenzi yake kwa ustawi wa watoto.
Tume ya uchunguzi yakutana Dk.Hosea
TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Februari 17, 2026 imekutana na Rais mstaafu wa Jumuiya…
Jukwaa la Urusi latoa maelezo mapya ya raia wake mwenye utata Yaytseslav, laanika uongo wake
Yaytseslav ambaye alipata sifa mbaya kwa kuwarekodi wanawake bila idhini, alifichuliwa na utambulisho wake halisi baada ya kuwahadaa watu.Ufichuzi huo uliibua hasira
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe
#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, amehitimisha mgogoro wa ardhi uliodumu kwa miaka 15 katika eneo la Kariakoo, ukihusisha familia ya marehemu Abdallah Sultani Mtambo…
Njombe yachukua hatua kudhibiti homa ya nguruwe
Wafanyabiashara wa nguruwe katika halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani hapa wametakiwa...
Madereva Kiwanda cha A- One wagoma wakidai nyongeza ya mshahara
Kwa mujibu wa Labour Institutions (Minimum Wage for Private Sector) Order, 2025, viwango vipya...
Dereva aliyemgonga trafiki akamatwa
Dereva huyo alikamatwa Februari 14, 2026, katika kijiji cha Rubare, Wilaya ya Bukoba Vijijini...
Watoto wafundishwe kusoma vitabu
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema uandishi wa vitabu una mchango mkubwa katika kuhifadhi utamaduni wa taifa na kujenga uzalendo kwa watoto kupitia vitabu vinavyoakisi maadili…
Dk Mwigulu awatumia maagizo RC Mbeya, DC Chunya akisema ‘hakuna mbabe’
Katika maagizo yake, Dk Mwigulu amemuelekeza mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya kutekeleza hukumu...